Tuesday, 2 September 2014

Re: [wanabidii] URAIS 2015 : Edward Ngoyai Lowassa

Mbunge wa Monduli tangu afe kipenzi cha watanzania Edward Moringe Sokoine, nadhani ndiyo sababu anafaa kuwa rais ajaye
--------------------------------------------
On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : Edward Ngoyai Lowassa
To: "'tumaini bakobi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 2, 2014, 1:00 PM

Tatizo la watz ni kuongea tu bila
hata wakati mwingine kufikiri kwa kina....unaambiwa tz ni
moja ya nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi
duniasi...hivyo hatujasimama,twasonga mbele...Lowasa ni
mmoja ya waliochangia mafanikio ya nchi kwa sehemu
kubwa...na kwa sababu hiyo ndio maana anastahili kupewa
dhamana kubwa ya uongozi...mchango wake haujifichi kwa
nyanja zote mpk kwenye nyumba ya ibada unayoingia,radio
unayosikiliza,maji unayokunywa,nk...ngupula

'tumaini bakobi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Muda na nafasi
alizoshika serikali kama akusaidia kuleta maendeleo basi
hataweza tena hata kama akiwa rais. Nadahani anatakiwa
kung'atuka tu awaachie wengine hatakuwa na
jipya.

On Tuesday, 2 September 2014, 12:18,
'lesian mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


magesa malizia kwa kusema anafaaa kua Rais
2015


On Saturday, August 30, 2014 12:26
PM, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:


Mbunge wa Monduli tangu lini??imekaa
sawa hii?
On 30 Aug 2014 22:22,
"Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com>
wrote:

Edward
Ngoyayi Lowassa (amezaliwa 26
Agosti 1953) ni
mwanasiasa nchini Tanzania.
Alichaguliwa kuwa Waziri
Mkuu wa kumi wa nchi hii tarehe 30
Desemba 2005 na
akalazimishwa kujiuzulu tarehe 7
Februari 2008 kwa
kutajwa katika kamati ya bunge ya uchunguzi wa ufisadi
katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kama
mhusika mkuu.
Lowassa ni
mwenyeji na mbunge wa Monduli katika Mkoa wa
Arusha. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya
tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment