Kwa nini tunapoteza muda mwingi kujadili issues za Chadema? Mbona vyama viko vingi? Wanajukwaa tuwe makini na matumizi ya muda wetu pamoja na akili. Inaelekea kuna watu humu ndani ambao tena si wanachama wa chadema bali wapinzani wao ,wameamua kutufanya kama hatuna akili. Tanzania ni kubwa na yako mambo mengi ya kujadili (katiba, uchumi, utamaduni, huduma za kijamii,eimu, afya, kilimo, utalii na mengine mengi. Ya nini kupoteza muda mwingi tukijadili issues za Chadema, Mbowe na Dr.Slaa? Chama ambacho wala siyo chama tawala? Ni lini tumewakabidhi Mbowe na Dr. Slaa Ikulu hadi tupoteze muda mwingi tukiwajadili wao? Kwa nini tusitumie muda huo kuijadili CCM na viongozi wake ambao wako ikulu wakisimamia uchumi na mambo yote ya kitaifa? Mtu akileta mada ya kijinga tumpuuze yeye mwenyewe na mada yake.
2014-09-02 7:50 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
Hili taifa nahisi tu zaidi ya ukabila na udini lakini kama tutavikumbatia vitatuangusha.
On Sep 1, 2014 9:52 AM, "'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--
--Kwa hiyo waliopeleka fomu na kuwaomba wagombee nao ni Wachagga/wa Kilimanjaro? Uchokozi na uchochezi usio na sababu!!LKKOn Monday, September 1, 2014 4:48 PM, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:
Yona Maro huyu--
On Friday, August 29, 2014 5:08:25 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:Juzi tuliwaona wanaojiita Wanawake wa Chadema wakimpeleka fomu Halima Mdee wa kutoka mkoa wa KILIMANJARO wakimwomba agombee uenyekiti wa Taifa wa BAWACHA hadi akaamua kulia machozi.Jana tukawaona wanaojiita wazee wa Chadema wakimpelekea fomuvya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe wa kutoka kulekule mkoani KILIMANJARO.Huu ni usanii na ubaguzi wa hali ya juu!!Hapa najiuliza inawezekana vp watu kutoka Kilimanjaro tu ndio wanaobembelezwa kugombea nafasi za juu ndani ya chadema?Wenye haki ya kugombea nafasi za juu za kiuongozi ndani ya Chadema ni lazima watoke mkoa wa kilimanjaro au kanda ya kaskazini? Watu wa kutoka kanda nyinginezo hawafai kuiongoza chadema nafasi za juu?Tukisema chadema kinawabagua na kuwagawa Watanzania kwa misingi ya kikabila na kikanda tutakuwa tumekosea?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment