Kwa hiyo muheshimiwa Rais anatuambia kwamba tuna Wabunge vilaza hasa waliokua kwenye kamati ya P.A.C??
Tuna mdhibiti wa serekali Kilaza??
Tuna Takukuru ya vilaza??
Tuna Benki kuu inayoongozwa na vilaza??
Kwa nini nimemuuliza hivyo, taarifa ya fedha hizo zilianzia huko kote mpaka kutufikia wananchi, sasa Mimi sielewi.
On Dec 24, 2014 9:43 AM, "'weston mbuba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Ni la IPTLOn Tuesday, December 23, 2014 4:25 PM, 'godbless maleko' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mimi nilitaka kumsaidia mchangiaji aliyepita kwamba Tanesco walitakiwa wawe wameweka kiasi cha Tshs. billion 306, lakini waliweka kwenye account ya eksikrow Bilioni 203. Hivyo fedha zilizowekwa naTanesco zilikuwa pungufu kwa karibu billion 100.
Swali langu ni moja ambalo kwa kweli sijalielewa vizuri
Account ya Eksicrow ilifunguliwa kwa ajili ya sababu maalum, kwa muda maalum, na endapo kama sababu zilizofanya account hiyo ifunguliwe zimeshatafutiwa ufumbuzi ndio account hiyo ingefungwa. Sasa Mahakama iliamua account hiyo ifungwe wakati sababu za kufunguliwa kwake zilikuwa hazijatafutiwa ufumbuzi. Ile formula ya kukokotoa capacity charges ilikuwa hazijakubaliana kati ya Tanesco na IPTL. Ndio maana Majaji hapa kuna waliopewa hongo ili kuruhusu account kufunwa bila Tanesco kuridhia. Kwani Tanesco ni nani? Ni shirika la umma linaloendeshwa na Watanzania, kama hawana uchungu wowote na hili shirika wanaweza pokea hela ili fedha zitolewe.
Kwa hiyo swali langu kubwa ni kwanini, account ilifungwa wakati mgogoro wa jnsi ya kukokotoa capacity charges ilikuwa haijatolewa?????
Sadick
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment