Wewe ndiye unayefahamu suala la kumpuuza, hayo aliyoyasema kayaongea barabarani au kwenye mhadhara, kama ni kwenye mhadhara tambua kuwa kulikuwa na mamia ya watu wanamsikiliza, na wengi wao wataondoka hapo na ulewa huo huo kuwa katiba mpya haitabadili hali za maisha ya watu. Na ataendelea kuyasema hayo kokote aendako.
Cha kushangaza kama hayo yamwzunbgumzwa na Katibu Mkuu wa chama, kulikuwa na sababu ya viongozi wa ngazi za juu kudai wanataka kuandaa katiba mpya? Maana kwa maneno hayo CCM hawana mpango wowote na katiba mpya, hapo ndipo unafunguka macho, ndiyo maana wakaingia kwenye bunge la katiba na "MSIMAMO WA CHAMA!" Hata baada ya bunge kuanza kazi kulikuwa na mabishano ya kitoto eti kupiga kura ya wazi!
Sisi yetu macho, CCM na watutungie katiba watakayoina inalinda masilahi yao. Sisi ni watekelezaji tu
Mike.
On Wednesday, 14 May 2014, 4:28, 'Hans' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kinana ni mtu wa kumpuuza kama mwenyekiti wake alivyoamua kumpuuza. Huyu mzee amechoka, katiba ndiyo dira ya mwelekeo wa nchi. Katiba ndiyo kiongozi chs mwalimu, katekisimo na msahafu wa mwelekeo wetu. Kwa sasa nchi yetu imo mikononi mwa rais, akiwa na marafiki wengi ataunda wizara kwa idadi ys marafiki zake, na waziri akiteuliwa kuongoza wizara ataiendesha anavyotaka yeye. Tunataka katiba inayoelekeza nini wajibu wa rais kwa taifa. Tuwe na mawaziri wangapi bila kungojea rais atateua wangapi
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
Sent: 5/14/2014 2:35
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: Re: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama weweni masikini utakuwa masikini!
Inabidi kujiuliza Kinana alilenga nini? Tuache kujadili katiba? Kama katiba haina maana hivyo kwa nini chama chake kinakazania mambo fulani ndani ya mjadala wa katiba? Ana maana katiba ikisema mawaziri wasizidi 30, hela iliyokuwa ikitunza mawaziri waliopunguzwa ielekezwe huduma za jamii, shule hazitapata vitabu, zahanati hazitapata dawa? Barabara hazitajengwa vijijini? Je hiyo haitachochea maendeleo? Kinana ni wa kupuuzwa tu ktk hilo. May be it was a tougue slip?Sent: 5/14/2014 2:35
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: Re: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama weweni masikini utakuwa masikini!
----------
Sent from my Nokia Phone
------Original message------
From: 'ekunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 13, 2014 4:07:45 PM GMT+0800
Subject: Re: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama wewe ni masikini utakuwa masikini!
Jambo hili lina ukweli ndani yake japokuwa tafsiri za wengi zinaweza kuwa tofauti na ninavyofikiri mie.
Mimi naona maana yake ilikuwa kwamba kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii binafsi ili kujiletea maendeleo kuliko kusubiri kuletewa na kitu ambacho kimsingi hakifanyi kazi kwa chenyewe mpaka pale kinapofanyiwa kazi na watu.
Na ukweli katiba mpya haiwezi kubadili tabia ya mtu. Mfano tunazo amri kumi kwa wale wakristo tujiulize wangapi wanazitii zote. Ukweli ni kwamba ni pale mtu mwenyewe anapoamua na wala si vinginevyo.
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Date:13/05/2014 15:54 (GMT+08:00)
To: Mailing List <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,Mailing List <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama wewe ni masikini utakuwa masikini!
"Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema kuwa Katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Kama unaishi kwenye nyumba ya nyasi utabaki palepale. Amendelea kusema msindanganyike katiba mpya haileti barabara wala maji.
Naongeza kuwa hata katiba ikipatikana wanawake wataendelea kuzaa kwa uchungu na baskeli zitaendelea kupata pancha tukubari tukatae katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo yetu.
Mkitaka kukjua ukweli wa maneno yangu ngoja katiba mpya ije muone kama Lisu,lema,wenje,msigwa na sugu kama watakuwa wastarabu,naamini kuwa wataendelea kuwa wa ajabu kama walivyo."
Chanzo: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/657145-kinana-katiba-mpya-haileti-maendeleo-kama-wewe-ni-masikini-utakuwa-masikini.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment