Ndimara Tegambwage,
Yupo Dar es Salaam na ni mwenzetu katika Jukwaa hili la Mabadiliko. Kwahiyo Stambuli kama wewe ni msomaji wa mada nyingi hapa jukwaani, utakutana naye tu mwalimu wako. Mimi nilimfahamu Mzee Tegambwage kupitia kitabu chake cha Duka la Kaya. Riwaya hii ilikuwa ikitumika kwenye mtalaa wa Kiswahili katika elimu ya Sekondari pamoja na vitambu vingine viwili; SHIDA cha Marehemu Ndyanao Balisidya (Rose Materu) na KULI cha Shafi Adam Shafi.
Kitabu hii ambacho kutokana na maudhui yake tulikiitwa kwa kifupi DK (Dar Kwema au Dukani Kutupu), kiliondolewa katika uchambuzi wa Riwaya mwishoni mwa 1993 baada ya Mzee Ndimara kuanza harakati za kisiasa. Sasa mie sifahamu kama kuingia kwake kwenye siasa kulisababisha hilo, au kuna sababu nyingine. Mzee Ndimara,siku ukipata nafasi naomba utusaidie kujibu hili jambo. Jumapili njema na asante Majjid kwa kutukumbusha mbali.
2014-12-07 2:38 GMT-08:00 'Elvan Stambuli' via Mabadiliko Forum <mabadilikotanzania@googlegroups.com>:
Mimi pia ni mwalimu wangu na rafiki. lakini sijui alipo.On Sunday, December 7, 2014 1:26 AM, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
--
Ndugu zangu,
Nimemsoma Mwalimu wangu Ndimara tangu nikiwa Sekondari pale Tambaza. Si wengi wenye kujua, kuwa Ndimara alipata kuwa mwandishi wa magazeti ya Chama, Uhuru na Mzalendo. Nimekutana na mwalimu wangu Ndimara mara kadhaa, na kila tunapokutana huwa tunaanzisha mada ya kubishana kwa hoja. Na si wengi wenye kujua kuwa Ndimara alipata kuwa mweka hazina wa NCCR Mageuzi na hata akawa mbunge kwa muhula mmoja. Mwalimu wangu Ndimara anazijua harakati za siasa za upinzani, na anaifahamu vema media ya nchi hii.
Picha hiyo hapo juu ni ya kwenye maktaba yangu.
Maggid,
Iringa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye5U%3DZSZiF4tME3jm1oh%3D7MVmc%2BRgsfxsr3ekS0zgR9Ukg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1754669140.6218748.1417948684620.JavaMail.yahoo%40jws10663.mail.bf1.yahoo.com.--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
--
Neville C. Meena,
Secretary - Tanzania Editors Forum - TEF,
Dar es Salaam - Tanzania.
Cell: +255 - 787 - 675555
+255 - 753 - 555556
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment