Jamani mbona nyumba yangu hamjisikii kuinunua, mnakosa vimilioni 30 jamani, pembeni kuna kiwanja cha ukubwa wa kutosha kujenga nyumba nyingine kubwa.
--------------------------------------------
On Wed, 12/3/14, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] offer, kiwanja 2m
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, December 3, 2014, 10:47 AM
Kiwanja cha aina
hii kisichokuwa na maelekezo sahihi, si ajabu, kiko kwenye
eneo linalokumbwa na mafuriko!
Kingine, Molel,
tulishakushauri, kwa vile kazi hii inaonekana kama ndio
ajira yako, basi, unapotoa taarifa, tulia, na andika kwa
utulivu ili watu wakuelewe. Ndio, tunajua mwisho wa mwaka
unakaribia na pilika zake ni nyingi, pamoja na mahitaji ya
fedha ni mengi, lakini sio kwa staili hii.
Please, be
serious with your work, specific, and to the point.
Maana kwa ujumbe
wako, mtu anaweza akakufuata, kisha, kama walivyo madalali
wengine, utamwambia, kabla sijakubeleka kwenye eneo husika,
nipe ujira wangu au kamisheni yangu ya kukuonyesha au kama
mnavyoita wenyewe, kifunga uchumba. Kumbe nyuma ya pazia kwa
sababu ulizozijua mwenyewe, hukutaka kuziweka wazi, unenda
na mteja wako kuona eneo husika, kumbe liko bondeni, kwenye
mkondo wa maji, au halifikiki kwa barabara, au liko mbali,
uswekeni kusikofikika kirahisi! Mteja, anakwazika, lakini,
wewe unashangilia, maana umeshamvuna kifunga uchumba!
Yalishanikuta, na
nimepitia kwa madalali kupata huduma msingi mji huu, na
inauma ukiona mnavyotengeneza fedha kwa jasho jembamba na
wakati mwingine mnalazimisha kupata fedha hata msizostahili.
Nisiongee sana, ila, kuwa makini na kazi yako.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment