Wednesday, 21 January 2015

Re: [wanabidii] Re:Mwigulu awa tishio kwa wasaka urais 2015.

Nimepata msamiati mpya na kukosa pa kuutunza katika kumbukumbu zangu (kichwani) Kuwa Nape anajifunza???!!!.
Kwa muda alioonekana kwenye vyombo hivi sijawahi kumgundua akijifunza kwa wanaCCM wenzake wala wapinzani au hata raia wa kawaida. Mfano mdogo Msikilize maneno yake mara baada ya wananchi kuporomosha kero zao
--------------------------------------------
On Wed, 1/21/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re:Mwigulu awa tishio kwa wasaka urais 2015.
To: "adeladius makwega" <makwadeladius@googlemail.com>, wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, January 21, 2015, 7:04 PM

Makwega, kwa hitimisho
lako hilo halionyesha uhalisia wa unachokisema bali ya
unachokiamini..for your own reasons. Stay blessed bro.

adeladius makwega
<makwadeladius@googlemail.com> wrote:

Mwigulu ana 
uwezo mdogo sana,hawezi kuwa tishio  kwa  chama  kama CCM
, vijana makini wa CCM kama nape  wanatuma muda wao
kujifunza  na kuchota  hekima kutoka  kwa wale 
wanaojua  siasa  za  Tanzania.   Mimi naona Waziri 
Mwigulu hawezi  kuwa tishio kwa mgombea  yoyote wa  Urais
wa CCM ata  kama CCM  ikiamua  wapigiwe kura Hadija 
Kopa na Mwigulu Nchemba.Kopa Anamshinda Mwigulu.

2015-01-21 18:00 GMT+03:00
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Hakusingiziwa. Ushahidi
upo lakini kwa sababu ni CCM hawezi kuchukuliwa hatia za
ugaidi.em
Sent from my
iPhone
On Jan 21, 2015, at 7:55 AM, Ezekiel Massanja
<ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:

Huyu Bwana alisikika sana kwenye
yale mambo ya akina ulimboka na kuumizwa kwa jamaa wa
upinzani. Nadhani alikuwa anasingiziwa tu, zilikuwa
propaganda za wapinzani
2015-01-21 14:03 GMT+03:00
'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mwanzoni
waliona ni kama jambo la kawaida tu na hakuwa na mvuto sana.
Lakini kwa kadri dakika na saa zinavyozidi songa...ndivyo
homa juu yake inavyozidi kupanda. Watu wanazidi kumuelewa na
kukubalika kwake kunazidi kuongozeka. Kama ilivyo ada na
maadui au wapinzani nao wanazidi kuongozeka ili kumdhibiti.
Wengne wameghushi vyeti vyake  vya shule na kuvutupa
mtandaoni ili kuonyesha eti hajatimiza miaka 40. Na wengjne
wameghushi barua ili kuonesha amezuiwa rasmi na bosi wake
Kinana kutofanya shughuli zozote za mikutano ya hadhara
kwa  chama..Lkn, yote hiyo ni dalili tu ni kwa jinsi gani
kijana huyu amekuwa tishio kwa wengi wa wasaka uraisi.. 
 je, kwa kasi hii Mwigulu akiipeoerusha bendera ya CCM
kuusaka urais wa TZ itakuwa maajabu?mimi na wewe
hatujui...yetu macho....Ngupula.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment