Thursday, 26 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

1. Heshima ya Tanzania itarudi endapo kinachofanyika ndicho kitakachokuwa kinafundishwa shuleni ili watoto wakue wakijua kuwajibika.
2. Heshima ya Tanzania itarudi endapo sehemu zote za kazi (sekta rasmi na zisizo rasmi) zitawezeshwa kuwa na work ethic inayoeleweka na kufuatwa.
3. Vinginevyo, itabaki kuwa 'one man show' na the rest watafanya tu kwa vile wanatakiwa kufanya, lakini haitakuwa sehemu ya utamaduni wao.

2015-11-26 14:33 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Toka Rais magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK ilikuwa hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha atoe mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo si kama Magufuli.

Tumechoka kusaidiwa jamani na pedngine misaada inatudhalilisha. Kuna misaada mingine iliyokataliwa na nchi jirani sisi tunasema leta tu.
Utasikia hata tangazo dogo la tahadhali linamalizia kwa : Imetolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.
Nyerere aliwahi kusema 'Mtu kama anafikiri nje kuna mjomba wetu amlete. akinionyesha nitachekatu'. Sasa Tanzania yenye utajili wa ajabu namna hii lakini inaishia kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu lakini huku inaomba misaada tu. hapana. hapana. hapana jamani. Tumefikia mahala tunaaibisha.
Sasa Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa analala chini.
Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa kumaliza tatizo la madawati huenda tutaanza kutafuta madawati hayo baada ya miaka mitano. Inasaidia nini watu kufanya makongamano ambayo baadi wataondoka na ukimwi na makongamano hayo yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si elimu kwa umma tu. lazima aje waziri kusherehesha?
Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa tanganyika. Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama ni mazoezi ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona ulinzi wa nchi yao ipo siku.
Hiki ni kipindi cha dharura. Kimedumu muda mrefu. Tulikuwa tutaona fedha zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa kuliona hilo. Sasa tumempata.
Tunataka siku rais wa Tanzania akienda nje watu wakusanyike kumuona. Sio wanaulizana nani huyo Rais wa tanzania Ahaaa. halafu waendelee kana kwamba ni mtu mdogo anapita. Baba wa Taifa alifanya ziara za kiserikali mara mbili marekani katika myaka yake yote. Moja wakati wa Rais Kenedy na nyingine wakati wa Rais Jimy Cater. basi. nani hakumbuki jinsi watu walivyokusanyika toka majimbo yote kuja kumuona mtu huyu waliyemsikia siku nyingi?
lakini kiongozi anakwenda mahala inafika mahala unaambiwa 'subiri nakuja?'
Twaweza kujitegemea katika mambo mengi. Tukliomba msaada watajisikia fahari kutusaidia.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

No comments:

Post a Comment