Tuesday, 20 January 2015

Re: [wanabidii] Kama Ni Mdahalo Wa Urais; Hivi ni haki kwa Dovutwa kupewa muda sawa na Profesa Lipumba kwenye mdahalo...?

Ndaki, ahsante sana. Lakini, ni comment hiyo unayoidhihaki ndiyo inatusaidia hapa kujifunza kupitia mijadala. Wewe ulitaka niwe na hadhi gani? Mimi ni Maggid tu.

2015-01-20 4:01 GMT-08:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:
Hivi uzoefu toka kwa wenzetu magharibi walioanza siasa hizi za vyama vingi muda mrefu uko vipi? Nafikiri wanataratibu nzuri za kuchuja na kubaki na wagombea wenye vigezo sahihi. Ninachokiona hapa kwetu kila mtu anajiona anaweza kuwa rais wa nchi.

2015-01-20 14:27 GMT+03:00 'john mushi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mdahalo wapewe wagombea watatu tu. Nao watoke kwenye vyama vyenye nguvu, na sio utitiri wa wagombea ambao kwenye chama ni yeye tu anayejulikana, hata kule kwenye serikali za mitaa hana mtu yeyote!kama Ukawa wataungana BasiMdahalo uwe wa wagombea wawili Tu, yaani CCM na UKAWA.Anayetaka ajiunge Ukawa ili achaguliwe huko kama ana ubavu.

From: Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, January 20, 2015 8:32 AM
Subject: Re: [wanabidii] Kama Ni Mdahalo Wa Urais; Hivi ni haki kwa Dovutwa kupewa muda sawa na Profesa Lipumba kwenye mdahalo...?

Midahalo wapewe nafasi wagombea wa urais ambao wameonesha umakini

Kutokana na uwingi wa vyama utakuta msururu wa wagombea ambao baadhi yao ni mamluki tu,hawana maana

On Tue, Jan 20, 2015 at 12:01 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
maggid hii coment yako mbona haiendani na hadhi yako au kuna mtu anatumia anuani yako?
On Jan 17, 2015 9:50 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Kwa vile tu Dovutwa naye ni mgombea urais. Huku tukijua kuwa chama anachokiongoza Dovutwa hakijawahi hata kushinda nafasi ya ujumbe kwenye Serikali ya Mtaa. Kama kuna dakika 60 za mdahalo wa Urais Dovutwa ana haki ya kupata mgawo sawa wa dakika za kuzungumza na Profesa Lipumba? 
Je, tutakuwa tumewatendea haki wapiga kura?
Nimechokoza mjadala..
Kama mwenyekiti kijiji wa kijiji cha Mjengwablog.com
Maggid.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment