kwa muundo wa wa serikali yetu kwa kadri ya katiba yetu, sijui katiba "pandikizwa" ina nini! Pinda ana makosa yake lakini aliyestahili kuondoka hasa ni JK. Hii ni kwa sababu Pinda hana nguvu yoyote kwa wateule wa Rais, anachoweza tu ni kusikiliza rais anataka nini, kwa mazingira kama ya Escrowgate ambapo utaona kuna barua toka Ikulu, Pinda anageuka tu kuwa whistle brower, na.. na akisharidhika rais anajua basi anarelax maana hana mamlaka kwa wateule wenzie, rejea sakata la Jairo, mpaka mwenye serikali aseme. Kwa kuwa Raisi ndiyo huunda serikali na kumteua tu waziri mkuu kumsaidia kusimamia machache, hastahili kwa kweli kuondoka na serikali iliyoshindwa kwa kuwa si yake. kwa hivyo mpaka aguswe mwenyewa kama ilivyokuwa kwa ENL ndiyo angejiuzulu. Kwa muundo huu, Rais anapewa "unnecessary immunity" kwamba serikali aliyoiunda, yeye ndiyo mtendaji mkuu, halafu inafeli ati waziri mkuu ndiyo aondoke! ni Katiba inayomlinda na kuwavisha watu wengine makosa ya Rais. nadhani hicho kipengele cha rais mtendaji kingeangaliwa upya, vinginevyo hatuhitaji kuwa na waziri mkuu, isipokuwa makamu pekee!
2014-11-30 20:51 GMT+03:00 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>:
pinda komaa nao tu hamna kutoka wakikungoa ondoka na nyundo waachie jembe na shuka ya kijani, mbona hadi sasa hawajajiorodhesha wanaotaka utoke kama alivyofanya zitto wakati ule?
On Nov 25, 2014 1:41 PM, "Novatus Kambota" <novakambota@gmail.com> wrote:--Na Nova Kambota, 0712- 544237
Tofauti na wengi wanavyodhani, mzee wangu Pinda ulishaonyesha dalili
za wazi ikiwa kweli unamudu vyema nafasi ya uwaziri mkuu. Kuna mengi
tu yaliyofanya baadhi yetu tutilie shaka umahiri wako lakini hii
skandali ya Tegeta/Escrow imefunga mjadala!
Unakumbuka uliposema na wapigwe tu? Liwalo na liwe!
Wakumbuka ile kauli ya tumechoka?
Wakumbuka mgomo wa madaktari?
Je wakumbuka kauli yenye utata "anayeua albino na yeye auwawe"?
Lakini wajua namna "mchwa" katika baadhi ya halmashauri wanavyotafuna
fedha za wananchi?
Tegeta/Escrowni hitimisho la yote haya, mzee wangu Pinda mtoto wa
kulima, let it go! Jiuzulu, mpe fursa rais Kikwete aunde baraza jipya
la mawaziri, urais unaweza kutafutwa hata nje ya uwaziri mkuu!
Ukiwa mwanasheria utanielewa vizuri naposema hoja si ikiwa unahusika
au la! Hili si muhimu sana, hoja hapa ni dhamana ya uongozi kusimamia
shughuli za serikali ilishindwa kutumika kunusuru "skandali"hii.
Kiongozi waumma "kutuhumiwa" si jambo jema, tuhuma pekee zinatosha
kukufanya ubwage manyanga "resigning does not mean you are weak, but
sometimes it means you are strong enough to let it go"
Achia ofisi ya umma kwa manufaa ya walala hoi wa Tanzania, kiongozi wa
umma umetuhumiwa kutosimama kidete kuzuia uozo huu kabla, kauli za
"kila mtu atabeba msalaba wake" si za kulisaidia taifa, ni kauli
inayoashiria hamu ya mtawala asiyependa kuwajibika, anayetaka
kung'ang'ania madaraka! Haifai kabisa, busara inakutaka kuwajibika
kama mtangulizi wako Edward Ngoyai Lowassa, kumbuka "Caesar's wife
must be above suspicion''
novakambota@gmail.com , http://novakambota.wordpress.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment