Saturday, 27 December 2014

Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Frank, yaani sijui hata kama ulishaenda shule! Basi bwana, najitoa kwenye mjadala huu. Siwezi kujadili kitu na watu wenye uelewa mdogo kiasi hicho. Hamko kwenye level ya discussion, bali kufundishwa. Nendeni mkasome seminari kama mnataka kuelewa tofauti kati ya ukatoliki na ukristo. Kuna tofauti gani kati ya kanisa la Korinto, Efeso, nk ambayo yameandikwa kwenye kitabu cha matendo ya mitume na kanisa la Kristo au ukristo? Baada ya hapa sichangii tena darasa hili maana si mjadala tena.

On Sat, Dec 27, 2014 at 2:12 PM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Waamini wa kwanza waliitwa Wakristo na sio Wakatoliki na Mkuu wa Kanisa ni Yesu Kristo na sio Papa.
Let us remember that Christ is the Rock and only Head of the Church. I Corinthians 3:11. For other foundation, no one can lay, but that which has been laid, which is Christ Jesus.
• I Corinthians 10:4, The rock was Christ.
• Ephesians 1:22, 23, Head over all the Church.
• Ephesians 2:20, Christ Jesus...the chief corner stone.
About thirty-four times in the Old Testament God is called a Rock or the Rock of Israel. The Bible clearly teaches that Jesus founded His Church. He was to be the only Head: the Holy Spirit, the Vicar and Guide; and the Bible, the only Authority for faith and practice. All true Christians constitute THE TRUE CHURCH (those in whom the Holy Spirit dwells, who believe and obey Christ's teachings). True believers were called "Christians," not "Catholics."
•Acts 11:26, Disciples were first called Christians.
•Acts 26:28, Persuade me to become a Christian.
•I Peter 4:16, Suffer as a Christian.
There were no Roman Catholics until Christianity was merged with paganism into a state religion around 315 A.D. The true Christians obeyed God's Word; they never joined in the pagan corruption. The gates of hell have never prevailed against the true believers. They are few, their way is narrow, and they would rather suffer martyrdom than compromise the Word of God or deny their Lord and Saviour Jesus Christ: "Go out from her, my people, that you may not share in her sins, and that you may not receive of her plagues" (Apocalypse [Rev.] 18:4). Believers must not be identified with compromising or counterfeit Churches!

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 27, 2014 11:36 AM

Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Huyu Frank ni vigumu kumsaidia tatizo lake. Sijawahi kusikia papa yoyote alishawahi ku'tamper' with the bible maana mapapa wote hao walikuta bible tayari imeshaandikwa. Sasa hiyo tampering with the bible ingewezekanaje? Halafu kitu kingine, kuleta tu tuhuma ili tu uonekane umesema kitu sijui kama ni namna nzuri ya kujadili kitu. Maswali niliyokuuliza hapo juu hujayajibu na unarukaruka tu kama panzi. Duh, hata shule uliyosoma unaonekana uliwapa shida sana maana unaonekana kuwa "thick".

On Sat, Dec 27, 2014 at 11:15 AM, 'Juda Semali' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Frank,

It seems una chuki binafsi na RC jambo ambalo hakuna anaeweza kukusaidia ktk hali uliyo nayo.

Hoja kadhaa ulizouliza nilikujibu kibiblia nikidhania unataka kujifunza. Kila nikijibu, hukutaka kuendelea nayo kwakuwa unakuwa umeuona ukweli ambao hukuujua.

Nilichogundua ndani yako umepanda au umepandikiziwa mbegu ya chuki ambayo hakuna wa kuiondoa ila ni kwa neema za Mungu.

Kwa bahati mbaya au nzuri zaidi, umekuwa ukisoma kwenye mtandao criticism zilizoandikwa na watu mbalimbali miaka ya nyuma, wakilipinga kanisa katoliki. Nakushauri, usikate tamaa, bali endelea kusoma na iko siku, nuru mpya itakuzukia ili kukuangazia na utagundua kuwa, kanisa katoliki ni msingi wa ukristo ulimwenguni na hakuna wa kulishinda.

Kwa bahati nzuri kanisa katoliki ndilo lililoitunza biblia hadi leo. Martin Luther King (1520-1541) kama nakumbuka vizuri hiyo miaka maana niko njiani, ndiye aliyetoka kanisa katoliki, akaondoa vitabu 6 katika mfululizo wa vitabu 72 vya biblia ambavyo kanisa katoliki lilivitunza, tangu vilipokusanywa kuanzia mwaka wa 90 baada ya Kristu kwa msaada wa Askofu Alexander.

Kanisa katoliki limebeba hazina ya historia ya ukristu ambayo huwezi ipata kwenye internet wala kwenye biblia maana hata ukisoma nyaraka za Paulo mfano waraka kwa Wakorintho, zinaonyesha kuna waraka mwingine kabla ya hizi mbili tunazozisoma. Je, ulilijua hilo? Ni katika kanisa katoliki peke yake utapata nyaraka hizo.

Kuna vitu vingi amesema na kuagiza Yesu na kwenye matendo ya mitume wamemnukuu. Huwezi kupata popote waraka huo wa Yesu ila ndani ya kanisa katoliki.

Kwa hiyo, Yesu alipomwambia Petro "Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda" alimaanisha kuwa, kina Materu wataibuka na kusambaza kila uzushi na chuki lakini chuki na uzushi huo hautalishinda kanisa la Kristu Yesu - Kanisa Katoliki.

Simaanishi kuwa makanisa mengine siyo ya Kristu, maana wako waliosema, sisi ni wa petro, sisi ni wa Paulo na sisi ni wa Kefa. Je, Kristu amegawanyika? Maana yake, haijalishi unatumia usafiri gani, yaani dhehebu (Majini, nchi kavu - Gari au treni au nyaya, au anga) kwenda kwa Yesu bali jilinde na chachu ya Mafarisayo isije ikakuchachusha.

Naomba kuwasilisha

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sat, 27 Dec 2014 07:40:56 +0000 (UTC)
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Telesphor Magobe, Joseph Ludovick and Arbo,
Story Concerning the Establishment of Rosary a Forgery  "Tradition" Admitted Forgery! Many Popes Approve Lie!
"THE ROSARY, says the Roman Breviary, is a certain form of prayer wherein we say fifteen decades or tens of Hail Marys with an Our Father between each ten, while at each of the fifteen decades we recall successively in pious meditation one of the mysteries of our Redemption. The same lesson of the Feast of the Holy Rosary informs us that when the Albigensian heresy was devastating the country of Toulouse, St. Dominic earnestly besought the help of Our Lady and was instructed by her, 'so tradition asserts,' to preach the Rosary among the people as an antidote to heresy and sin. From that time forward, this manner of prayer was 'most wonderfully published abroad and developed by St. Dominic whom different Supreme Pontiffs have in various passages of their apostolic letters declared to be the institutor and author of the same devotion.' That many popes have so spoken is undoubtedly true, and amongst the rest we have a series of encyclicals, beginning in 1883, issued by Pope Leo XIII, which, while commending this devotion to the faithful in the most earnest terms, assumes the institution of the Rosary by St. Dominic to be a fact historically established ..."
"Impressed by this conspiracy of silence, the Bolandists, on trying to trace to its source the origin of the current tradition, found that all the clues converged upon one point, the preaching of the Dominican Alan De Rupe about the year 1470-75. He it undoubtedly was who first suggested the idea that the devotion of 'Our Lady's Psalter' (a hundred and fifty Hail Marys) was instituted or revived by Dominic. Alan was a very earnest and devout man, but, as the highest authorities admit, he was full of delusions, and based his revelations on the imaginary testimony of writers that never existed. His preaching, however, was attended with much success. The Rosary Confraternities, organized by him and his colleagues at Douai, Cologne, and elsewhere had great vogue, and led to the printing of many books, all more or less impregnated with the ideas of Alan. Indulgences were granted for the good work that was thus being done and the documents conceding these indulgences accepted and repeated, as was natural in that uncritical age, the historical data which had been inspired by Alan's writings, and which were submitted according to the usual practice by the promoters of the confraternities themselves. It was in this way that the tradition of the Dominican authorship grew up..."
"IT IS NOW ADMITTED BY DOMINICAN AUTHORITIES TO BE A FORGERY" (Cath. Ency., XIII, 184-186).
There are a number of interesting and characteristic things about this story. In that way, practically everything now reverently believed and devoutly practiced by Catholics came into being. You will note the word "tradition" several times in this short quotation, which shows how much reliance can be placed in Catholic "tradition." PRACTICALLY EVERYTHING CHARACTERISTIC OF CATHOLICISM ORIGINATED IN "DELUSIONS," AND IS BASED UPON "TESTIMONY OF WRITERS WHO NEVER EXISTED!" IT SHOWS, TOO, HOW LITTLE RELIANCE CAN BE PLACED IN THE TEACHING OF THE "INFALLIBLE" POPES! When they want "tradition," they INVENT IT!
 
From: Arbo <akihaule@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, December 26, 2014 11:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Ludovick na Telesphor ; Ndugu zanguni nimenyoosha mikono. Kikweli hataki kusoma na kufakari.  Nimeamini. Na  yatosha kwa kweli inabidi tu tuufunge huu mjadala.

Maana kama mbuzi kashitakiwa mahakamani na hakimu ni chui, kwa kosa la kumla Sungura  hapo kazi ipo.  Maana Sungura hufaa kuliwa na Chui pekee , sasa bwana mbuzi akaonekana kamla sijui ....kama mbuzi atatafutiwa mwanasheria wa kumfaa...

Nimenawa mikono.  

On Friday, 26 December 2014 15:36:09 UTC+1, Joseph Ludovick wrote:
Na biblia inasema mtu akishaujua ukweli na kuuacha hali yake inakuwa mbaya kuliko ya mwanzo.
There goes Materu
On Dec 26, 2014 5:33 PM, "Joseph Ludovick" <josephl...@gmail.com> wrote:
Arbo
Unatwanga maji kwenye kinu.
On Dec 26, 2014 4:07 PM, "Arbo" <akih...@gmail.com> wrote:
Frank you need to read the Catechism of the Catholic Church in its entirety, to learn and understand her teaching. How she derives her doctrines and liturgies. After that , return and let's discuss based on what you read.

I will attach here the document , just in case.

On Friday, 26 December 2014 06:10:05 UTC+1, Frank Materu wrote:
Joseph Ludovick,
"AND HISTORY shows only too plainly that the Church, in their sense of the term, has VARIED IN ITS DOCTRINE, taught dogmas at various times and at various places at the same time inconsistent with each other; and therefore to a considerable extent [is] erroneous" (Plain Facts, 34),
Catholicism Assimilates Paganism
"CHURCH ASSIMILATES and sanctifies Roman Civilization—from its foundations, the Church had gradually absorbed the best of the life, the organization, the institutions, the laws, the learning and whatever else of good and worth there was in the Roman Empire. What the Church thus took to herself, she transformed and sanctified so that, though Roman in its source, it was Christian in its form, influence, and tendencies.
To the treasure of ancient civilization, the Church joined the great and luminous truths of God's revelation. Thus, doubly armed with the great legislative and intellectual acquirements of antiquity and the practical and saintly precepts of Christianity, the Church began to build up from Teutonic [Germanic etc.] and Roman elements the most perfect nations, and the grandest civilization that the world has ever known. So numerous were the difficulties of this formidable task that any other institution save God's Church must have lost courage and despaired." (History of the Church of God, B. J. Spalding, 379).
It is easy to see that an institution modeled after the Roman Empire in its laws and governmental machinery, and which is a crazy-quilt patchwork of paganism in its doctrine and beliefs, would have little use for the Bible!

From: Joseph Ludovick <josephl...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 25, 2014 7:32 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Materu
You take reguge to spelling errors?. Just do so. But.I will never seize to tell you the truth. Many of what you advance seem to be sterming from Ignorance.
  A blind teacher will lead his disciples into destruction. Continue in your ways. False prophets then and now.

On Dec 25, 2014 7:19 PM, "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nzela,
Stop your judgmental hysteria. You need to repent of your absolute lack of sensitivity to the call of God for this generation to repent of their evil actions.
Frank.

From: 'ngwananzela' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 25, 2014 5:33 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Frank,
Your useless to your argument,  no body you will turn him/her around.
Nzela.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'frank patrick materu' via Wanabidii
Date:25/12/2014 13:57 (GMT+03:00)
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Telesphor & Company,"Bwana asemahivi, Msijifunze njia za mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara zambinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo. [Yeremia 10:2].
The LORD reminds us today to becareful not to become involved with and participate in the customs andtraditions of the world that are pagan, false and idolatrous.

X-MAS TREE FOR EXAMPLE:

The cutting down of trees and decorating them to 'so-call' honor The LORD (?).

In Jeremiah 10:3-5, we read the following, "For the customs of the peopleare vain: for it is but a tree which one cutteth out of the forest, the work ofthe hands of the workman with the axe. They deck it with silver and with gold;they fasten it with nails and with hammers, that it move not, ... neither ...is it in them to do good."

THERE IS NO EVIDENCE:

There is no evidence in The Holy Bible that Christmas is to be celebrated, infact, The Apostles, the disciples, the first true believers and even for thenext three centuries we find absolutely no record anywhere that anyone spokeabout or observed what we know today as 'Christmas'.

SO, HOW D
...
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment