Ludo,
Inaonekana ulihusika katika unyama huu ili usingizie kile unachoita chama chenu. Pathetic.
em
Sent from my iPhone
muganda
unapaswa kumalizia kuwa chama chetu nyo kilituma watu kufanya hivyo.
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:Halafu, ndiyo nimemwita kinyago kwa sababu alichofanya Mwigulu si ubinadamu. Anawatuma akina Ludo wammwagie tindi kali usoni na anaanza kuzurura nayemitaani kuonyesha eti uovu wa Chadema. Yes, I believe you had something to do with it as you had to do with Absalom.enm--2015-01-22 7:36 GMT-05:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:Joseph,Wanasema ukirudia uwongo mara kadhaa unaonekana kuwa ni ukweli. Sijawahi hata siku moja kusema au kukiri kuwa watoto wa Marehemu Balali walifikia kwaMbowe. Kauli hiyo niliiona hapa kutoka maandishi yako nilipojiunga kwenye jukwaa hili lakini sikutaka kukanusha au kuthibitisha wakati huo kwa sababu ni suala ambalosikuwa tayari kulizingumzia. Lakini kwa mara ya kwanza kabisa ngoja nikukanushe. Watoto wa marehemu Balali hawakuwahi kufikia kwa Mbowe. Period. Full stop.em2015-01-21 16:17 GMT-05:00 Joseph <josephludovick@gmail.com>:muganda
unaita mtu kinyago? mbona naona u mtu mzima? ludo anajua kuwa chadema ndiyo walimwaga ile tindikali na anaweza kukutajia majina ya waliohusika.
wewe mbona unajua kuwa watoto wa marehemu balali walifikia kwa mbowe balali alipokufa lakini mmebaki kimya mkiwadanganya wananchi?
hamtaishi kwa uongo siku zote
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:Kile kinyago alivyokuwa anatembea nacho kilimwagiwa tindi kali na the likes of Ludo ili kusingizia Chadema. You can fool some people some of the time.em
Sent from my iPhone
On Jan 21, 2015, at 10:36 AM, Joseph <josephludovick@gmail.com> wrote:muganda
wewe unao huo ushahidi ama wasema tu kwsababu mfalme mbowe kasema?
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:Hakusingiziwa. Ushahidi upo lakini kwa sababu ni CCM hawezi kuchukuliwa hatia za ugaidi.em
Sent from my iPhoneHuyu Bwana alisikika sana kwenye yale mambo ya akina ulimboka na kuumizwa kwa jamaa wa upinzani. Nadhani alikuwa anasingiziwa tu, zilikuwa propaganda za wapinzani2015-01-21 14:03 GMT+03:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Mwanzoni waliona ni kama jambo la kawaida tu na hakuwa na mvuto sana. Lakini kwa kadri dakika na saa zinavyozidi songa...ndivyo homa juu yake inavyozidi kupanda. Watu wanazidi kumuelewa na kukubalika kwake kunazidi kuongozeka. Kama ilivyo ada na maadui au wapinzani nao wanazidi kuongozeka ili kumdhibiti. Wengne wameghushi vyeti vyake vya shule na kuvutupa mtandaoni ili kuonyesha eti hajatimiza miaka 40. Na wengjne wameghushi barua ili kuonesha amezuiwa rasmi na bosi wake Kinana kutofanya shughuli zozote za mikutano ya hadhara kwa chama..Lkn, yote hiyo ni dalili tu ni kwa jinsi gani kijana huyu amekuwa tishio kwa wengi wa wasaka uraisi.. je, kwa kasi hii Mwigulu akiipeoerusha bendera ya CCM kuusaka urais wa TZ itakuwa maajabu?mimi na wewe hatujui...yetu macho....Ngupula.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment