Fatma,
Wanasiasa wengi sana wa Tanzania ni wabinafsi, wachoyo, waroho, ni kundi dogo la watu wanaojipenda na kujipendelea. Itafika wakati Watanzania tuwe na uwezo wa kutafuta viongozi miongoni mwetu badala kusubiri hawa wanaojitokeza wenyewe sisi tunabaki kuwashabikia usiku na mchana kumbe hawana faida yoyote kwa taifa.
Dominick
On Wednesday, October 28, 2015 4:57 PM, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Pamoja na taarifa za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar nimebaki na maswali ambayo sijui ni nani anayeweza kunijibu
1. Serikali iliyokuwepo ilikuwa imemaliza muda wake kwa maana hiyo haina uhalali wa kisheria kuendelea kuwa madarakani. Hadi hapo tutakaporudia uchaguzi ni nani atakuwa na jukumu la kuiongoza nchi?
2. Tume imedai kulikuwa na mapungufu mengi yaliyosababisha kufutwa kwa uchaguzi huo. Je wakati wa marudio ni Tume hiyo hiyo ndio itakayosimamia huo uchaguzi au ni Tume ipi?
3. Gharama za kurudia uchaguzi huo zitatoka wapi wakati tumeshuhudia watu wanakufa kwa kukosa huduma pamoja na madawa hospitalini?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
-- 1. Serikali iliyokuwepo ilikuwa imemaliza muda wake kwa maana hiyo haina uhalali wa kisheria kuendelea kuwa madarakani. Hadi hapo tutakaporudia uchaguzi ni nani atakuwa na jukumu la kuiongoza nchi?
2. Tume imedai kulikuwa na mapungufu mengi yaliyosababisha kufutwa kwa uchaguzi huo. Je wakati wa marudio ni Tume hiyo hiyo ndio itakayosimamia huo uchaguzi au ni Tume ipi?
3. Gharama za kurudia uchaguzi huo zitatoka wapi wakati tumeshuhudia watu wanakufa kwa kukosa huduma pamoja na madawa hospitalini?
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: Elias Mhegera <mhegera@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 15:57:35 +0300
To: Wanazuoni<Wanazuoni@yahoogroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: wanataaluma@googlegroups.com<wanataaluma@googlegroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Implicitly ni kwamba uchaguzi wote wa urais unarudiwa ikiwemo ule wa rais wa Jamhuri ya Tanzania kwa sababu kama umevurugwa kwa rais wa Zanzibar tutaaminije kwa ule wa Rais wa Muugano?
Elias Mhegera
Pan African Human Rights Defender
Director of Research and Investigations
Tanzania Journalists for Human Rights (Journorights)
Journalist & Counselor
255-(0) 754-826272
255-(0) 715-076272
On Wed, Oct 28, 2015 at 3:49 PM, Camillus Kassala cdnkassala2002@yahoo.co.uk [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
The more interesting question is: Suppose Lowasa's votes from Zanzibari electorate more than compensate the deficit he has from Mainland electorate compared to Magufuli's votes, what will beoth NEC and ZEC do?CDNKassalaOn Wednesday, 28 October 2015, 15:21, Emmanuel Mmari <emmammari@gmail.com> wrote:
Tusubiri wataalum watutafsirie sheria ya uchaguzi kama itakua na effects gani na matokeo ya Tanzania Bara, Je nayo itabidi yasitishwe ama kusubiri mpaka ya zanzibar yatoke ndio aapishwe au gap litakalokuwepo kati ya mshindi wa kiti cha uraisi na anaemfuata litakua less than idadi ya watu waliojiandikisha Zanzibar? Najaribu kufikiria kwa mapana yake lakini kimsingi nasubiria wanaotafsiri sheria.--On Wed, Oct 28, 2015 at 2:01 PM, Mowo, Jeremias (ICRAF) <j.mowo@cgiar.org> wrote:And why should ZEC members be paid for shoddy work.
Sent from my iPhoneMATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR YAMEFUTWA KWAHIYO UCHAGUZI UTARUDIWA--
--
Yona Fares Maro
Institut d'études de sécurité - SA
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.__._,_.___
Reply via web post • Reply to sender • Reply to group • Start a New Topic • Messages in this topic (1)
.![]()
__,_._,___
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment