Friday, 22 November 2013

Re: [wanabidii] Re: ZITTO KABWE , KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA WAVULIWA VYEO VYOTE VYA CHAMA

Kuongea na waandishi wa habari ndo watakuwa wamejifukuzisha wenyewe!

On 23 Nov 2013 09:26, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Mbona kitila mkumbo amesema wanaenda kukutana na waandishi wa habari kwanza kuwaeleza upande wa pili ?

On Saturday, November 23, 2013 8:50:41 AM UTC+3, Jeremiah Kibwengo wrote:
Hapo sasa ni wao wajieleze vizuri, ama kama watakuwa waungwana, basi waombe ili wabakie kuwa wananchi na kukiri makosa yao.

2013/11/23 Magora Hassan <mago...@gmail.com>

Hello Jeremiah,wazo lako ni zuri  sana shida ni kwamba wao wanaweza kusalia chadema,je itakuwaje kama wakifukuzwa? Maana nimemsikia Mh Mbowe akisema kuwa wamepewa baruwa wajieleze kwanini  wasifukuzwe

Rgrds
Magora

On Nov 23, 2013 8:22 AM, "Jeremiah Kibwengo" <jerry...@gmail.com> wrote:
Zitto na wenzake kama kweli wana mapenzi na Chama basi wasihame CHADEMA, lakini kama wakihama basi walio wengi watajua kuwa kweli walikuwa wana nia mbaya sana ya kuki ua chama.  

2013/11/22 Pauline Mengi <paulin...@gmail.com>
Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.

Anasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa MM ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, M1 ni Dr. Kitila Mkumbo, M2. Hajajulikana na Dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa M2, na M3 ni Mwigamba.

Lissu anasema Waraka huo uliojulikana kama Waraka wa Ushindi unavunja katiba ya Chama kwa sababu umepandikiza chuki za kidini, majungu na kukashifu viongozi wa Chama kinyume na katiba ya CHADEMA.

Lissu anasema tuhuma zote zilizoko katika waraka huo hazijawahi kuwasilishwa kwenye kikao chochote halali cha chama kinyume na matakwa na masharti ya katiba yetu

Anasema Kamati Kuu imeamua kuwavua nyadhifa zao zote watu wote waliotajwa katika waraka huo ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.

Pia kamati kuu imeunda kamati ya kuchunguza na kufuatilia mhusika mwingine M2 ambaye anadaiwa ni Mtumishi wa Makao Makuu ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yake

Kamati Kuu imeagiza wahusika wote waandikiwe barua za kujieleza ni kwanini wasivuliwe uanachama kwa makosa hayo makubwa waliyofanya.

Kamati Kuu pia imeazimia kuusambaza waraka huo kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili watanzania waone na kujua ukweli.

Lissu anamalizia kwa kuwaomba watanzania na Wanachama wote wa CHADEMA nchi nzima wasife moyo na waendelee kukijenga Chama na nchi yao.

Kamati Kuu pia imemteua Wakili Msomi Mh. Peter Kibatara kuwa Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama

Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Mh. Mbowe anasema waraka wa siri za Zitto haukutengenezwa wala haukutoka Makao Makuu. Alikuwa akijibu swali la Mayage kuhusu zitakapopatikana fedha za kutekeleza mpango huo

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/557398-live-update-mkutano-na-waandishi-wa-habari-kuhusu-maazimio-ya-kamati-kuu.html

On Friday, November 22, 2013 3:09:06 PM UTC+3, Lushengo Lutinwa wrote:
Habari za uhakika ndio hizo. nenda www.globalpublishers.info for more details.

Lutinwa

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

No comments:

Post a Comment