Bad money or good money is just MONEYYYY!!!!!!
On Dec 22, 2014 12:09 AM, "mngonge franco" <mngonge@gmail.com> wrote:
-- Mimi napita tu, ninachokiona hapa ni mahaba niue au uchumia tumbo tu. Ni bahati mbaya tu kwamba sioni mwenye uwezo wa kiakili na kinguvu anayetosha kuliongoza taifa letu. They are all mediocre politicians--2014-12-22 9:02 GMT+03:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Elisa hayo ni yako na chuki zako juu ya mzee wa watu.....angesema maneno hayo membe usingeyatafsiri hivyo.
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Umakini wake huuoni?
>Hukumsikia majuzi wakati wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitta kule jimboni kwake.
>Aliwaambia watanzania waache kusikiliza maneno yanayosemwa kwenye vyombo vya habari bali waone kama ilani ya chama imetekelezwa. Anasema kama haikutekelezwa basi wananchi wakasirike. Kama imetekelezwa wacheke tu wasisikilize mambo mengine. Unajua alimaanisha yapi Yale ya Kelele za ESCROW, bila shaka na za richmond.
>Maana yake hakuna haja ya kuchunguza matumizi ya mapato wetu. Kama wataiba sawa. kama wataandaa matafrija sawa. Wakiamua kugawana zilizokusanywa sawa ili mradi ilani imetekelezwa hata kama tunazokusanya anakula na miradi inajengwa kwa mikopo na missaada.
>Huyu atakosa wapambe humu? hao ndio wakuu wa wilaya watarajiwa. Kila tarafa itqkuwa wilaya ili kuwaridhisha. Tutarajie mawqziri sabini.
>Tusubiri
>--------------------------------------------
>On Sun, 12/21/14, 'Lentils Joel Mwandobo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAONI YANGU HURU JUU YA WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA CCM
> To: wanabidii@googlegroups.com, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
> Date: Sunday, December 21, 2014, 8:59 PM
>
> Naona
> kale kamsemo ka mahaba niue bado kana watesa watu wengi.
> Sijaona umakini wa huyo anayesifiwa sana.
> Pengine tukubaliane kuwa mara nyingi tunachagua
> viongozi kwa hisia kama mleta mada na Wengineyo. Shida
> kubwa ya nchi yetu si utendaji kama wengi tunavyotaka
> kuaminisha watu. Shida kubwa ya nchi hii ni mfumo
> uliooza kimadili na si utendaji. Hili ndicho kiini cha
> matatizo yetu. Hapa ndipo tuliponunuaumaskini kwa gharama
> nafuu.
> Sasa naombeni msaada wenu kiwango cha maadili kwa
> wagombea wenu. Wanaonekana wana nguvu na kupendekeza
> na watu ni watu wa maadili.ukiwahoji hata biashara zao
> hazijulikani. Ni bahati mbaya kwa Tanzania tunachagua
> viongozi kiushabiki. Hivi kupendwa maana yake ni me ndani
> mzuri???
>
> Sent
> from Samsung Mobile
>
> -------- Original message --------From:
> 'ngupula' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date:21/12/2014 20:12 (GMT+03:00)
> To: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>,
> wanabidii@googlegroups.com Cc:
> Subject: Re: [wanabidii] MAONI YANGU HURU JUU YA
> WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA CCM
> Bwana Emma Kaaya,umefanya kosa kubwa sana
> kumlinganisha Lowassa na Membe...ni sawa na kumlinganisha
> Diamond na Bushoke. Lowassa hapingiki hata iweje. Na hata
> hiyo kadhfa yao ya richmond hawataki tu kukubali kuwa ni
> kashfa feki kwake na wenye mradi huo ni wengne...na msingi
> mkubwa ni chuki tu. Hakuna asiyejua kuwa Lowassa ana uwezo
> wa kuibadilisha nchi hii...sema tu kama tulivyo
> wabongo...tunameza ngamia na kuchuja mbu...mi ningeipenda
> topic hii kama ingemhusu lowassa na mwigulu...membe ni
> mwanadiplomasia mzuri ...lkn tanzania hatuna tatizo na
> diplomasia....tuna shida na utendaji na umakini wa
> viongozi....mimi.nampa membe 36% ya umakini katika
> utendaji.
>
> Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
>
> Naona yamekuja tu kumfagilia Lowassa. Ungefanya haki
> kama ungewachambua wote na si Lowassa tu na hasimu wake
> Membe.em
> Sent from my iPhone
> On Dec 21, 2014, at 9:22 AM, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
> wrote:
>
> MAONI
> YANGU HURU JUU YA WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA
> CCMNinajua
> maoni haya yatapata tafsiri nyingi.nawajibika binafsi na
> maoni haya.ni yangu. Nitaorodhesha kulingana na likeability
> na ninavyoona uzito wa mtu.1.LOWASSA
> Mgombea huyu ana nguvu za ajabu sana katika chama kwa ujumla
> na hata ana nguvu na watu wake tayari na kwa muda mrefu
> katika media, katika makanisa, katika misikiti, na katika
> makundi muhimu ya kijamii.
> Kama hakutakuwa na maamuzi kama yaliyofanyika wakati wa JK
> kwenye vikao vya uteuzi basi Lowassa ndiye atakuwa rais
> ajaye.
> Kashfa za richmond na mabaya yanayosemwa dhidi yake wala
> hayamuathiri vyovyote kama akipitishwa na vikao vya chama.
> Lakini kwa maoni yangu na kwa mwenendo unavyokwenda CCM
> vikao vya chama kupitia saduku la kura hana mpinzani ndani
> ya ccm kizingiti ni kamati kuu CC, NEC na mkutano mkuu ni
> mteremko kwa lowassa.
> Changamoto ya kiafya ni kama alivyozushiwa Prof Dr kikwete
> kuwa mgonjwa ili hali mwenye kujuwa afya ni yeye mwenye kwa
> msaada wa madaktari na Mungu wake leo anamaliza awamu yake
> salama salimin2.
> MWIGULLU
> Labda mnajua kuwa huyu bwana yeye mwenyewe hajatangaza nia
> moja kwa moja. Anafanya hivyo kupitia kwa watu wengine
> Kwa hali ilivyo sasa kama Lowassa hatapitishwa kwa namna
> yoyote ile, mawazo yangu ni kuwa Mwigullu aweza kuwa rais wa
> nchi hii.
> Tunaweza kubishana juu ya umri na uwezo wa uongozi, lakini
> Mwigullu anaonekana ana advantage kubwa sasa kuliko wengi.na
> ni rahisi kambi ya lowassa kuhamia kwake.3.
> MEMBE
> Nje ya msaada wa familia kuu hana uwezo wowote wa
> kuchaguliwa na vikao vya uteuzi.
> Membe hakika akipitishwa na CCM kuna uwezekano mkubwa wa
> upinzani kushinda maana hata kadi yake ya chama amejiunga
> 2003 hana uzoefu vizuri na chama kama wataweka mgombea
> mzuri.
> Membe
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment