Tuesday, 13 May 2014

Re: [wanabidii] WANDUGU WAPI FILIKUNJOMBE?

Kuhusu habari ya muundo wa Muungano Deo amebadili msimamo na kuunga mkono hoja ya serikali 2. Anadaindivyo alivyousiwa na Baba yake walipokuwa india kupata matibabu.

Ila mwenyekiti wao wa chama aliwahi kushauri "usitumie akili ya kuambiwa tu, changanya na yako"

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Comrades;
Kwa muda sasa sijapata kusikia cheche za Bro Mh. Filikunjombe,huyu mutu kaishia wapi?
Amekuwa 'silinced' au hakuna tena changamoto anazoziona katika Taifa lake?

 
Reuben

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment