cdhani kama ni kweli watu wa kagera wamepinga hizo ni porojo kwahy wao wanafurahia wizi huo mbunge wao fisadi tu ameondolewa kwa sababu ya kukubali ulafi kupokea mihela yooote hiyo na kukimbiza kwenye shule yake kwanini asingewapelekea kule muleba kama kweli anawapenda
Haingiii akilini bana hizo ni mbwembwe tu aondoke akamalizie na ubunge wake, alikua anatamba kua hajiuzulu na kua yeye ni jembe wapi sasa ujembe wake, ujembe wa kutuibia jamani
From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, December 26, 2014 7:52 AM
Subject: Re: [wanabidii] Kauli ya Prof. Tibaijuka baada ya Rais kutengua uteuzi wake
Nasikia zimbabwe wametangaza siku ya mapumziko kusherehekea kufutwa kazi kwa huyu mama hivi alitibuana nao nini na lini?
On Dec 24, 2014 9:59 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Rais kumuondoa Tibaijuka kwa sababu fedha za shule zimepitia kwenye account yake binafsi ni rahisi kufikirika kuwa rais akitaka kuwalinda wengine isingeonekana anafaa bila kupata wa kuwajibisha. Huu nao ni udhaifu wa kibinadamu. Nafikiri rais lazima awe frastrated na hali hii ya kulazimika kubadilisha wateule kwa sababu hawafai. Lakini wakosaji wakubwa kabla ya Kumfikia Tibaijuka angekuwa amewawajibisha akina Muhongo.
Ninalolishangaa jingine ni kuiachia bodi ya Tanesco kumaliza muda wake. Hata wangekuwa wamebakiza dakika kumi. Alistahili kuwafukuza kabla ya muda huo. Nitakumbuka alichokifanya kwa Gavana wa Benki kuu Marehemu Galali. Alipoomba kujiuzuru alimkatalia na baadaye akamfukuza.
Lakini kiini kikubwa ni Rais kushindwa kutambua kuwa fedha za ESCROW zilikuwemo na za umma
--------------------------------------------
On Wed, 12/24/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Kauli ya Prof. Tibaijuka baada ya Rais kutengua uteuzi wake
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, December 24, 2014, 8:43 AM
[Baadhi
ya] Wananchi mkoani Kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete
kwa kumuondoa madarakani Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
na kuwaweka kiporo viongozi wengine walioshiri kuhujumu pesa
za akaunti ya Tegeta Escrow.
Nao baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya mkoa
huo akiwemo Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi
mkoa wa Kagera, Hamim Mahamoud amepongeza uamuzi wa Rais
alioutoa jana kwa kumuondoa kiongozi huyo.
Kwa upande wake, Katibu wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) katika Manispaa ya Bukoba, Victor
Sherejei akisema kuwa Rais hajatoa uamuzi sahihi. Amemtaka
Rais kuwafahamisha Watanzania ni lini pesa za Escrow
zitarudishwa katika akaunti hiyo. Akahoji ikiwa kuwaondoa
viongozi hao madarakani ndiyo suluhisho la kwamba pesa hizo
hazirudishi?
Naye Profesa Anna Tibaijuka amesema baada ya Rais kumuondoa
katika nafasi yake aliyokuwa nayo, sasa amerudi jimboni
kwake kwa ajili ya kutatua kero na changamoto mbalimbali za
wananchi wake kwani nafasi aliyokuwanayo ilikuwa haimpi
nafisi ya kuwasimamia wananchi katika jimbo lake na kwamba,
pesa hizo alizopewa na Rugemalila zilikuwa za kusaidia shule
na alipewa kama zawadi bila kujua kama pesa hizo zilitoka
katika akaunti ya Tegeta Escrow, ndiyo maana hakutaka
kujiuzulu.
ITV: Tibaijuka asema baada ya Rais kutengua uteuzi wake
sasa yupo jimboni kwake kutatua kero za
wananchi.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment