Thursday, 1 October 2015

RE: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Ndugu Chamani,

Wazo lako zuri la kumpa Dr. Magufuli uraisi lakini Ukawa watafute wabunge wengi lakini kiuhalisia halitekelezeki.  Watanzania wanataka mabadiliko na kuna uwezekano kuwa yakapatikana kupitia CCM au Ukawa.  Swali la msingi ni upande upi ambao una uhalisia wa kutuletea mabadiliko ya kweli?  Mashaka yako kuhusu uwezo wa Mh. Lowasa una mshiko lakini sababu za wasi wasi wako bado hasijajiridhisha. Kuna mengi sana tungetaka yafanyike lakini sisi binadamu na uchache wetu na uwezo wetu mdogo wa kuhakikisha tunakuwa na wazo linalofana yote tumwachie Mungu kwani hakuna kinachoshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu.

Kama Mwenyezi Mungu amepanga kuwa Raisi wa tano wa Tanzania atakuwa Mh. Lowasa au Dr. Magufuli mmojawapo atakuwa na hakuna mwenye uwezo wa kuzuia hilo hata kama yeye ni nani.

Tuendelee kuomba Mungu atimize mapenzi yake.

Tafakari chukua hatua

Herment A. Mrema











Date: Thu, 1 Oct 2015 21:01:47 +0300
Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
From: abachamani@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Dada Nkya

Mimi shida yangu sio katiba tu. Kwani hats iwe nzuri kiasi gani kama watekelezaji in mafisadi tutabakia kulekule.
Huu ufisadi Wa CCM sio Sera ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
Aidha kitu kuwekwa kwenye Ilani haitoshi. CCM waliweka mahakama ya Kadhi iko wapi Leo na hili la katiba ya wananchi halikuwemo lakini lilifanyika japo lilihujumiwa.
Unasema Lowasa amebadilika. Kivipi?
CDM wanaweza vipi kumzuia kwa katiba tulionayo sasa?
Unasema wametudhibitishia kivipi mama?
Lowasa sio mdogo hivyo. Kama aliweza kuwaburuza CCM na serikali yake itakuwa CDM kweli?
Dadangu yanakutoka moyoni kweli hayo?
Site tuna hamu ya mabadiliko lakini sio kwa MTU huyu na kwa namna hii.
Tunapata mashaka sana.
CDM wamegeuka ghafla mno tunajuaje wakigeuka juhudi zenu hizi za mabadiliko? Kitu ambacho ni dhahiri?
Kwa hili tuvumiliane tutafute wabunge lakini kwa Urais sio kwa CDM hii toleo jipya la Lowassa.
Haoana Dada Mungu atuepushie mbali.


Walewale

On Oct 1, 2015 8:24 PM, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Reuben na wengine hoja yangu ni kwamba: Dr Magufuli akichaguliwa serikali yake ya CCM  itaendelea kuwa mlinzi mwizi (fisadi) kwa sababu chama chake CCM kinanufaika na ufisadi wa fedha na mali za umma vinginevyo watueleze ni kwa nini  CCM ilikataa kuandikwa  Katiba  Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ambayo ingejenga misingi ya kuzuia serikali (mlinzi wa mali za nchi) iwe ni ya CCM, CHADEMA, CUF, NCCR -Mageuzi au chama chochote kile isiwe serikali fisadi?

Ninakubali kuwa  mwanasiasa Edward Lowassa aliyeishi katika chama fisadi CCM  (mfano ufisadi EPA bilioni 133, Richmond bilioni 172 na Tegeta escrow bilioni 306) anaweza kujihusisha na vitendo vya kifisadi na kufanya ufisadi hasa endapo chama alichohamia kitakataa kuandika Katika Mpya inayotokana na maoni ya wananchi kuweka kitakuwa  misingi endelevu ya Kikatiba ya kuzuia serikali kuwa fisadi.

Ndiyo sababu nimesema ili kukomesha ufisadi nchini ni afadhali Watanzania wamchague Lowassa aliyeamua  kujiunga  na  vyama vinavyochukia  nchi kuwa na serikali fisadi na vimetuthibitishia kuwa Lowassa wa CCM hatakuwa Lowassa wa CHADEMA -UKAWA. Nasema hivi kwa sababu CHADEMA-UKAWA endapo watachaguliwa kuongoza nchi, Ilani yao inaonyesha kuwa wataandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ili kuweka misingi ya kukomesha serikali zijazo iwe ya chama chochote kile zisiwe serikali fisadi--kuepusha nchi yetu kuendelea kuzalisha mafuriko ya wananchi masikini.

Ni vema sote tukaelewa kuwa chimbuko la ufisadi nchini kuwa ni CCM ambacho kinanufaika na ufisadi hivyo kinaogopa kuondoka madarakani kwa kuogopa chama kingine kikiingia  madarakani nacho serikali yake itakuwa fisadi ili kiendelee kubaki madarakani hasa kwa sababu kwa sasa nchi haina misingi ya kuzuia serikali kuwa fisadi.

Lakini Lowassa wa CCM  ni lazima abadilike awe Lowassa wa CHADEMA-UKAWA--ambaye atafanya mabadiliko ya Kikatiba kuepusha serikali kuwa fisadi. Ni afadhali hata wananchi elfu moja wawe mafisadi kuliko serikali ya chama kilichopewa dhamana ya kuwa mlinzi wa mali ya nchi yenye watu karibu milioni 50--serikali hiyo kugeuka kuwa fisadi. Serikali ikiwa fisadi kamwe haiwezi kudhiniti ufisadi, rushwa au maovu mengine yoyote.

Lowassa kama alikuwa fisadi na serikali ya CCM ingekuwa siyo fisadi--Lowassa leo hii angekuwa  jela. Lakini mlizi akiwa mwizi, fisadi atamkamata fisadi au mwizi? Au kama mwizi anaiba ili kugawana na mlinzi mwizi je mwizi atakamatwa na nani?

Hiyo ndiyo lojiki ya hoja yangu na ndio ukweli kuhusu nani hasa chanzo cha fisadi, wizi na rushwa Tanzania.

Kumbuka ukiujua ukweli--ukweli utakuweka huru kweli kweli. Nitamshangaa kila Mtanzania atakayeridhia chama fisadi kupewa tena kazi ya ulinzi wa mali na rasilimali za nchi yetu nzuri Tanzania hapo tarehe 25 mwezi huu wa Oktoba mwaka huu 2015.

Ikitokea hivyo, utakuwa ni ushahidi kwamba moja ya chanzo cha umaskini Tanzania ni kwamba adui namba moja--adui ujinga hajaangamizwa  na kwamba pengine adui huyu anaendelea kuongezeka na kuwa tishio kubwa kwa amani ya nchi yetu kila uchao. Mungu ibariki Tanzania.


Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, October 1, 2015, 2:10 PM

 Mama
 Nkya;Sidhani kama kuna yeyote
 anapinga kwamba kura ndizo zitaamua nani Rais,Mbunge na
 Diwani.Hapa Ndaro na mimi
 niliyemuunga mkono tumejaribu kuongelea mantiki halisi ya
 mabadiliko ikiwa na maana yanatakiwa kukamilika lakini haya
 yatakuwa nusu.Maana yake
 ni watu walewale waliotufikisha hapa tunawapa tena
 regardless yupo chama gani. Amebadilika lini mpaka tuwe na
 imani nae kubwa kiasi hiki?Basi hata kungekuwa na transition
 period ya kumuangalia lakini hii ya miezi miwili
 tusidanganyane Mama Nkya. Reuben





     On Thursday, October
 1, 2015 5:55 AM, 'ananilea nkya' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:



  Kubali usikubali,
 wananchi wakishaamua hapo tarehe 25 Oktoba hakuna chombo
 chenye mamlaka ya kukataa maamuzi ya wananchi. Wanaoumia ni
 wananchi na watakaoamua hatma ya uongozi wa nchi hii ni
 wananchi wenyewe kwenye sanduku huru la kura. Hivyo cha
 msingi sisi wanamabadiliko tupiganie hilo sanduku la kura
 liwe huru kweli kweli kusiwe giliba, vitisho, uzembe au
 uchakachuaji utakaofanywa ama na chama cha siasa, serikali
 iliyoko madarakani au Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tuwaachie
 waamuzi---waamuzi ni wananchi wenyewe.

 Ananilea Nkya
  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --------------------------------------------
 On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya'
 via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Subject: Re:
 [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Thursday, October 1, 2015, 1:37 PM

  Ndalo;Exactly
  there you are.Nimekuelewa

 vizuri na hiyo ndio ingekuwa maana halisi ya
  mabadiliko.Haya ya
  sasa ni
 kubadili chupa tu. Reuben
  


       On
 Thursday, October
  1, 2015 4:50 AM, mary
 ndaro <mary.ndaro2@gmail.com>
  wrote:
      

   Natamani kungekuwa na
  mbadala kwenye haya mabadiliko...Mimi binafsi
 watu
  waliotumua mfumo mbovu kutufikisha
 hapa haijalishi
  wanaahamia wapi...hao sio
 jibu wala mabadiliko tunayoyataka.
  Nakubali
 wananchi wamechoka na mfumo mbovu Wa ccm lkn majibu
  sio cdm chini ya EL
  On 10 Sep
 2015 15:40,
  "'ananilea nkya'
 via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:


  Ndugu Kim,




  Neno mabadiliko  katika
 muktadha wa uchaguzi 
  Tanzania mwaka  huu
 2015 linatumika kumaanisha wananchi

 kuchagua  serikali mpya  tofauti na serikali ya
  CCM iliyoko madarakani ambayo ilikataa
 kuandika Katiba Mpya
  inayotokana na maoni
 ya wananchi.



  Katiba Mpya itaweka misingi
 ya kuzuia serikali kuwa
  chanzo  ufisadi
 wa  fedha za umma, watawala
  kujitajirisha
 na kuwatajirisha  wawekezaji kutoka
  nje 
 kwa kutumia rasilimali za nchi yetu  huku

 mamilioni ya wananchi wakibaki masikini wa kutupa.



  Mfano ufisadi wa   mwaka jana 2014 wa
 Tegeta
  escrow bilioni 306, ufisadi wa 
 Richmond bilioni 172
  mwaka  2008 na
 ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na

 hakuna aliyefikishwa mahakamani.



  Mabadiliko
 ya  kupata serikali  inayoongoza
  na 
 vyama vingine tofauti na CCM  ikiandika Katiba
  Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
 ---Katiba hiyo 
  itaweka misingi  ambayo
 pamoja na mambomengine madaraka
  ya Rais
 yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.





 Kadhalika madadiliko  yataweka mihimili 

 isiyoingiliana  ya utawala—serikali—bunge na
  mahakama HIvyo  serikali  ikifanya ufisadi
 kama
  ule wa Tegeta escrow na EPA  watawala
 hawatakwepa mkono
  wa sheria  kama
 walivyokwepa.



  Kadhalika mabadiliko 
  yatazuia 
   watawala wachache 
 wakijitajirisha kwa kutumia
  fedha za
 wananchi  kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
  marupurupu wakati  watumishi wengine wa umma
 madaktari,
  wauguzi, walimu, polisi na
 wananchi wengi wakibaki
  maskikini.



  Pia Katiba Mpya  itaweka misingi mizuri  ya
 kuwepo
  usawa wa kijinsia katika uongozi
 hasa 50 kwa 50 wabunge
  wanawake na
 wanaume  majimboni badala ya hili changa la
  macho ambalo baadhi ya vyama vinajidai eti kwa
 kuweka
  wagombea wanawake ni usawa wa
 jinsia.




  Je inawezekana kuwa  na usawa wa jinsia
 endelevu kama
  haijaandikwa kwenye Katiba ya
 nchi? Kama kweli serikali CCM
  walikuwa
 wanataka nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi
  ni kwa nini waliikataa Katiba Mpya inayotokana
 na maoni ya
  wananchi ambayo ilikuwa
 imependekeza utaratibu mzuri kabisa
  wa
 kupata asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni
  kutoka majimboni?



  Hivyo
 mabadiliko  wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa
  na umaskini hapa nchini   wao wenyewe
  wananchi  wamejipanga kuweka msingi wake hapo
 hapo
  tarehe 25 Oktoba 2015 kwa  kuiondoa
 CCM
  madarakani   na kuweka  serikali ya
 vyama
  vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi,
 CHADEMA  na NLD)
  ambavyo  vilipigania 
 Katiba Mpya inayotokana
  na  maoni ya
 wananchi na vimeahidi  kwamba 

 wakichaguliwa Katiba Mpya  ya wananchi itaandikwa.



  Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye
 kampeni zake
  ajuwe  akichaguliwa atatimiza
 yaliyobebwa katika
  tafsiri hii.  Kinyume
 chake hayo siyo mabadiliko
  wanayoyataka
 wananchi.   Mungu ibariki
  Tanzania.





  Ananilea
 Nkya

   E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com




 --------------------------------------------

  On Thu, 9/10/15, De kleinson
 kim <dekleinson@gmail.com>
  wrote:



   Subject: Re: [wanabidii]
 2015: NI KURA YA MAAMUZI
  MAGUMU

   To: wanabidii@googlegroups.com

   Date: Thursday, September
 10, 2015, 2:45 PM



   Kwanza


   MABADILIKO ni nini?

    Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake
 ni

   nini? ya wapi?
 kwenye nini? yatamgusa nani?

 yatatuchukua

   muda gani?
 yatatokea tokeaje?


  Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri

   kwenda baya, dogo kuwa
 kubwa au kubwa kuwa dogo,
  nyembamba

   kuwa pana au....



   Its all about "different"
 "utofauti wa
  hiki

   kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie
 sio
  mtaalam wa

   lugha!!


  Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike

   akituelezea vizuuri na kwa
 ufasaha jinsi
  watakavyoleta

   MABADILIKO nchini. i mean
 ameshawishikaje kuwa mnazi
  wa

   flani/chama flani kuamini
 watafanya MABADILIKO ndani
  ya kila

   mmoja wetu ili tukuamini
 na kukufuata popote ulipo!!
  Wanazi

   wote hapa mkae mkijua nyie
 ni mawakala wa HAO
  mnaowasemea!!

   kwa sababu sie hatumjui
 yule/wale vizur zaidi yako,
  umeamua

   kuwa agent wake/wao ina
 maana unayajua ya kwake/kwao!
  Latin

   proverb "if you host
 a guest, host his
  dog"

   Tukibaki kuainisha
 MAHITAJI YA NCHI na


  MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua
  na


  kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na
  mtu


  anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini?
  ati


  " ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya
  miaka


  5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO
  will

   come
 later to filter HOW!!


  Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na

   hesabu ndogo ambazo
 tunazifanya kwenye maisha ya
  kila

   siku!!!!!????? Mpaka
 inakera.







   --



   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



    



   Kujiondoa Tuma Email
 kwenda




   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma



    



   Disclaimer:



   Everyone
 posting to this Forum bears the sole

 responsibility

   for any
 legal consequences of his or her postings, and
  hence


  statements and facts must be presented responsibly.
  Your


  continued membership signifies that you agree to
  this


  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

   Guidelines.



   ---



   You received this message
 because you are subscribed
  to the

   Google Groups
 "Wanabidii" group.



   To
 unsubscribe from this group and stop receiving
  emails


  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



   For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.





  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and
  Guidelines.


  ---

  You
 received this message because you are subscribed to the
  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this
 group and stop receiving emails
  from it,
 send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.





  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and
  Guidelines.


  ---


 You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii"
 group.

  To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.


      





  --

  Send
 Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and Guidelines.


 ---

  You received this
 message because you are subscribed to the

 Google Groups "Wanabidii" group.


  To unsubscribe from this group and stop
 receiving emails
  from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.


 --
 Send
 Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.




 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment