Tumezoea kulishwa pumba za aina hii hapa. Umbeya, full stop!
2014-05-14 10:12 GMT+03:00 'Flano' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kaka Misango hilo nalo neno. Dawa ya hoja mbovu ni kuiachq kama vile hujaionaNico na wengine jueni kwamba kuna watu humu wamepewa jukumu maalum la kuanzisha mada za ovyo tu lengo likiwa kuwafanya watu makini kuacha kujadili mambo ya msingi na yenye tija kwa taifa wakaishia kujadili upuuzi wao! Wanajulikana kwa aina ya mijadala wanayoanzisha na dawa ni kutowajibu!Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom TanzaniaFrom: "'Nico Eatlawe' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Wed, 14 May 2014 07:13:47 +0100 (BST)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe!Hata mimi nashangaa kusikia Kakobe katoroka nchi wakati wahalifu wenye kesi hawatoroki. Kakobe anatoroka kwa ajili ya nini? Of course hilo la dhahabu halina na mjadala kuwa ni uwongo. Mjinga gani achukuliwe dhahabu yake na anyamaze kimya? Atakuwa ametumia mistari gani ya Biblia kuwashawishi watu wampe dhahabu zao? Mimi ninavyomjua Kakobe ni mtu wa maandiko na asiyependa watu kujipamba, wanawake kufunika vichwa na kutovaa suruali au nguo fupi ...nukta. Mimi sioni shida maana kila watu wana utaratibu wao. Hata kwa dini zingine wako wanaofunika nywele na wanaofunika nywele hadi macho na wote ni wana dini. No problem. Mungu katupa akili na uhuru wa kuchagua. Ila kwa nyakati hizi za elimu na maarifa kuongezeka naamini ni wachache wanaweza kuwadnaganya watu kama Kibwetere alivyofanya ijapokuwa mazuzu bado wengi!On Wednesday, 14 May 2014, 6:49, 'Flano' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Pamoja kwamba siabudufull gosple kanisa linaloongoza na Askofu Kakobe, nina watu kadhaa wa karibu nami wakiwemo ndugu na narafiki wanamwabudu Mungu ktk kusanyiko lile.
Ni uongo na uzushi Kakobe hajawahi kuiba dhahabu wala mikufu na pia hajawahi kutoroka nchi.
Kama kuna watu wanawezafanya simple objective research wafanye watuletee ripoti. hayo ni maneno ya kudandia tena ya mtaani
'ekunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Time will tell.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Emmanuel Muganda
Date:14/05/2014 04:16 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe!
Pumba!em
Sent from my iPhonePumba tupu hapa.On May 13, 2014 11:09 PM, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:1. Kakobe mwaka 1995 alitangaza Mrema ndio chaguo a Mungu na Atashinda urais Mrema akaangukia Pua - Kakobe na mrema yatonga Wakashindwa2. Mwaka 2009 aliingia kwenye mgogoro mzito na shirika la umeme Tanesco akisema nguzo sisipite juu ya kanisa.... lake ameongea na yesu Umeme ukipita juu ya kanisa lake hautawaka ---- TANES--Send Emails to wanabidii@googlegroups.comTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment