Tuesday, 23 December 2014

Re: [wanabidii] CHADEMA,WATANZANIA HATUDANGANYIKI NG'O

bandugu,
kwani dada huyu katabazi hawezi kunyamaza? kwani lazima katabazi aseme ndiyo ijulikane kama ni mjinga kwa maana ya kutokujua? naombeni mumshauri anyamaze kwa sababu kukimbia uchi barabarani kunamfanya aibike bila kujua kama anaaibika. si vema mnamwacha mwenzenu anaaibika bila kumpa somo. mnachokifanya kwa kumwacha abwabwaje nonsensical flirtations kwa wasiomwona kama anafaa hata kupanda kitandani kwao ni kumwadhiri.
tatizo lake kubwa ni kwamba hataki kusikiliza ya wenzake na kujifanya anajua sana. hakuna anayejua yote hata kama ni uanafunzi wa sheria basi katabazi ni mwanafunzi mbaya na hatarajiwi kuelewa kwa sababu hataki kusikiliza.
huyo kikwete anayemtetea anahusika katika escrow asilimia 99.9 kwa sababu msahauri wake aitwaye shabani gurumo kapewa shilingi bilioni 44.4 na katibu wake aitwaye prosper mbena ndiye aliyeandika barua iliyolazimisha pesa kutolewa baada ya benki kuu kugomea ushauri wa mwizi werema.
,mwisho mtu mzima anayengangana kuitetea ccm kwa sasa pamoja na mabaya yote haya ni zuzu.
kicheere, tungi, kigamboni tanganyika territory


On Monday, December 22, 2014 11:46 AM, "'shiganga_p@yahoo.com' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Jamani naomba kuuliza katika namna isiyomuudhi mtu yoyote,na i hope Admin anasoma (kama yupo); lengo na madhumuni ya hii group bado ni yale yale au kuna wakati yalibadilishwa? Inawezekana somewhere along the way sisi wengine tulipitwa na mabadiliko ya ki-lengo na ki-madhumuni, na ndiyo maana labda hatuelewi kinachoendelea.
Ni group hili hili tulimokuwa tunasoma mada za kina Mama Nkya na kina Hidegarda na wengine wa calibre hiyo ya juu kabisa?
Ni honest question from the bottom of my heart b'se kama nilivyowahi lalamika siku kadhaa zilizopita;nimejaribu kujitoa mara kadhaa bila mafanikio;na nilikiri lazima itakuwa ni kwa sababu ya kutokuwa mjuzi wa kutosha wa I.T.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


No comments:

Post a Comment