Mama Kiwasila,
Nakubalina na wewe hapa,
1, Kuna BAADHI ya mambo katika katiba inabidi wasomi/serikali itetee kwa maslahi ya taifa. haswa ulivyogusia mazingira.
2, Wanawake wajipange, bado wale waliopewa dhamana ya kuwakilisha wengine hawajadhihirishia watu kwa matendo. yaani bado sana. bungeni/baadhi ya maofisi kumejaa vimada tu. vichwa vipo nje huku.
Dont tell me how good you are looking, show me!!!
3, Kwenye bure hata mimi siungi mkono. tusitengenezwe kuwa taifa la watu wa kutegemea serikali itifanyie kila kitu. hii inawatengenezea watu uvivu. tunarudi kwenye umwinyi.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment