Thursday, 26 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Tunahitaji kuwa nyuma ya magufuli katika haya anayoyafanya na kuwa tayari ukabiliana naye pale tutakapoona haendi tunakotaka. wapi Kuweka mifumo ambayo hata akija mwingine hataifumua. Mfano katiba. lazima tanzania iwe na katiba nzuri. isiyomruhusu mathalan rais kuwa na kijiji cha mawaziri. Isiyomruhusu rais kuchagua mtu yeyote kuwa Mkuu wa EWilaya au Mkoa ili mradi amemfurahisha mama Ngina au kacheza ngoma rais akaburudika.
Katika hilo hatuhitaji kukubali kila kitu. hapo tutajua kuwa aje yeyote atalipeleka taifa linakostahili.
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, November 26, 2015, 3:04 PM

Elisa kweli kabisa
ndio maana wengi wetu tumeipa kura ccm uchaguzi huu baada
kuona jembe limepata nafasi na tulikuwa tunampinga lowassa
kwa kujua kuwa ni mpigaji.
On Nov 26, 2015 3:01 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Magobe.
ko sahihi kabisa. Nadhani kazi imenza. haijamalizika. na
kichwa kinasema 'Kwa mwendo huu -----------.

Tunatarajia mifumo ifumuliwe. Ona sasa Aliyezuia kuchapisha
kadi za Xmas si Rais. Ni katibu mkuu Kiongozi. Huo ni mwendo
mzuri. Tunatarajia mambo mengine yawe kwenye katiba.
Inakuja. tukingali na safari tunahitaji kutiana moyo.

--------------------------------------------

On Thu, 11/26/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA
TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Thursday, November 26, 2015, 2:41 PM

 1. Heshima ya Tanzania itarudi endapo

 kinachofanyika ndicho kitakachokuwa kinafundishwa
shuleni

 ili watoto wakue wakijua kuwajibika.

 2. Heshima ya Tanzania itarudi endapo

 sehemu zote za kazi (sekta rasmi na zisizo rasmi)

 zitawezeshwa kuwa na work ethic inayoeleweka na
kufuatwa.

 3. Vinginevyo, itabaki kuwa 'one man

 show' na the rest watafanya tu kwa vile wanatakiwa

 kufanya, lakini haitakuwa sehemu ya utamaduni wao.

 2015-11-26 14:33 GMT+03:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Toka Rais

 magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama

 kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK
ilikuwa

 hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha
atoe

 mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo
si

 kama Magufuli.

 Tumechoka kusaidiwa jamani na pedngine misaada

 inatudhalilisha. Kuna misaada mingine iliyokataliwa na
nchi

 jirani sisi tunasema leta tu.

 Utasikia hata tangazo dogo la tahadhali linamalizia kwa
:

 Imetolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.

 Nyerere aliwahi kusema 'Mtu kama anafikiri nje kuna

 mjomba wetu amlete. akinionyesha nitachekatu'. Sasa

 Tanzania yenye utajili wa ajabu namna hii lakini
inaishia

 kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu lakini huku
inaomba

 misaada tu. hapana. hapana. hapana jamani. Tumefikia
mahala

 tunaaibisha.

 Sasa Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa

 analala chini.

 Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa kumaliza tatizo la

 madawati huenda tutaanza kutafuta madawati hayo baada
ya

 miaka mitano. Inasaidia nini watu kufanya makongamano
ambayo

 baadi wataondoka na ukimwi na makongamano hayo

 yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si elimu kwa umma
tu.

 lazima aje waziri kusherehesha?

 Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa
tanganyika.

 Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama ni
mazoezi

 ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona ulinzi
wa

 nchi yao ipo siku.

 Hiki ni kipindi cha dharura. Kimedumu muda mrefu.
Tulikuwa

 tutaona fedha zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa
kuliona

 hilo. Sasa tumempata.

 Tunataka siku rais wa Tanzania akienda nje watu
wakusanyike

 kumuona. Sio wanaulizana nani huyo Rais wa tanzania
Ahaaa.

 halafu waendelee kana kwamba ni mtu mdogo anapita. Baba
wa

 Taifa alifanya ziara za kiserikali mara mbili marekani

 katika myaka yake yote. Moja wakati wa Rais Kenedy na

 nyingine wakati wa Rais Jimy Cater. basi. nani
hakumbuki

 jinsi watu walivyokusanyika toka majimbo yote kuja
kumuona

 mtu huyu waliyemsikia siku nyingi?

 lakini kiongozi anakwenda mahala inafika mahala
unaambiwa

 'subiri nakuja?'

 Twaweza kujitegemea katika mambo mengi. Tukliomba
msaada

 watajisikia fahari kutusaidia.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment