Friday, 16 May 2014

Re: [wanabidii] HEKO JAJI WEREMA

Ngupula nakuunga mkono kwa walioangalia jana Bunge jioni wanaweza kuelewa alichokisema, aliomba hadi iandikwe kwenye hansard za Bunge Spika akakataa.

Mimi binafsi yangu nampongeza sana.

On May 16, 2014 8:22 AM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mtu akiomba radhi ni aina ya uwajibikaji pia. Jamani,jamii yetu tusiwatrain watu kuwa wagumu wa mioyo na wasiojua hata kuomba hata samahani. Yapo makosa ambayo mtu akiomba tu samahani tutamwambia haitoshi. Ngupula

'James Riwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

AJIUZULU  Jaji werema AENDE WAPI, ATAKULA NINI MAANA HAWA JAMAA TOKA wa graduate CHUO KIKUU HAWAJAWAHI HATA KUKAA MTAANI KUTAFUTA KAZI

wANABADILI TU VYEO NAMADARAKA
IKALAKHA BHAHO!

On Thursday, May 15, 2014 9:20 PM, "'marcuskabwella@yahoo.com' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Naomba nitumieni maneni ya kibaguzi aliyitumia na jinsi alivyoomba radhi!

From: 'tumaini bakobi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] HEKO JAJI WEREMA
Sent: Fri, May 16, 2014 4:11:33 AM

Kuomba msamaha tu hakutoshi, anatakiwa ajiuzuru kuonyesha uwajibikaji! 

On Friday, 16 May 2014, 0:07, Erick Maro <rikmaro@gmail.com> wrote:

Napenda kumpongeza sana Mwanasheria mkuu wa Serekali Jaji Frederick Werema kwa weledi wa hali ya juu aliouonyesha kwa kuomba

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment