Saturday, 24 January 2015

Re: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Hapana wanaomsifi wanasema kwa kutekeleza miradi ya Obama ambayo kusho akikunja uso inasimama
--------------------------------------------
On Sat, 1/24/15, Erick Maro <rikmaro@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, January 24, 2015, 9:15 PM

Waziri aliyesema
Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gesi na mafuta,
ila.kwenye  juice, matunda na soda.
Swali yeye si Mtanzania??

Je wawekezaji wote Duniani

hutumia mitaji yao tu kuwekeza??
Kilichomwondoa ni jeuri na kiburi chake kwa
Watanzania wote.
Anaweza kuwa msomi mzuri ila sidhani kama usomi
wake unatija kwa Taifa hili kwa matamshi yake.
On Jan 24, 2015 8:11
PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Ngulupa,Serikali ijayo ipi? Ukawa hawawezi
kumpa Muhongo wizara yoyote, na CCM inapumlia
mashini.em
2015-01-24 11:46
GMT-05:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nafikir sio dhambi
kujiuzuru....nafikir pia wenye maamuzi pia
wanasikia...Muhongo anaweza rudi bila kinyongo serikali
ijayo. ..Cha muhimu...ukipewa kazi. ifanye kazi... watu
wanaweza wakakuyumbisha lkn kazi yako itakulinda. Akienda
mbabaishaji pale wizarani...watu wataandamana Muhongo
arudi..

Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:

PROF:
SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNEKama
mtanzania wa kawaida nimesikitishwa na taarifa za kujiuzuru
kwa Prof. Sospeter Muhongo waziri wa nishati na madini ni
wazi kwamba maamuzi haya yamekuja kutokana na shinikizo la
watu wanaolazimisha kusikia wanachotaka kusikia na kuukataa
uhalisia. Huu ni ushindi kwa baadhi ya mabwanyenye wanaotaka
kunufaika na gas kwa kigezo cha uzawa ilhali hawana sifa na
uwezo wa kuwekeza, watu ambao wanamaslahi yao binafsi
ila wakatumia rasilimali zao
kuuaminisha umma kuwa wanapambana kwa maslahi ya
Taifa.Ni huzuni kubwa, itachukua miaka
mingi sana kwa Wizara hii kupata waziri thabiti kama Prof.
Muhongo, kitendo hiki kinaonesha wazi kwamba ukiwa na
msimamo wa kupambana na mabepari huna nafasi katika
kuiongoza Tanzania. Wasomi wanaipenda nchi yao ila
wanakatishwa tamaa kwani siasa za Tanzania hazitoi fursa kwa
wasomi kuzitumia taaluma zao objectively. Mabepari
wanapambana kuhakikisha wazalendo wanafutika katika mfumo wa
serikali.Ili uonekane
mwanasiasa bora Tanzania Muhitimu wa kidato cha nne anataka
kusikia kwamba anao uwezo wa kufundisha chuo kikuu kwasababu
ni mzawa. Watanzania wamezowea viongozi wanaowadanganya na
kuwapa moyo hata kwenye vitu ambavyo haviwezekani.NITAMKUMBUKA
MUHONGO KWA:1. Uwazi wake kwa
Watanzania bila kujali mihemko ya walioukataa ukweli
2. Kusimamia kazi ya kusambaza umeme vijijini kwa kasi ya
ajabu 
3. Kudhibiti tatizo la mgao wa umeme
4. Uwezeshaji kwa wachimbaji wadogo
5. Kuweka mbele maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi binafsi
6. Ujasiri wa kukata mirija ya wanyonyaji wizarani bila
kujali utajiri wao.
7. Kusimamia kigezo cha kuwa na mtaji kwenye mradi wa gas 
8. Ni waziri ambaye bajeti zake zilikuwa clear zimejaa
miradi ya msingi na si porojo za kisiasaKutokuwa tayari
kuwadanganya watanzania na kuwapa matumaini kwa vitu ambavyo
haviwezekani, kukata mirija ya mapepari uchwara wa ndani,
kuwana msimamo kwa anayoyaamini haya ndiyo yaliyomuondoa
Muhongo. Watanzania tumekubali kuwapa ushindi ni watu
wabadhirifu waliomuona Prof. Muhongo ni kikwazo kwao
kwasababu walinyimwa vitalu vya familia kwa maslahi ya
umma.Any
way Hongera kwa kazi nzuri, hongera kwa msimamo kwa
tunaotambua uwezo wako tumesikitishwa na jambo hili. Hakika
ulikuwa waziri wa kutiliwa mfano wewe ni shujaa uliyesimamia
na kuitendea haki taaluma yako na kukataa kuburuzwa na
wababaishaji.Kwa hali hii
tusitegemee wasomi wengine wa Tanzania ambao wanafanya kazi
kwenye mashirika makubwa duniani kukubali kuziacha nafasi
zao kwa kigezo cha uzalendo wa kuja kuisaidia nchi yao
ilhali nchi inaendeshwa kutokana na mihemko na mfumo haupo
tayari kuona wala kusikia uhalisia wa mambo.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment