Katoa siri iliyo nyuma ya pazia , CCM kug'ang'ania serikali 2 ambazo hazimo kwenye rasimu. Nia yao hawataki mabadiliko yoyote kwenye katiba ili waendelee kutupanda siye punda. Tangu mwanzo walionyesha kwamba hawataki katiba mpya. Waliotaka katiba mpya ni vyama vya upinzani na watanzania wasiofaidi matunda ya kushika hatamu. Hawa watu wanakula fedha za walalahoi bure kwa kupiga kelele na kuzomea ali mradi tuwaone kama wana nia ya kutengeneza katiba mpya. Asante sana Kinana kwa kufichua jambo ambalo lipo nyuma ya pazia, wenye akili wamekwishajua ni wajinga tu ambao watabaki bila kujua ufunuo huo. Labda nimuulize swali moja Kinana, je amesahau kauli mbiu yao ya maisha bora kwa kila mtanzania? na hali mpya na kasi mpya? Kama mumeshindwa kuwaletea maendeleo kaa pembeni mukajifunze kwa wengine wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo. KINANA UMESEMA UKWELI KWAMBA SERIKALI YA CCM HAINA MPANGO WA KUBADILISHA MAISHA YA WALALAHOI, WALALAHOI WAKAE WAKIJUA WATABAKI MASKINI HADI MBINGU ZIFUNGUKE KAMA HAWATAFANYA JUHUDI ZA MAKUSUDI KUWAONDOA AKINA KINANA NA CHAMA CHAO KILICHOISHIWA UBUNIFU WA KUWAKWAMUA WALALAHOI WASIOJUA LA KUFANYA ILI KUIMALISHA UCHUMI WAO
2014-05-13 13:37 GMT+03:00 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
. . . tusitegemee kuwa watu wa aina ya Kinana, ambao wapo katika kundi la waliofaidi mfumo wa katiba ya "serikali" ambazo yeye amekuwepo ndani yake kwa kadri ya umri wa zaidi ya nusu ya watanzania waliopo sasa atasema lolote la kutaka, kukubali na kupendekeza mabadiliko, . . huyu mtu ni baadhi ya wale waliokuwa wanapewa madaraka na nyadhifa katika serikali bila kufanyiwa tathmini, kuhojiwa wala kupendekezwa na taasisi, bunge au tume yoyote, . . . ameishi katika "upendeleo wa kimamlaka" yaliyopo ktk katiba iliyopo sasa, iliyo bora kwa wale waliomkubali, ameishi katika uswahiba, ameishi ktk wakati ambao kuhoji jambo lolote la serikali ilikuwa mwiko. . . hawezi na kamwe hataona sababu za mabadiliko mpaka yatakapo timia na kumuacha nyuma, peke yake bila wale wa kumbeba ktk serikali . . . ni aibu kuwa haelewi kuwa tunacho hitaji ni mabadiliko ya katiba, na katiba ni "sheria mama", . . .sielewi anacho pinga au kukaidi kuwa sheria (katiba) haiwezi kuleta mabadiliko ktk kuteua viongozi waadilifu, kuzuia viongozi wabadhirifu, kuzuia upendeleo, kuhoji matumizi yote ya serikali, kudhibiti nguvu za madaraka zisizo na kikomo kwa baadhi ya viongozi, kujenga mfumo wa kuwajibisha viongozi na mtanzania yoyote pale atendapo kosa bila pingamizi za walio na madaraka, . .haelewi kuwa katiba ni mpangilio wa msingi wa sheria kwa ajili ya malengo ya maendeleo ya kundi la watu!!! . . .hivi huyu haelewi kuwa hata mabadiliko ya mawazo kuwa mema na bora zaidi ni maendeleo na faida ktk jamii? . . naye huyu ni mzee "msomi wetu"!!. . . katiba si haki ya chama chake cha kisiasa wala hao wapinzani anaowabeza, . . . . ni aibu kuwa anaweka mjadala wa malumbano ya chama chake na wapinzani mbele ya hoja ya mchakato wa haki (katiba) ya watanzania wengine wote !! . . .On Tuesday, May 13, 2014 11:26 AM, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Binafsi ninaungana naye. Kwa maana Katiba mpyam pasipo UWAJIBIKAJI na KUWAJIBISHANA itayafikia vipi mahitaji ya umma? Mbona hata sasa tuna Katiba na Sheria nzuri zikiwamo zilizotumika hata wakati wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa Rais, zikafanya kazi, kufuatwa na kuheshimiwa, kwa maana kila aliyezivunja aliwajibishwa.Katika mazingira yanayoashiria KUSHAMIRI KWA MIZIZI ya KULINDANA na kujijengea himaya ya utawala kwa wachache walio miongoni mwa Watanzania wanaokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 45, ilitarajiwa Kinana aseme nini?
Pongezi sana Mzee hata kama asili ya athari za ulichokisema inakugusa kwa namna unayoijua ndani ya nafsi na dhamira zako.Mashaka MgetaOn Tuesday, May 13, 2014 1:08 AM, 'ekunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Jambo hili lina ukweli ndani yake japokuwa tafsiri za wengi zinaweza kuwa tofauti na ninavyofikiri mie.Mimi naona maana yake ilikuwa kwamba kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii binafsi ili kujiletea maendeleo kuliko kusubiri kuletewa na kitu ambacho kimsingi hakifanyi kazi kwa chenyewe mpaka pale kinapofanyiwa kazi na watu.Na ukweli katiba mpya haiwezi kubadili tabia ya mtu. Mfano tunazo amri kumi kwa wale wakristo tujiulize wangapi wanazitii zote. Ukweli ni kwamba ni pale mtu mwenyewe anapoamua na wala si vinginevyo.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Mwema Felix
Date:13/05/2014 15:54 (GMT+08:00)
To: Mailing List ,Mailing List
Subject: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama wewe ni masikini utakuwa masikini!
--"Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema kuwa Katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Kama unaishi kwenye nyumba ya nyasi utabaki palepale. Amendelea kusema msindanganyike katiba mpya haileti barabara wala maji.Naongeza kuwa hata katiba ikipatikana wanawake wataendelea kuzaa kwa uchungu na baskeli zitaendelea kupata pancha tukubari tukatae katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo yetu.Mkitaka kukjua ukweli wa maneno yangu ngoja katiba mpya ije muone kama Lisu,lema,wenje,msigwa na sugu kama watakuwa wastarabu,naamini kuwa wataendelea kuwa wa ajabu kama walivyo."
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

No comments:
Post a Comment