Na tutakufa zaidi ya hapa kutokana na mambo mengi. angalia kiambata.
Angalia TV inavyokuonyesha tatizo la maji. Unaona wananchi wanakunywa maji ya visima visivyolindwa ambayo ni ya kijani yana kinyesi cha mifugo na uchafu wa shughuli za binadamu. Unaona hapa anafua pale anachota maji, pale wanaoga watoto na huku wanakunywa maji.
Unamkuta anachota ktk kidimbwi njiani na hachemshi lakini miti ya kuni imejaa na ana vyombo na hata mitungi ya kienyeji anauza.
Nyumba imezungukwa na machaka na udongo ni wa kunata na hata ikinyesha mvua kidogo-hakupitiki kwa miguu na kwa gari. Lakini, nyumba ina matundu kibao, nyoka anaweza kuingia, watoto wanaliwa na mbu na kunguni tele. kuchemsha maji aue kunguni na kuranda kuta na sakafu na udogo wa kunata-tatizo. Maeneo mengine yana gypsum-wanaiponda, wanauza lakini hawasakafii nyumba wala vyoo. Udongo wa bure, miti hanunui lakini hana muda wa kukandika. Mama mja mzito anaumwa na mbu daily na anapokwenda kuzaa homa na matatizo mengine anakufa. Kwenye barabara ndio wanachimba mchanga, magari kupita tatizo.
Biashara barabarani (hata Dar ubungo, manzese etc) hafuniki haweki katika box la waya, hata akiwa nalo na lina kioo na yupo upande wa wauza samaki au vitumbua-anafunua box linakaa wazi kuvutia wateja. mainzi kibao, vumbi la barabarani. hata wanaouza nyama na kuna air condition na kioo, bado wanafungua mlango unakaa wazi nyama inajaa mainzi. Hao wenye glass boxes anaweka kuku wa kukaaanga-lazima awache wazi-ukumwambia afunze inzi zinajaa, anazifukuza na gazeti, funga mbona tunaona kuna kioo na mlango wa waya huo tunaona unauza nini-anakuchukia. Kuhara, kutapika, kipindupindu na upungufu wa damu kwa a combination ya matatizo.
Bado mama na baba ntilie ambao kwa sasa hupiga ugali na kuutia ktk plastic bags-vifuko vya plastiki ambavyo huweka ktk sufuria iliwiwekwa katika sufuria la maji ya moto ili usipoe, vivyo kwa vyama na vitumbua etc. hii plastiki ni sumu huyeyuka na kuingia ktk chakula.
Kunywa maji machafu ni questionnable. Kutokana na kwamba wanaweza wakaungana kaya 300 kijijini kuchangia elefu 2 kila mtu kwa mwaka mzima-wakanunua cement ya kujengea kizima kwa mawe na kuweka mfuniko juu; kufyatua tofari za kuchoma na kukijengea zaidi ya kimoja na kuweka sheria ndogondogo kulinda visima. Kama ni wafugaji-mbuzi mmoja kila mtu kwa masikini na ng'ombe kwa mfugaji tajiri ktk mika 10 wanajenga ndandpump wells, josho na nywesheo. wanaajiri kampuni ya kuchimba visima na kujenga josho-yapo kibao na wanamtumia bwana mifugo wilaya kusimamia kwa hela ya halmashauri na wenyewe kutoka hela wafugaji wengine na wenyewe kiasi kidogo for operation and maintenance. Kuliko adha yao na wake zao wenye mimba kutembea mwendo mrefu kusaka maji.
Option za kujilinda na maendeleo yetu tunazo ila tuna usugu wa akili na kiburi cha kupenda kujiua. hata kadi ya afya ni elefu 10 kwa watoto wa shule 5 na elfu pungufu ya elfu kumi kwa familia ya watu 6 kwa mwaka ili zahanati inunue dawa. Lakini, analewa daily na kucheza kamali kijijini, anavuta sigara ni elfu 5 ngapi za card ya afya (CHF)? Unamkuta mtoto ana kichocho toka mwaka jana kimemrudia mara zaidi ya 5 na anakuandikia-ninaumwa kichocho toka mwaka jana. baba analewa tu pombe hataki kunipa hela ya kutibiwa zahanati. Mke hamtunzi, kazi zimemzidia hamsaidii, anamzalisha kila baada ya miaka 2 na anaoa, na kuoa na vimada kibao na bado huyo bwana ana hydrocele (busha) na haliondoi anaunyesha eti ni kidume mbegu.
Kampeni za mtu ni afya zirudi tena, kukazana baba naye aende zahanati mama aendapo kliniki na pia aendapo kuzaa ili aone mama anavyopata tabu labda watajirekebisha kwa kupata elimu na eye witness account ya kuona mama azaavyo. Adaptation ya nyumba za kuzalia ifanyike kwani baba hawezi kuingia labour room ambayo kuna wanawake wengine wanazaa chumba kimoja na labour ward wengine wanatembea bila nguo wakiwa ktk uchungu na foleni ya kusubiri kupanda delivery bed.
Mazingira ya maji machafu, vyandarua vilivyotolewa bure kuvulia samaki, kufunikia mchicha, kubebea machupa ya kuokota na wanapita na machupa hayo tunawaona. Kweli tunahitaji mabadiliko katika kuboresha tabia za usafi wa vyakula, mazingira na wa mwili, kujituma ili kujikwamua na kuzingatia misingi ya afya.
_______________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

On Friday, 22 November 2013, 23:32, Joachim Mushi <mushijoa@gmail.com> wrote:
Zaidi ya Watoto 137 na Akinamama 19 Hufariki Dunia Kila Siku
JUMLA ya watoto 137 na wajawazito 19 hufariki dunia kila siku nchini Tanzania kwa matatizo yanayotokana na uzazi. Vifo vya watoto pekee wanaopoteza maisha kutokana na matatizo hayo kwa mwaka hufikia 50,000 kwa nchi nzima.
Takwimu hizi za kusikitisha zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Meneja Mradi wa mpango wa 'Wajibika Mama Aishi', Bw. David Lyamuya toka Taasisi ya Utepe Mweupe katika semina ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi.
Lyamuya alisema mbali na idadi hiyo kubwa ya akinamama pamoja na watoto kupoteza maisha yapo matukio mengine ya vifo ambayo hayaingizwi kwenye takwimu, hali inayoonesha huenda vifo hivyo ni zaidi ya takwimu halisi zilizopo.
Alisema kuna kila sababu kwa mamlaka husika kwa kushirikiana na jamii kulivalia njuga suala hilo ili kuhakikisha vifo vya mama na mtoto vinakoma. Aidha alisema licha ya uhimizaji wa wajawazito kuhudhuria klini bado idadi kubwa hasa vijijini wanajifungulia nyumbani kutokana na umbali mrefu wa sehemu zinapotolewa huduma za afya.
"...Sisi tumefanya utafiti katika Mkoa wa Rukwa kuangalia hali ya upatikanaji huduma za afya kwa wajawazito. Yapo maeneo mama aliyefikia hatua ya kujifungua (mwenye uchungu) hutakiwa atembee kilomita 94.5 ndiyo anakutana na kituo cha afya, sasa mtu aliye na hali kama hiyo hawezi kutembea umbali mkubwa kiasi hicho hivyo hulazimika kujifungua nyumbani," alisema Lyamuya.
Aidha aliongeza kuwa taasisi ya Utepe Mweupe (The White Ribbon Alliance) kwa sasa inaendesha kampeni ya miaka mitatu ya "Wajibika Mama Aishi" ikiwa ni moja ya hatua ya kushawishi kila mmoja kuwajibika kuhakikisha anakabiliana na vifo vya akinamama na watoto vinavyotokea hasa wakati wa kujifungua.
Hata hivyo aliwataka wanahabari kuhakikisha wanatumia nafasi zao kutoa mchango wa kuvishavishi vyombo husika na wanajamii kwa ujumla kupambana na vifo vya akinamama na mtoto.
*Imeandaliwa na www.thehabari.com
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment