Huyo bwana mdogo bado sana,juzi juzi alikuwa anaporomosha matusi bungeni na ndipo akapewa unaibu waziri,anahitajika kupimwa atakapo kuwa minister kamili,akipewa nchi hivi alivyo atachanganyikiwa.apewe muda wa kujifunza.
'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Mwanzoni waliona ni kama jambo la kawaida tu na hakuwa na mvuto sana. Lakini kwa kadri dakika na saa zinavyozidi songa...ndivyo homa juu yake inavyozidi kupanda. Watu wanazidi kumuelewa na kukubalika kwake kunazidi kuongozeka. Kama ilivyo ada na maadui au wapinzani nao wanazidi kuongozeka ili kumdhibiti. Wengne wameghushi vyeti vyake vya shule na kuvutupa mtandaoni ili kuonyesha eti hajatimiza miaka 40. Na wengjne wameghushi barua ili kuonesha amezuiwa rasmi na bosi wake Kinana kutofanya shughuli zozote za mikutano ya hadhara kwa chama..Lkn, yote hiyo ni dalili tu ni kwa jinsi gani kijana huyu amekuwa tishio kwa wengi wa wasaka uraisi.. je, kwa kasi hii Mwigulu akiipeoerusha bendera ya CCM kuusaka urais wa TZ itakuwa maajabu?mimi na wewe hatujui...yetu macho....Ngupula.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment