tutawahukumu je sisi wakati kila unayemchagua ndio hivo na ukichagua usichague lazima mbumge apatikane du! ilishakula kwetu.
On May 21, 2014 11:50 AM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
-- Ni wasaka tonge hao wala hawagombei kututetea sisi walalahoi. Ni juu yetu kuwasoma na kuwahukumu kupitia visanduku vya kura--2014-05-21 10:58 GMT+03:00 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
--Ndg zangu wanabidiiNijuavyo mimi Kikao cha Bunge la Bajet ni muhimu kuliko kikao kingine chochote. Sababu ya msingi ni kwamba kikao hicho hutoa dira halisi ya kiuchumi na maendeleo ya Jamii. Lakini nimepata wasi wasi na kikao cha sasa kukosa mvuto na hata umuhimu. Mambo nyeti kama utalii, Elimu nk naona kama yanapita kienyeji bila msisitizo unaotakiwa.
Licha ya hayo, baadhi ya mawaziri na manaibu wao na wabunge wanajalli mambo ya siasa na vyama vyao zaidi kuliko kikao hicho cha Bunge. Mfano sidhani kama wabunge wa Tabora walikuwa bungeni Juma lililopita. Waliambatana zaidi na katibu mkuu wa chama Chao. Sasa amehamia mkoa mwingine. Nadhani atawasomba wote bungeni pia. Chadema nao hawako nyuma. Si tunawaona kwenye Runinga?
Katika hali hii nimepata wasiwasi mkubwa kama wanasiasa wa Tanzania ni kweli wana uchungu na nchi yao na wana nia thabiti ya kuleta maendeleao na maisha bora kwa watanzania. Wanajitahidi kuingia madarakani kwa faida yao tu. Nakosa imani....kessy
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment