Tuesday, 13 May 2014

Fw: Re: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama wewe ni masikini utakuwa masikini!

Kama katiba mpya haina maana kwa mujibu wa Kinana basi tungeiacha tukafanye kazi. Kama kifungu cha 90 (2) b cha katiba iliyopo kinampa mamlaka rarais kulivunja bunge endapo litakataa kupitisha budget ya serikali yeye haoni kuwa hatupati huduma nzuri na mazingira mazuri yakujiendeleza kwa sababu hata kama budget haielekezi fedha kwenye miradi ya maendeleo itakubaliwa kwani wabunge wanaopata nafasi hizo kwa mbinde wataipitisha kwa kuogopa kufukuzwa na rais
 
Gosbert Christopher Mutasingwa
P.O.BOX 107
BIHARAMULO

0784 857 775/0758 491 247
On Wednesday, May 14, 2014 2:35 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Inabidi kujiuliza Kinana alilenga nini? Tuache kujadili katiba? Kama katiba haina maana hivyo kwa nini chama chake kinakazania mambo fulani ndani ya mjadala wa katiba? Ana maana katiba ikisema mawaziri wasizidi 30, hela iliyokuwa ikitunza mawaziri waliopunguzwa ielekezwe huduma za jamii, shule hazitapata vitabu, zahanati hazitapata dawa? Barabara hazitajengwa vijijini? Je hiyo haitachochea maendeleo? Kinana ni wa kupuuzwa tu ktk hilo. May be it was a tougue slip?

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: 'ekunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 13, 2014 4:07:45 PM GMT+0800
Subject: Re: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama wewe ni masikini utakuwa masikini!

Jambo hili lina ukweli ndani yake japokuwa tafsiri za wengi zinaweza kuwa tofauti na ninavyofikiri mie.

Mimi naona maana yake ilikuwa kwamba kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii binafsi ili kujiletea maendeleo kuliko kusubiri kuletewa na kitu ambacho kimsingi hakifanyi kazi kwa chenyewe mpaka pale kinapofanyiwa kazi na watu.

Na ukweli katiba mpya haiwezi kubadili tabia ya mtu. Mfano tunazo amri kumi kwa wale wakristo tujiulize wangapi wanazitii zote. Ukweli ni kwamba ni pale mtu mwenyewe anapoamua na wala si vinginevyo.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Date:13/05/2014  15:54  (GMT+08:00)
To: Mailing List <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,Mailing List <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Kinana: Katiba Mpya haileti Maendeleo, kama wewe ni masikini utakuwa masikini!

"Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema kuwa Katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Kama unaishi kwenye nyumba ya nyasi utabaki palepale. Amendelea kusema msindanganyike katiba mpya haileti barabara wala maji. 

Naongeza kuwa hata katiba ikipatikana wanawake wataendelea kuzaa kwa uchungu na baskeli zitaendelea kupata pancha tukubari tukatae katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo yetu. 

Mkitaka kukjua ukweli wa maneno yangu ngoja katiba mpya ije muone kama Lisu,lema,wenje,msigwa na sugu kama watakuwa wastarabu,naamini kuwa wataendelea kuwa wa ajabu kama walivyo."

Chanzo: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/657145-kinana-katiba-mpya-haileti-maendeleo-kama-wewe-ni-masikini-utakuwa-masikini.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment