Wednesday, 14 May 2014

Re: [wanabidii] SERIKALI YA CCM INAENDESHWA KISANII!!!

Hii inji ili usanii sanii uishe tunatakiwa kupata namba kama kagame mbili tatu ivi.
Hakika Wasanii wote  tutaisha,kuwachekea watu wanaharibu na evidence zipo manake tunasubiri kuvuna mabua.
Watu wa kuwawajibisha wasanii nao wasanii,yaani ilimradi kunakuchwa.

Reuben

From: Erick Maro <rikmaro@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 14, 2014 2:50 PM
Subject: Re: [wanabidii] SERIKALI YA CCM INAENDESHWA KISANII!!!

Njia pekee ya kuepukana na usanii huu ni kuwapiga chini wasanii Ccm.
On May 14, 2014 2:47 PM, "'Flano' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
usisahau majalala yanayofunguliwa kila uchwao katokati ya barabara we pita sam nujoma anzia palepale mwenge aibu.

pia na chemba za pale jirani na crdb azikiwe na pale hidery plaza. yaani huwa ni aibu isiyoisha. sitamsni nitembee na mgeni maeneo yale

'Abdul Karim' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Namshukuru Mbunge wa Mwibara kwa ushujaa wa kuweza kutamka wazi kuwa serikali ya CCM inaendeshwa kisanii. Kibaya zaidi mpaka Jeshi la Polisi nalo linaendeshwa kisanii ndo maana waliweza kumbambikia chizi kesi ya kumjeruhi Dr Ulimboka!
Kinachotisha mpaka uongozi wa jiji la Dar es salaam nao wanaendesha usanii wa kusafisha jiji kwa kuwabeba Wamachinga  na bidhaa zao kwenye malori ambayo yangeweza kutumika kuzoa takataka zilizojaa kila kona ya Dar es salaam. Mfano mzuri ni lundo la takataka lililojaa pembezoni mwa ukuta wa Shule ya Jangwani pale Faya ambalo lina zaidi mwezi bila kuzolewa.
Jiji hao hao waliendesha usanii wa kuvunja paa za nyumba za watu na kuleta uharibifu wa kutisha kwa kisingizio cha kusafisha jiji la Dar es salaam wakati Jiji nini chafu kiasi cha kutisha.
Tumwombe Mwenyezi Mungu atuondolee usanii huu wa kutisha kwenye nchi yetu. 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment