Wednesday, 14 May 2014

Re: [wanabidii] NAOMBENI MSAADA

wakati  mwingine hii huwa inatokana na  virus infection.

Hivyo   kuficha  files  na  vitu vya desktop  kwa kuona na virus. hivyo unatakiwa  ku unhide.

click start  na  utafuta my  document.  click pale organize kama unatumia window 7.  nenda sehemu inayosema  folder  and search option.  itakupa  several options
click sehemu ya  view   na utafute sehemu  ya  files  and  folder.  utaona  option mbili   dont  view  na view all folder.

Chagua hiyo ya view  all hidden folder  na  kuna button ya chini yake  inasema  hide zipo  kama tatu hizi  uncheck.

Kama hautaona hizo files  inawezekana  umedisable icon za desktop bila kujua.

2014-05-14 14:25 GMT+03:00 F Kitigwa <kitigwa@gmail.com>:
Wadau, samahani kwa usumbufu,
Jana laptop yangu ilifuta kila kitu nilichokuwa nimesave kwenye desktop ikabakiza program tu
hata kama nikisave folder au picha au chochote nikiizima na kuiwasha kile nilichosave kinapotea na sikioni tena
Naomba mwenye kujua ni tatizo gani na dawa yake nini anisaidie maana nimechanganyikiwe, file zangu na vitu vya muhimu sivioni na hata nikisearch haziji wala kuonekana,

Tafadhali kama unajua solution ya hili tatizo nisaidie

Ahsante

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
XAVERY  LANGA   KAPECHA  CHIKATIZO NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment