Sunday, 5 April 2015

RE: [wanabidii] BREAKING NEWS;; ZITTO KABWE LEO NDANI YA HOT MIX YA EATV

Magora sijaona jazba kwenye hoja ya Mrema. Angalia mwisho wa hoja yake "yetu macho"

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] BREAKING NEWS;; ZITTO KABWE LEO NDANI YA HOT MIX YA EATV

Mrema, mbona unaongea kwa Jazba badala ya kutoa hoja? Au ndio mpaka akisema Fulani ndio inakuwa sahihi? Kwani ukisikia Azimio LA Arusha huwa unapata shida gani?

Regards
Magora

On Apr 5, 2015 8:38 PM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Zito asituzingue hata kidogo.  Eti atafufua azimio la arusha? Kama nani? Hajui kila zama na kitabu chake.  Azimio la arusha limepita na asitubabaishe hapa na halituridi tena hata kwa njia yeyote ile.

Kwanza ubavu huo hana.  Hana mandate, platform wala watu wa kumuelewa.  Ubepari umepamba moto na yeye anasema atarudisha azimio la arusha?

Kweli anakuwa kichekesho.  Afadhali atafute gia ingine hiyo imefeli na ni dalili kuwa hatafika popote na ACT yake.

Yetu macho

Herment A. Mrema

> Date: Fri, 3 Apr 2015 10:26:13 -0700
> From: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS;; ZITTO KABWE LEO NDANI YA HOT MIX YA EATV
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Politicians are like chameleons, they fickle to hide, for good or bad reasons.
> Ananilea Nkya
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --------------------------------------------
> On Fri, 4/3/15, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS;; ZITTO KABWE LEO NDANI YA HOT MIX YA EATV
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, April 3, 2015, 12:20 PM
>
> mwulize kama CCM wamefuta azimio la Arusha na yeye
> anataka kufuata falsafa za mwalimu Nyerere ambaye alikuwa
> mwumini mkubwa wa azimio la Arusha na lilikufa akiwa hai na
> hakufurukuta kulirudisha, yeye Zitto ataweza kweli?
> Atattumia njia zipi kulirudisha mbele ya hawa matajli wa
> escrow ambao wamemiliki njia kuu zoe za uchumi badala ya
> njia hizo kumilikiwa na umma? Nia yake ni nzuri sana na
> tunamwombea afanikiwe ila anatuondoaje mashaka haya
> tuliyonayo juu ya kufanikisha hilo bila kupata vikwazo na
> hata kuuwawa na mabepari waliojazana kwenye uongozi wa juu
> wa ngazi mbalimbali za vyama na serikali.leonard.
>
>
>
>
> On Friday, April 3,
> 2015 2:09 PM, samson charles <samchaz307@gmail.com>
> wrote:
>
>
> leo saa 12 kamili jioni
> fatilia intavyuu live na mh Zitto Kabwe ndani ya kipindi
> cha hot mix hapa East Africa Television (EATV)
> pekee, kama unaswali ambalo ungependa nimuulize usisite
> kulitupia hapa nami nitamuuliza
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment