Wednesday, 28 May 2014

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] KUONDOA SHILINGI NI MCHEZO WA KUIGIZA!

kuna wabunge jamani kama mh lugora na mh keissy haya ni majembe sana kwa kweli, chadema kuna mh mnyika    na mh  lissu, mh mnyaa CUF, Khalifa, mh mbatia na kijana wake mh machali....haya ni majembe ambayo never miss bungeni na wanaipenda kaz yao na wanawajibika wakiwa bungeni
CC kama wananchi tunawaona na tunafurahishwa na uwakilishi wao, wengine aaah sisemi...kama mtihani hawa wana A pluuuuuus



On Tuesday, May 27, 2014 7:29 AM, Jd ChingaOne <chingaone@gmail.com> wrote:


Kaka Robya inaonekana kabisa unashindwa kuficha hisia zako za kuichukia ccm kiasi cha wewe kushindwa kusifia hata pale wanapofanya yaliyo ya afadhali....... mie nitakuwa tofauti kidogo na we we coz sijaona la maana kwa hao unaowatetea sijaona tofauti kati ya waliokuwepo na wanaotaka kuingia
On May 27, 2014 4:16 AM, "'Athanas Macheyeki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bw. Gikaro, umenena vema. Hata hivyo, ujumbe wako utakamilika na kueleweka kama utatuorodheshea majina ya wabunge hao wa ndiyoooo..., ikiwezekana uweke na jimbo atokako, kisha tuwajadili kwa haki.

Athanas

Sent from my iPhone

On 26 Mei 2014, at 22:27, "'Gikaro Ryoba' via Mabadiliko Forum" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:

Katika hili bunge la bajeti linaloendelea sasa hivi, pamoja na kwamba limekosa mvuto kutoka kwa jamii ya watanzania, kuna mambo matatu nimeyagundua. Kwanza, huu utaratibu wa kuondoa shilingi kwenye mshahara wa waziri ni kama mchezo wa kuigiza kwa kuwa wabunge wanaoshika hizo shilingi hatimaye huziachia na vifungu vya ovyo vya bajeti hupitishwa.
 
Pili, kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge hili nimeshuhudia wabunge wa CCM wakiondoa shilingi kwenye mshahara wa waziri wa chama chao. Nadhani ni muendelezo ule ule wa kuleta mzaha na kuwakoga wananchi wanaowatazama ili waone kwamba wana uchungu na maendeleo yao wakati si kweli. Lakini pia wanafanya hivyo ili kufuata mkumbo wa wabunge wa UKAWA ambao tangu mwanzo walitahadharisha kushika shilingi za mishahara ya mawaziri ambao wameshindwa kuleta maisha bora kwa kila mtanzania. Kinachowaponza wabunge wa UKAWA ni uchache wao kwani hata kama wakishika shilingi, mwisho wa siku wabunge wa CCM watapiga kura za Ndiyooooooooooooooo ili kuwaokoa mawaziri wao wa CCM.
 
Tatu, nimegundua kwamba mle bungeni kuna wabunge wa CCM ambao wao kazi yao kubwa wanayoijua ni kusema NDIYOOOOOOOOOOO kwa sauti kubwa ili vifungu vya bajeti, hata vile vibovu, vipite bila kupingwa. Kundi hili huwa halichangii chochote bungeni. Wakishaingia bungeni wakasaini kwenye kitabu cha posho, hukaa mezani na kusubiri kugonga meza. Hili ni suala la kustaajabisha sana kwani wabunge hawa wametumwa na wananchi waende kuwawakilisha lakini wamegeuka kuwa wachumia tumbo na watetezi wa ukandamizaji wa serikali dhidi ya wananchi. Na kwa kuwa moja ya kazi ya wabunge ni kuibana serikali iwahudumie wananchi, wabunge hawa wa CCM ni wasaliti wa wapiga kura wao na hawafai kurejeshwa bungeni tena msimu ujao. Inasikitisha sana kuona kwamba wabunge hawa wa CCM wapo bungeni kwa lengo la kuwakandamiza wananchi badala ya kuwatetea!
 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1401132462.96702.YahooMailNeo%40web125301.mail.ne1.yahoo.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
<bunge la kuzomea.jpg>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment