Tuesday, 13 May 2014

Re: [wanabidii] Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe!

Hapo kaka umenena, watu wanachanganya mafundisho yanayowahimiza watu wa full gosple kuzingatia mambo ya rohoni zaidi kuliko ya mwilini.

Pia kipindi wanasema jamaa eti kakimbia kundi kasepa nje ukweli jamaa alikua na program ya maombi yeye binafsi ya muda mrefu.

Pia nafahamu kuwa Askofu Kakobe amekuwa akipigwa vita hata na wachungaji wetu kwani watu wengi waliojiunga kumwabudu Mungu full gosple hawakutoka mbinguni bali walihama kwenye makanisa yetu hayamengine. kwakuwa uzushi dhidi ya Bishop Kakobe ulinenwa hata nabaadhi ya watumishi wa Mungu ndo maana ukawabamba wakristo wengi WAJINGA. Leo hii uzushi ule hauna nguvu kwakuwa makanisa makubwa yameongezeka sio Full gosple pekee kama ilivyokuwa mwanzo.

Onyo:Tusikurupuke tuu kuwasema watumishi wa Mungu bila kuwasaidia ikiwa wewe unaona kuna udhaifu. naamini huo ndo upendo sio tu kuleta mjadala ili tumjadili weee halafu mwisho wa mjadala???

LETS BEHAVE AS MATURED PEOPLE

'Nico Eatlawe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hata mimi nashangaa kusikia Kakobe katoroka nchi wakati wahalifu wenye kesi hawatoroki. Kakobe anatoroka kwa ajili ya nini? Of course hilo la dhahabu halina na mjadala kuwa ni uwongo. Mjinga gani achukuliwe dhahabu yake na anyamaze kimya? Atakuwa ametumia mistari gani ya Biblia kuwashawishi watu wampe dhahabu zao? Mimi ninavyomjua Kakobe ni mtu wa maandiko na asiyependa watu kujipamba, wanawake kufunika vichwa na kutovaa suruali au nguo fupi ...nukta. Mimi sioni shida maana kila watu wana utaratibu wao. Hata kwa dini zingine wako wanaofunika nywele na wanaofunika nywele  hadi macho na wote ni wana dini. No problem. Mungu katupa akili na uhuru wa kuchagua. Ila kwa nyakati hizi za elimu na maarifa kuongezeka naamini ni wachache wanaweza kuwadnaganya watu kama Kibwetere alivyofanya ijapokuwa mazuzu bado wengi! 
On Wednesday, 14 May 2014, 6:49, 'Flano' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Pamoja kwamba siabudufull gosple kanisa linaloongoza na Askofu Kakobe, nina watu kadhaa wa karibu nami wakiwemo ndugu na narafiki wanamwabudu Mungu ktk kusanyiko lile.
Ni uongo na uzushi Kakobe hajawahi kuiba dhahabu wala mikufu na pia hajawahi kutoroka nchi.

Kama kuna watu wanawezafanya simple objective research wafanye watuletee ripoti. hayo ni maneno ya kudandia tena ya mtaani

'ekunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Time will tell.


Sent from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: Emmanuel Muganda
Date:14/05/2014 04:16 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe!

Pumba!
em

Sent from my iPhone

On May 13, 2014, at 4:26 PM, Erick Maro <rikmaro@gmail.com> wrote:

Pumba tupu hapa.
On May 13, 2014 11:09 PM, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:
1. Kakobe mwaka 1995 alitangaza Mrema ndio chaguo a Mungu na Atashinda urais Mrema akaangukia Pua - Kakobe na mrema yatonga Wakashindwa
2. Mwaka 2009 aliingia kwenye mgogoro mzito na shirika la umeme Tanesco akisema nguzo sisipite juu ya kanisa.... lake ameongea na yesu Umeme ukipita juu ya kanisa lake hautawaka ---- TANESCO wakapitisha na Umeme ukawaka - Kakobe akashindwa 
3. Miezi michache iliopita viwanja vya jangwani alitangaza kumpa mtihani Raisi wa jamuhuri akishinikiza asisaini mswaada wa sheria Mwisho raisi akasain Kakobe akashindwa 
4.Mwaka 2010 Mwishoni alipata kashifa nzito za kuiba mikufu ya dhahabu ya akina mama akaamua kukimbia tanzania na kuhamia uhamishoni -- Akaaibika.... sasa amerudi tanzania amekosa wadhamini wa kurusha vipindi vyaka vya dini star tv na channeli teni ana hamu ya kuuza sura Ameamua kudandia Hoja za Ukawa na serikali tatu .....
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment