Saturday, 17 May 2014

Re: [wanabidii] HEKO JAJI WEREMA

Aliomba msamaha kinafikin tu maana alijua hana cha kupoteza.

2014-05-17 14:10 GMT+03:00 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nchi zetu mtu akishashika madaraka fulani kuachia ngazi eti inakuwa ni tatizo, kisa ati kwa kosa gani, kukili kosa ni ndiyo ni wajibikaji, lakini ukikumbuka kwamba mtu huyo ni kinara wa sheria basi utategemea kila atamkalo liko ndani ya msitari ya sheria, kinyume chake, watu kama hawa ni wazuri sana wa kuona ukiukaji wa sheria kwa watu wengine na siyo kwao.
Kama Wazanzibari wasingelivalia njuga suala hilo lini ingelikuja kuonekana amesema ovyo? Huku spika akimkingia kifua? 

On Friday, 16 May 2014, 9:02, 'LINGONET Lindi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

heko kwa werema kwa kuomba radhi ni tabia ya kiungwana ila dosari kubwa ya uongozi iliyooneshwa na spika na kukumbatia maovu na kujaribu kutetea matendo ya kibaguzi kwa kuhofu kukosoa watendaji wa serikali pale wanapo kosea ,kama kweli spika ni muungwana anatakiwa kwa niaba ya bunge nae aombe radhi au aamue kuachia ngazi kwani vitendo hivi ndivyo vinavyoleta msuguano baina yake na kambi ya upinzani kila siku kwa ktetea matendo mabovu ya serikali kupitia kwa watendaji wake,tunashindwa kujua mpaka na tofauti kati ya bunge na serikali

--------------------------------------------
On Fri, 16/5/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HEKO JAJI WEREMA
To: "'James Riwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 16 May, 2014, 6:22

Mtu akiomba  radhi ni aina ya
uwajibikaji pia. Jamani,jamii yetu tusiwatrain watu kuwa
wagumu wa mioyo na wasiojua hata kuomba hata samahani. Yapo
makosa ambayo mtu akiomba tu samahani tutamwambia haitoshi.
Ngupula

  'James Riwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

AJIUZULU  Jaji
werema AENDE WAPI, ATAKULA NINI MAANA HAWA JAMAA TOKA wa
graduate CHUO KIKUU HAWAJAWAHI HATA KUKAA MTAANI KUTAFUTA
KAZI
wANABADILI
TU VYEO NAMADARAKAIKALAKHA
  BHAHO!

      On Thursday, May 15,
2014 9:20 PM, "'marcuskabwella@yahoo.com' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
   
  Naomba nitumieni maneni ya
kibaguzi aliyitumia na jinsi alivyoomba radhi!
 
Sent
from Yahoo Mail on Android
           
                                From:
                           
                            'tumaini bakobi' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;             
           
                                To:
                           
                            wanabidii@googlegroups.com
<wanabidii@googlegroups.com>;                       
                                                   
                                Subject:
                           
                            Re: [wanabidii] HEKO JAJI WEREMA
                           
                                Sent:
                           
                            Fri, May 16, 2014 4:11:33 AM   
                       
                            Kuomba msamaha tu
hakutoshi, anatakiwa ajiuzuru kuonyesha
uwajibikaji! 

    On Friday, 16 May 2014, 0:07, Erick
Maro <rikmaro@gmail.com> wrote:

  Napenda kumpongeza sana
Mwanasheria mkuu wa Serekali Jaji Frederick Werema kwa
weledi wa hali ya juu aliouonyesha kwa kuomba

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

_________________________________________________
Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 7733, Mwanza.
 +255 782 315 688,  +255 767 48 32 71,    
 +255 719 451 850
Skype add: nkajungu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment