Thursday, 15 January 2015

[wanabidii] Re: TAARIFA KUHUSU PICHA ZA VURUGU ZA UDOM TAREHE 14 - 1 - 2015

FROM THE CREDIBLE SOURCE

katika vurugu zilizotokea dodoma chanzo cha habari (tunakihifadhi) 
kinasema bayana mwanafunzi ambaye amevunjika mguu wake ni kutokana na yeye kuruka kutoka katika ghoorofa ya pili na mguu kunasa katika nondo hivo kupelekea mguu kukuvunjika kama unavoonekana na balaa kubwa hili ni kwa sababu Philipo Mwakibinga na kundi lake walimlazimisha na kumtishia ashiriki maandamano lakini akawakatalia hivo wakamtishia na kumkimbiza na yeye kuamua kuruka kutoka katika ghorofa ndipo mguu ukanasa katika nondo

ushauri wangu....unafiki na uongo ni mtaji wa vijana wasio na mwelekeo wenye siasa za kuchochea mafarakano
KUMBUKA
UNAPOSIKIA JAMBO LIPIME KWA KINA NA SIO KUKURUPUKA NA KUTOA MAAMUZI



On Thursday, January 15, 2015 at 11:32:52 PM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:

Nilitoa malalamiko saa 4 zilizopita kwamba Picha inayoonekana hapa chini sio ya UDOM kuliko kuwa na vurugu baada ya FFU kuzima maandamano hayo .


Picha hii ni ya ajali ya BODA BODA kwenye nchi nyingine ambayo sio Tanzania .


Tafadhali angalia Linki zifuatazo nimeweka vyanzo vya picha hii


Gonga Hap goo.gl/9h653D

Gong Hapa goo.gl/aorQGP







--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment