Ahaaa , Dr Slaa mzee wa Tunda .
On Thursday, January 22, 2015 at 3:03:13 PM UTC+3, Telesphor Magobe wrote:
-- On Thursday, January 22, 2015 at 3:03:13 PM UTC+3, Telesphor Magobe wrote:
Eti badala ya kujadili kwa nini elimu ya Tanzania inaanguka, kwa nini vitendo vya rushwa vinakithiri, kwa nini Watanzania ni maskini licha ya kwamba nchi ina raslimali nyingi, tuje tujadili kwa nini Dk Slaa aliacha upadre! Kama pia licha ya kujadili masuala yenye maslahi kwa taifa tuje tujadili kwa nini fulani alihama shule moja kwenda nyingine, kwa nini aliacha kazi mahali fulani na kwenda kufanya kazi sehemu nyingine, kwa nini alihama kutoka wilaya au mkoa mmoja kwenda mwingine au kwa nini aliamua kuachana na nyumba ya nyasi na kujenga ya bati au pia kwa nini alimua kuachana na baiskeli na kununua gari au kuachana na kuvaa kabdula na kuanza kuvaa suruali au pia kwa nini zamani alikuwa havai miwani na sasa anavaa miwani au kwa nini zamani mshara wake ulikuwa mdogo na sasa ni mkubwa au pia kwa nini zamani hakuwa na watoto na sasa ana watoto! Kweli haya ndiyo mambo ya kujadili na kama tukijadili haya mambo, kweli yana tija yoyote katika maendeleo yetu?2015-01-22 14:43 GMT+03:00 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>:Kwani hiyo ni 'issue' inayopaswa kujadiliwa ana ni 'suala binafsi', tena linalogusa imani, mafundisho na mapokeo ya taasisi kama Kanisa Katoliki?On Thursday, January 22, 2015 2:56 AM, 'malosha zephania edward' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
Habari wapendwa katika masuala ya siasa.Nashukuru ndugu yetu ameuliza suala la SLAA kuondoka katika ukasisi wa kanisa katoliki. Lakini mimi nina maswali ya kuuliza kidogo juu ya kile anachotaka kujibiwa. ingawa alitakiwa ajibiwe ndio tuulize lakini ataniwia radhi sina majibu ya anachotaka kujibiwa lakini1. Sio mara ya kwanza haya kuhojiwa juu ya SLAA, tumesikia kucha mke, kuiba mke , kuacha ukasisi, na kapelekwa mahakani, ebu nami niungane na Oksana Spice kwanini leo mwaka wa uchaguzi yanakuja haya? Yaliulizwamwaka 2010 kama kweli watu wanania ya dhati ya kutaka kujua haya kwanini hawakuyaendeleza baada ya uchaguzi miaka mitano imeisha hayasemwi leo watu wanaibuka na sam story?2. Kama ameiba mke, aliacha mke wa ndoa, aliiba hela za michango ya papa Yohana wa Pili au ujenzi wa hiyo hospitali yakijulikana ukweli wake then what?3. Mbona yapo mengi sana ambayo hayahitaji ushahid au kuuliza lakini hakuna anayeyasema?Simtetei lakini nadhani hoja hizi zinakuja kwa kuwa uchaguzi umekaribia, zingekuwa hoja mpya nadhani kulikuwa na haja ya kujua. Mfano huwezi kumsakama Lowasa leo eti kaiba au kaingiza hasara taifa mambo ya tangu 2008 hayajafanyiwa kazi uje uhoji kwa kuwa anagombea(tetesi) itakuwa ni kumharibia. Ingekuwa ni kashifa mpya kama ya escrow kama naye ingesemekana yumo hapo tunapashwa kuhoji. Huo ni udhaifu wetu kama taifa kutoshughulikia mambo yakiwa bado ya moto tunayaacha tunasubiri uchaguzi na kuibeba hiyo kama kashifa ya kumpiga nayo.Twende mbele SLAA anyemwona anafaa ampe kura aingie IKULU ya magogogni akapige mzigo tumpime kwa hayo.Nilikuwa napita nikasimama kidogo hapaKazi njema WatzOn Thursday, 22 January 2015, 2:03, 'Salha Bakari' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
Lakimi pia mtoa hoja, amesahau kutuambia kuwa na yeye anahangaika na nini huko Dar, hicho cha mkono kwenda kinywani.Au ndo hayo mapanya buku, sjui mapanya road, yanayotaka kutumia short cut ili yaje kuwa mapanya 'LOARD".
Ila hoja yake imekaa kimajungu majungu tu.Mara asitaje watu , mara kawataja.SIONI MASHIKO YA HUU MJADALA
Regards,
SB
--------------------------------------------
On Wed, 1/21/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KANISA KATOLIKI TUAMBIENI KILICHOMUONDOLEA WITO WILBROAD SLAA
To: wana...@googlegroups.com
Date: Wednesday, January 21, 2015, 10:04 PM
Nimesoma maandishi haya sikuona
sababu ya kuliuliza Kanisa kutwambia kwa nini Dr Slaa
aliacha upadri.
Ni kwa sababu atagombea urais au
Ni kutaka kulisaidia Kanisa liondokane na mitafaruku
inalokumbana nalo?
Sioni kujitoa kwa Slaa kwenye ukasisi kunavyoweza kuhusiana
na uwezo wake wa kugombea urais na kuliongoza Taifa kama
Rais?
Na 'kitendawili' hiki cha muda mrefu sijajua ni cha akina
nani wanaotaka kuteguliwa. najua tu kuwa hakimo kwenye
sababu za kugombea urais.
Nahitaji kuelimishwa sabau hasa za kutaka kujisumbua
kuishughulikia mitafaruku ya kanisa katoliki na uhusiano
wetu na uchaguzi ujao. Semi nyingine zinaweza kuchochea
hisia za kanisa hili na siasa za nchi hii tukajikuta
tunaenda tusikolenga
--------------------------------------------
On Wed, 1/21/15, Oksana Spice <worldn...@gmail.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] KANISA KATOLIKI TUAMBIENI
KILICHOMUONDOLEA WITO WILBROAD SLAA
To: wana...@googlegroups.com
Date: Wednesday, January 21, 2015, 7:30 PM
KANISA
KATOLIKI TUAMBIENI KILICHOMUONDOLEA WITO WILBROAD
SLAANdugu
wapendwa nawasalimu kwa jina la yeye aliyejuu.Wakati
tukielekea kuwapata viongozi wa kitaifa hapo mwezi Oktoba
mwaka huu wa 2015, nimeona leo niliombe Kanisa Katoliki
lituaidie kutegua hiki kitendawili hiki cha muda mrefu cha
mmoja wa watajwa wenye nafasi ya urais katika uchaguzi
mkuu
ujao alikuwa akilitumikia katika nafasi za juu kabisa za
uongozi.Naamini
Kanisa linajua vema sababu za WILBROD SLAA kuacha
kuitumikia
Kanisa kama Padre. JE alifukuzwa au aliacha mwenyewe na
kwa
sababu gani? Tupate kujua ili kipindi hiki ambacho
tunaelekea kuwa naye kwenye harakati za kuusaka urais
tupate
kujua tuna mgombea wa aina gani.Mimi
ni mzaliwa wa Mkoa wa Arusha na mwenyeji wa mji mdogo wa
Manyara, njiani kuelekea nyumbani kwa Wilbroad Slaa yaani
KARATU.Nimeishi
kwenye mkoa wangu tangu nimezaliwa, nikasomea elimu yangu
ya
msingi hadi sekondari kabla ya kuendelea na masomo ya
elimu
ya juu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kwa sasa
naishi
Dar kutokana na mihangaiko ya hapa na pale ili mkono upate
kwenda kinywaniKanisa
Katoliki mara kadhaa limekuwa likikumbwa na kashafa za
aina
mbili na hasa mkoa wa Manyara na Arusha hususan majimbo ya
Mbulu na Karatu, Kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za
Kanisa na ile ya Mapadre kujihusisha na Mapenzi kinyume na
Sheria za Kanisa, nitatoa mfano.PADRE
mmoja wa jimbo la Mbulu(jina nalihifadhi ila kama kuna
mwingine anaifahamu hii scandal anaweza kumtaja ili
kudhihirisha ukweli wa mfano huu) aliwahi kuchukua fedha
za
kanisa mil.300 akazipeleka kwa mganga wa kienyeji ili
zifanyiwe madawa kwa kuamini kuwa zitaongezeka,
kilichotokea
ni mganga yule kutokomea na zile pesa bila Padre kujua .
Sakata hili liliwagharimu sana waumini kwani walilazimika
kutoa sadaka 3 badala ya 2 kama ilivyo kawaida ili kufidia
pesa zilizopotea. Nakumbuka Sakata hilo lilimhusisha pia
Makamu wa Askofu jimbo la Mbulu wakati huo akiwa father
John
Nada ambapo Askofu wa jimbo hilo akiwa Yuda Thadei Rwaichi
ambaye hivi sasa ni askofu wa jimbo la Mwanza.Kuhusu
kashfa ya Mapenzi, namfahamu PADRE mmoja (jina
nalihifadhi)
ambaye hivi sasa kituo chake cha kazi kipo KARATU, huyu
ameoa na ana watoto, Mke wake alikuwa mwalimu wa shule
moja
ya sekondari ya kata pale Mbulu mjini ambaye kwa sasa yuko
ofisi ya utamaduni katika halmashauri ya Wilaya
Mbulu.Nirudi
sasa kwenye hoja msingi, pamoja na mifano hiyo miwili bado
Kanisa limeendelea kuwavumilia watu hao na mpaka leo ni
watumishi wazuri tu wa Mungu, Swali langu ni kosa gani
kubwa
ambalo SLAA alifanya ndani ya kanisa? NI muhimu sana
tukaambiwaZIPO
TETESI kuwa mambo yaliomuondoa SLAA kama mtumishi wa Mungu
aidha kwa kufukuzwa ama yeye mwenyewe kuona aibu kuwa ni
pamoja na:Kuhujumu
mradi wa ujenzi wa Nyumba za Masista kule Kurasini jijini
Dar es Salaam wakati akiwa Katibu wa Maaskofu.Kuweka
kibindoni pesa nyingi zilizopatikana kutokana na
maandalizi
ya ujio nchini wa papa John Paul wa pili wakati yeye SLAA
akiwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.Kanisa
tuambieni SLAA alifanya nini huko?Mbali
na hayo ambayo Kanisa lingetusaidia kumhusu Wilbroad Slaa,
lakini pia ingependeza kama SLAA yeye kama yeye pamoja na
kuyajibu hayo ambayo tunawasumbua viongozi wake wa kiroho
pia atujibu haya yanayoongelewa mtaani kuwa:Kupitia
Hospitali ya CCBRT alitengeneza mradi hewa wa kujenga
hospitali ya kisasa kabisa eneo la mlalakua jijini Dar es
Salaam ili apate msaada kutoka kwa wafadhili. Zipo taarifa
kuwa kutokana na mpango huo wafadhili pamoja na kukubali
kufadhili ujenzi wa hospitali hiyo lakini pia walishampa
kiasi fulani cha Magari ambayo yaliingizwa nchini pasi
kulipa kodi na hayajulikani yalipo.Nawasilisha.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment