mmmmmmmmm mashaka!
Siku hizi kuna maprofesi, madaktari, makandarasi na Mainginia FAKE!
Tunaomba ambatanisi CV yako ili tukuamini.
Unajua unagusa sekta nyeti. UTABIBU. Wengi wanaumwa na wamehangaika sana.
Jiseme vizuri zaidi. Kwa mtu mwenye akili haitoshi ulivyojisema mpaka sasa
nawakilisha
--------------------------------------------
On Fri, 1/23/15, Arbo <akihaule@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: Dawa ya kutibu magonjwa sugu inauzwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, January 23, 2015, 6:05 PM
Bwana Nazi
, nadhani watu wangalipenda kufahamu kama hiyo dawa
imepitishwa na Mamlaka ya Madawa na Chakula (TFDA) au kama
sivyo basi angalau kupata kibali na FDA ya Marekani
ilikotengenezwa.Labda uwasaidie kwa hilo.
On Friday, 23
January 2015 14:48:12 UTC+1, Charles Nazi wrote:
On Wednesday, January 21, 2015 at 7:07:32 PM
UTC+3, Charles Nazi wrote:
Jee wewe ni Daktari , unamiliki duka la dawa
(Pharmacy) au ni mgonjwa unaumwa magonjwa sugu unayoyafahamu
na usiyoyafahamu, Napenda kukufahamisha kwamba ninauza dawa
inayotibu magonjwa yote sugu unayoyafahamu kama vile
shinikizo la damu, kisukari malaria zisizotibika na mengine
ambayo hayafahamiki. Dawa hii inao uwezo wa kuongeza kinga
mwilini na kujenga mwili kwa haraka. Kwa mawasiliano zaidi
piga simu namba 0784394701
CHARLESBwana Gwamaka umefanya
clinical test na kuthibitisha usemi wako au unaponda tu? si
vyema kama hujafanya utafiti kutoa
conclusion
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment