Yaonekana Ngupula hataki mtu mwingine asiwe zaidi ya yule mteule wake, dunia haiko hivyo ndugu.Pamojana ubaya wote anaorundikiwa shetani lakini bado ana watu wanaompenda
--------------------------------------------
On Tue, 9/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
To: "'Happiness Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 2, 2014, 4:05 PM
Thanks dada Happiness for your good
complement....but hata siye tunaoonekana kuwaunga mkono watu
fulani na kuwapinga baadhi,lengo letu ni nzuri tu, Ni kumtoa
mbuzi ndani ya gunia na kumchambua ubora wake kwa nyama
inayotegemewa...mwisho wa siku tutasimama pamoja na
kukubaliana....kwa atayetuchukia kwa hili,tutamshauri
aachane tu na siasa,kulima au kufuga kungemfaa zaidi...
ngupula
'Happiness Katabazi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naona Ngulupa una nongwa,hayo
ni mawazo yangu Mimi, SINA Jamaa, wala Membe hunifahamu
labda anaweza kunifahamu kupitia Karamu yangu, Mimi nimetoka
observation yangu ya ninavyomuona na wala sijasema anafaa au
hafai Kuwa Rais.kwani Mimi nimesema na hesabu Membe Kama
waziri na Mnec. Sasa Kama wewe una kundi Lako la kumuunga
mkono mgombea wenu, misimo tena msiniingize ila siku zote
naninarudia kusema kuwa mgombea yoyote atakayetangazwa na
chama changu kuwa huyo ndiyo amepitishwa kupeperusha bendera
ya chama nitamuunga mkono.Kwasasa nipo nyuma ya
wanasiasa toka vyama mbalimbali nakuona vibweka vyao
,nafurahi ,NAJIFUNZA,wala SINA MUDa wa Kusema Fulani hafai
na Fulani anafaa Kwani hata nikisema hafahai Mimi sio mjumbe
wa vikao Vya vyama husika Vya kupitisha Majina ya wagombea.
Upo? SINA UBAYA na MTu yoyote anayetajwa tajwa wala atakaye
tangaze nia ya Kugombea mAana wana Haki ya kufanya
hivyo.Kazi unakuja KWA wale ambao wamemgeuza
mitandao ya kijamii kuwachafua baadhi ya watu wanaodaiwa
kutaka Kugombea urais hata KWA kuwadhulia uongo.vikao husika
niyo vyenye mamlaka ya Kusema mgombea gani anafaa na nani
Anahi.hivyo Nyie mnaojitiwa wazimu wazi Kwenye mitandao
KUPINGA na kuchafua baadhi ya watu Kwenye mitandao,
hakuwasaidii Kwani mtaji humid dhambi
bure.!simamo wangu ni kwamba nimependezewa na
mahojiano ya Membe na Gazeti la Mwananchi la Jana na Hakuna
MTu yoyote wakinibadilisha Katika Hilo.
Sent from my iPad
On Sep 2, 2014, at 2:12 PM, "'Ngupula GW' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kweli mtu chake,naona
kilichobaki ni kukiri tu kuwa hata miwani yake inakuvutia
sana haswa anapokuwa akihojiwa na waandishi....ukweli ni
kuwa Membe ni mtu wa kawaida sanaaaa.na mtu wa kawaida
hawezi kuleta matokea tofauti...tukiyafanya mambo yaleyale
na kwa mti uleule,ni lazima tupate matokeo
yaleyale....binafsi kama ikishindikana lowasa,heri
wasila,mwigulu na hata pinda....ngupula
'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Binafsi, nilisoma mahojiano ya Mzee Bernad Membe na
waandishi wa Gazeti la Mwananchi Jana, nilivutiwa na Habari
hiyo Kwani nimeisoma na kuitafakari vizuri na Kuja maoni
yangu Kadhaa juu Membe.
Kwanza nimependa pale alipokiri adharani Kuwa
kila mgombea wa nafasi yoyote hata ngazi a urais Ana kundi
lake.Nimependa sana Membe alivyotoa Jibu hili Kwani
ameonyesha wazi siyo mnafki , ni mkweli na anajiamini KWA
anayoyayafanywa.
Kwani Hakuna ubishi Kuwa kuwa hapa nchini kuna
wanasiasa tena wa viongozi wa juu waliokaribu kutuamisha
Kuwa mgombea usiwe na Makundi.Na kwa maoni yangu
anakubaliana na Membe mgombea lazima uwe na kundi Lako
ambalo litaakikisha linafanyakazi chini kwachini bila
kuvunja Kanuni za Chama na chini Lengo ni kuakikisha mgombea
wao anashinda nafasi anayetaka Kugombea.
Pia naunga mkono hoja ya Membe
alivyotoa rai yake kwa Chama Chake Kuwa ione wakati
umefika sasa wakuzifanyia marekebisho baadhi ya Kanuni Kwani
Kipindi Kile Membe na wenzake walipokuwa kumhoji wa na Chama
Chake Kuwa wameanza kampeni mapema,Membe Anadai miongoni mwa
wajumbe wa Kikao kile kilichowapatia Adhabu Leo hii wana
mipango ya Kugombea urais licha bado
hawajajitanga.
Kama hivyo ndiyo basi Membe,Edward Lowassa,
William Ngeleja, Fredrick Sumaye na wenzake ambao
walihukumiwa Kifungo Cha Mwaka mmoja na CCM baada ya
kupatikana na hatia ya kuanza kampeni mapema, Mbele ya
safari Kama dai Hilo lililotolewa na Membe ni la kweli basi
wanaweza kupata Sababu ya Kuja Kulalamika Mbele ya safari
Kama siku ikifika watatangaza nia ya Kugombea urais Kwani
Hao niliwaotaja bado hawajatangaza nia ila Wanadaiwa Kuwa
watagombea.Tusubiri tutaona.
Lakini pili napenda kumpongeza Membe kwa kuwa
'smart' katika Ujibuji wake wa maswali pindi
anapohojiwa na vyombo mbalimbali Vya Habari na jinsi
anavyojieleza Kwani umtazamo anaonekana ni MTu anayejiamini
na kufahamu anayofanya.
Hasa uwa a alimaliza pale anakuwa akijibu
Swali analoulizwaga 'Je atagombea urais 2015? Membe
hujibu HIvi : " Bado Ana ndoto ambayo bado anaitafakari
kuona mAana yake'. Binafsi Huwa
nikijisikia Jibu Hilo linalotolewa na Membe Kuwa bado Ana
ndoto ....uwa nacheka sana peke yangu na Kuishia
Kusema Kuwa 'wanasiasa wanamaneno sana'
Nakupongeza kwa Hilo na pia napongeza
wamshauri wako wanaokufunda Katika Utendaji Kazi wa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment