Hawa wakowengi vipi nikisema hii ni tuhuma na wewe nikakutuhumu mkeo kuchepuka na padre. Ujue maneno ya vijiweni yanatupotezea muda huku tukijua fika sie sijukwaa la usalama wa taifa tuhuma nzito kama hizi haziend mahakamani?!
On Jan 22, 2015 8:19 AM, "'Pius Makomelelo' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--
Huu uandishi mwingine ni wa kichokozi! Unauliza na kujijibu! Unataka ujibiwe au uamushe malumbano! Endelea basi kutujuza tusiojua! Au kuna agenda nyuma ya pazia!!!!
------------------------------
On Wed, Jan 21, 2015 11:00 PM GMT 'Salha Bakari' via Wanabidii wrote:
>Lakimi pia mtoa hoja, amesahau kutuambia kuwa na yeye anahangaika na nini huko Dar, hicho cha mkono kwenda kinywani.Au ndo hayo mapanya buku, sjui mapanya road, yanayotaka kutumia short cut ili yaje kuwa mapanya 'LOARD".
>
>Ila hoja yake imekaa kimajungu majungu tu.Mara asitaje watu , mara kawataja.SIONI MASHIKO YA HUU MJADALA
>
>Regards,
>SB
>--------------------------------------------
>On Wed, 1/21/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] KANISA KATOLIKI TUAMBIENI KILICHOMUONDOLEA WITO WILBROAD SLAA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, January 21, 2015, 10:04 PM
>
> Nimesoma maandishi haya sikuona
> sababu ya kuliuliza Kanisa kutwambia kwa nini Dr Slaa
> aliacha upadri.
> Ni kwa sababu atagombea urais au
> Ni kutaka kulisaidia Kanisa liondokane na mitafaruku
> inalokumbana nalo?
> Sioni kujitoa kwa Slaa kwenye ukasisi kunavyoweza kuhusiana
> na uwezo wake wa kugombea urais na kuliongoza Taifa kama
> Rais?
> Na 'kitendawili' hiki cha muda mrefu sijajua ni cha akina
> nani wanaotaka kuteguliwa. najua tu kuwa hakimo kwenye
> sababu za kugombea urais.
> Nahitaji kuelimishwa sabau hasa za kutaka kujisumbua
> kuishughulikia mitafaruku ya kanisa katoliki na uhusiano
> wetu na uchaguzi ujao. Semi nyingine zinaweza kuchochea
> hisia za kanisa hili na siasa za nchi hii tukajikuta
> tunaenda tusikolenga
> --------------------------------------------
> On Wed, 1/21/15, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com>
> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] KANISA KATOLIKI TUAMBIENI
> KILICHOMUONDOLEA WITO WILBROAD SLAA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, January 21, 2015, 7:30 PM
>
> KANISA
> KATOLIKI TUAMBIENI KILICHOMUONDOLEA WITO WILBROAD
> SLAANdugu
> wapendwa nawasalimu kwa jina la yeye aliyejuu.Wakati
> tukielekea kuwapata viongozi wa kitaifa hapo mwezi Oktoba
> mwaka huu wa 2015, nimeona leo niliombe Kanisa Katoliki
> lituaidie kutegua hiki kitendawili hiki cha muda mrefu cha
> mmoja wa watajwa wenye nafasi ya urais katika uchaguzi
> mkuu
> ujao alikuwa akilitumikia katika nafasi za juu kabisa za
> uongozi.Naamini
> Kanisa linajua vema sababu za WILBROD SLAA kuacha
> kuitumikia
> Kanisa kama Padre. JE alifukuzwa au aliacha mwenyewe na
> kwa
> sababu gani? Tupate kujua ili kipindi hiki ambacho
> tunaelekea kuwa naye kwenye harakati za kuusaka urais
> tupate
> kujua tuna mgombea wa aina gani.Mimi
> ni mzaliwa wa Mkoa wa Arusha na mwenyeji wa mji mdogo wa
> Manyara, njiani kuelekea nyumbani kwa Wilbroad Slaa yaani
> KARATU.Nimeishi
> kwenye mkoa wangu tangu nimezaliwa, nikasomea elimu yangu
> ya
> msingi hadi sekondari kabla ya kuendelea na masomo ya
> elimu
> ya juu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kwa sasa
> naishi
> Dar kutokana na mihangaiko ya hapa na pale ili mkono upate
> kwenda kinywaniKanisa
> Katoliki mara kadhaa limekuwa likikumbwa na kashafa za
> aina
> mbili na hasa mkoa wa Manyara na Arusha hususan majimbo ya
> Mbulu na Karatu, Kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za
> Kanisa na ile ya Mapadre kujihusisha na Mapenzi kinyume na
> Sheria za Kanisa, nitatoa mfano.PADRE
> mmoja wa jimbo la Mbulu(jina nalihifadhi ila kama kuna
> mwingine anaifahamu hii scandal anaweza kumtaja ili
> kudhihirisha ukweli wa mfano huu) aliwahi kuchukua fedha
> za
> kanisa mil.300 akazipeleka kwa mganga wa kienyeji ili
> zifanyiwe madawa kwa kuamini kuwa zitaongezeka,
> kilichotokea
> ni mganga yule kutokomea na zile pesa bila Padre kujua .
> Sakata hili liliwagharimu sana waumini kwani walilazimika
> kutoa sadaka 3 badala ya 2 kama ilivyo kawaida ili kufidia
> pesa zilizopotea. Nakumbuka Sakata hilo lilimhusisha pia
> Makamu wa Askofu jimbo la Mbulu wakati huo akiwa father
> John
> Nada ambapo Askofu wa jimbo hilo akiwa Yuda Thadei Rwaichi
> ambaye hivi sasa ni askofu wa jimbo la Mwanza.Kuhusu
> kashfa ya Mapenzi, namfahamu PADRE mmoja (jina
> nalihifadhi)
> ambaye hivi sasa kituo chake cha kazi kipo KARATU, huyu
> ameoa na ana watoto, Mke wake alikuwa mwalimu wa shule
> moja
> ya sekondari ya kata pale Mbulu mjini ambaye kwa sasa yuko
> ofisi ya utamaduni katika halmashauri ya Wilaya
> Mbulu.Nirudi
> sasa kwenye hoja msingi, pamoja na mifano hiyo miwili bado
> Kanisa limeendelea kuwavumilia watu hao na mpaka leo ni
> watumishi wazuri tu wa Mungu, Swali langu ni kosa gani
> kubwa
> ambalo SLAA alifanya ndani ya kanisa? NI muhimu sana
> tukaambiwaZIPO
> TETESI kuwa mambo yaliomuondoa SLAA kama mtumishi wa Mungu
> aidha kwa kufukuzwa ama yeye mwenyewe kuona aibu kuwa ni
> pamoja na:Kuhujumu
> mradi wa ujenzi wa Nyumba za Masista kule Kurasini jijini
> Dar es Salaam wakati akiwa Katibu wa Maaskofu.Kuweka
> kibindoni pesa nyingi zilizopatikana kutokana na
> maandalizi
> ya ujio nchini wa papa John Paul wa pili wakati yeye SLAA
> akiwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.Kanisa
> tuambieni SLAA alifanya nini huko?Mbali
> na hayo ambayo Kanisa lingetusaidia kumhusu Wilbroad Slaa,
> lakini pia ingependeza kama SLAA yeye kama yeye pamoja na
> kuyajibu hayo ambayo tunawasumbua viongozi wake wa kiroho
> pia atujibu haya yanayoongelewa mtaani kuwa:Kupitia
> Hospitali ya CCBRT alitengeneza mradi hewa wa kujenga
> hospitali ya kisasa kabisa eneo la mlalakua jijini Dar es
> Salaam ili apate msaada kutoka kwa wafadhili. Zipo taarifa
> kuwa kutokana na mpango huo wafadhili pamoja na kukubali
> kufadhili ujenzi wa hospitali hiyo lakini pia walishampa
> kiasi fulani cha Magari ambayo yaliingizwa nchini pasi
> kulipa kodi na hayajulikani yalipo.Nawasilisha.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment