Monday, 19 May 2014

Re: [wanabidii] Mpenzi Wangu Ananinyonya Nyuma..Sipendi, Lakini Nashindwa Nimzuie Vipi...Nifanyeje?

Mimi nadhani sasa tunataka kupoteza maana na malengo ya hii "forum". Hebu jamani turejee kwenye maadili na mipaka yetu ya HOJA na jinsi ya kujadili HOJA, pia watu wa aina hii wanapaswa kuketishwa chini na kufundwa ili wajue taratibu na "ethics" za jukwaa letu hili. Kinyume na hapo, sisi sote tutaoneka hatufai katika hii jamii.

MOKILI

On Monday, May 19, 2014 11:54 AM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Dhambi ya sodoma na gomora ndio dhambi ya mwisho kutendeka ambayo baada ya hiyo Mungu huiangamiza dunia ,Kwa bahati mbaya sana dhambi hiyo imeenea sana hata ktk ndoa nyingi. Epuka uovu huo,jitenge nayo. Ni vigumu sana kujitenga nayo haswa ukishaianza ktk ndoa,utakuwa mtumwa milele . Huyo mwanaume hakupendi,hakuna mtu anayempenda mpenz wake akamtaka amvalishe papas. Mkemee na ukatae mapemaaa ngupula

'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

That is sin and bad behavior. Leave and pray to manage that war!
On Monday, May 19, 2014 11:04 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Emma Kaaya;
Vitu gani unatuletea hapa?Haya unataka tujadili nini kuhusiana na huu Usodomy?
Mtu unaweza kujitambulisha ulivyo hata kwa maandishi yako tu pasipo kukuona.

 
Reuben



From: alahabgh <alahabgh@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, May 18, 2014 10:23 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mpenzi Wangu Ananinyonya Nyuma..Sipendi, Lakini Nashindwa Nimzuie Vipi...Nifanyeje?

Shame.


Sent from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: Emma Kaaya
Date:18/05/2014 14:17 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Mpenzi Wangu Ananinyonya Nyuma..Sipendi, Lakini Nashindwa Nimzuie Vipi...Nifanyeje?

Mimi nimeolewa miaka 8 iliyopita nna watoto watu na mume wangu nnampenda na yeye ananipenda
niliolewa nikiwa na miaka 19 ni hadith ndefu naomba uchukuwe muda kuisoma, aliniona through
family friend akanipenda na mimi sikuona vibaya kuolea naye japo amenizidi umri kidogo nilikubali na kusema ndoa siyo jela ntajaribu nikishindwa ntarudi kwetu.
 
Siku ya harusi ikafika ndoa ikapita usiku ule wa ndoa tukaenda hotel tulipofika akaniuliza kabla hajaniingili kama nilikuwa bikira au kazi nimeshaianza yeye kanipenda miye na siyo bikira yangu itakavyo kuwa nimeshakuwa mkewe, na mimi I was just 19  --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


No comments:

Post a Comment