Sunday, 5 April 2015

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] AL shabab na Usalama wetu..Serikali itamke!

Albert, tukubaliene kutokubaliana mambo ya kisiasa lakini si ya
kiusalama, jukumu la ulinzi na usalama la nchi ni jukumu la kila raia.
Hakuna atakaye baking salama au na furaha kwa shambulio la Al Shabab,
Panyaroad au wajinga wengine. Tanzania ilikuwa na mfumo mzuri sana wa
Intelijensia ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki na kati hasa
kwa kuwasiliana na kuratibu viongozi wa nyumba kumikumi na
individuals, shida sasa ni kudhani serikali ya CCM pekee itamudu wimbi
hili linaloitesa kenya kwa kitambo sasa

On 4/4/15, Albert Machumu <albertmachumu@gmail.com> wrote:
> Kakuru.
> Kama ujuavyo serikali yetu huchukua hatua baada na si kabla ya madhara.!!
> Itelijensia huonekana kwa CDM na cuf tu!! Na ukizingatia jk kawapa uraia
> wasomali zaidi ya MIA na hao wataingiza alshaababu kwa kasi na watafanya
> watakavyo . Ni majanga mungu atulinde!!
> Am.
>
> Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
>
>>SikuzakaribunikabisatumeshuhudiausalamaukidolorakutokananamashambuliziyavikundivyakiislamnahasaALsababuhukoKenyanaSomalia.Piatumesikiakuwavitishohivivimeelekezwa Tanzaniapia.Lakini inashangazakuonakuwahataSerikalihaijatoatamkololotejuuyahatazakiusalamanakutuhakikishiawananchiwakatiwanaelewafikakuwaKunatishiokubwalaUgaidinawanaelewafikakuwaKunamikusanyikomikubwayamkeshawapasakaktkmaeneoyotenchinimakanisaninaninikifanyikeendapokutatokeahalizataharukinakuhatarishausalama.Hiiikojejamanimbonahatuelewi?Tunamashulevyuonataasisinyingizinazoendeshwanawakristoambaokimsingitunatambuandiowalengwawakuu.Autunasubiriakulaumunakuchukuatahadharibaadayamatukio?Kunamaswalimengikulikomajibu!--UnapokeaEmailhizikwasababuumejiunganaJukwaala'Mabadiliko'.KuchangiamadatumakwenyeEmailhii:mabadilikotanzania@googlegroups.comFormoreoptions,visitthisgroupat:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en---YoureceivedthismessagebecauseyouaresubscribedtotheGoogleGroupsMabadilikoForumgroup.Tounsubscribefromthisgroupandstopreceivingemailsfromit,sendanemailtomabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.Toposttothisgroup,sendemailtomabadilikotanzania@googlegroups.com.Visitthisgroupathttp://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.Toviewthisdiscussiononthewebvisithttps://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAN5khk66WPHd59Zd_rY_QNtHyuPqV1YQnOWYkffr3p_XWfLi-g%40mail.gmail.com.Formoreoptions,visithttps://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> To view this discussion on the web visit
> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/aye5i1tx3y696lfc4w5n6mi5.1428216280762%40email.android.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment