*audio ya maelezo imepachikwa hapo chini, mwisho wa taarifa ya maandishi.
Maelezo yaliyonukuliwa kama yalivyotolewa kupitia kwenye blogu ya Dina Marios
Juzi jumanne asubuhi hapa Dar es salaam kulitokea tukio la kutisha la mauaji na kuliacha jiji hili la Dare es salaam na maswali mengi na kila mtu kusema lake. Tukio hilo la kutisha liliikuta familia ya Alfred na Hellen Newa katika nyumba yao iliyopo Ilala Sharif Shamba. Familia hiyo ina watoto wanne Caroline Newa, Alpha Newa ,Christina Newa, na Mlowi kaka yao.
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Gabriel Munishi (35) mkazi wa kitangiri Mwaza alifika katika nyumba hiyo na kufanya mauaji na kujeruhi kwa kutumia bastola.
Chanzo cha mauaji haya
Gabriel na Christina walikuwa ni wapenzi Gabriel akiwa anaishi Mwanza maeneo ya kitangiri. Katika mapenzi hayo yalijaa

ukatili na unyanyasaji ambao Christina alishindwa kuvumilia na kuamua kuachana na Gabriel.Chanzo cha haya yote ni Gabriel kutokukubali kuachwa.
Mahusiano ya kimapenzi kati ya Gabriel Munishi na Christina Newa
Wawili hawa walikuwa wapenzi lakini mapenzi yaliyojaa mateso ya hali ya juu. Gabriel alikuwa akimtesa sana Christina kwa vipigo na vitisho vya bastola kuwa atamuua.Miezi miwili iliyopita Gabriel alikuwa amemfungia Christina ndani ya nyumba akimpa vipigo na akiwa hawezi kutoka nje.Tukio ambalo ilibidi ndugu zake watoke Dar es salaam mpaka Mwanza na kuhusisha polisi Dar es salaam na polisi Mwanza kuomba msaada ilikumtoa ndugu yao ndani ya nyumba hiyo. Baada ya kufanikiwa kumtoa wakarudi Dar es salaam na Christina kusitisha uhusiano huo. Baada ya kufanya hivyo Gabriel akawa akitoa vitisho kwake akimwambia akimuacha ataiteketeza familia yake.
Kabla ya tukio Gabriel alikuwa akibembeleza sana Christina amrudie lakini Christina alimwambia apumzike kwanza kwa miezi mitatu na akamshauri atafute psychological help.Amekuwa akimuona ni mtu wa hasira kila wakati, vipigo visivyoisha na mbaya zaidi akimtishia kumuua mara kwa mara kitu ambacho sio cha kawaida hivyo ni bora akamuone daktari. Akishapata msaada ndio atakuwa tayari kuwa nae tena ila kwa sasa amuache kwanza.
Siku ya tukio miezi miwili toka christina na Gabriel kuachana
Kabla ya tukio Gabriel alikuwa akifika mara kwa mara maeneo ya nyumbani hapo.Alikuwa akifikia katika hotel ya Double M anakaa juu gorofani na kuchunguza kila kinachoendelea kwenye nyumba yao. Maana ukiwa hotelini juu unauwezo wa kuona nyumbani kwao sababu ni pembeni tu ya hotel.
Siku ya tukio Christina alikuwa akisafiri kwenda syprus.Kwenye gari alikuwa akiendesha mume wa dada yao Caroline marehemu captain Fransis Shumila,pembeni alikaa mdogo wao Alpha ambae ni marehemu. Nyuma alikuwa amekaa Christina na mama yao mzazi.Wakiwa wanatoka nyumbani walikuwa wanaenda kumdrop Alpha kazini ambae alikuwa akifanya kazi Barclays bank, Christina akamalizie shopping zake za mwisho halafu wampeleke airport. Wakiwa wanatoka getini ndio Gabriel akatokea na bastola akafyatua risasi na kufanya mauaji ya Alpha na Fransis aliyefia hospital jana kisha kuwajeruhi mama yao mzazi pamoja na Christina. Alipomaliza aliona kashaua na yeye akajimaliza kujiua kwa kujipiga risasi.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa dada yao Caroline Newa aliyezungumza na Clouds FM leo.
Malalamiko ya Caroline kwa polisi
Caroline na familia wamesikitishwa na polisi kushindwa kuwapa ushirikiano. Baada ya kupokea vitisho kutoka kwa Gabriel kuwa atawauwa na kuteketeza familia nzima waliripoti polisi.Wanasema walishafika mpaka kwa CID Ilala kumueleza juu ya vitisho vilivyotolewa na Gabriel wakaomba wapewe hata RB lakini polisi waliwaona wazushi. Matokeo yake madhara yamekuja kutokea wakati polisi walikuwa na uwezo wa kutoa msaada kabla ya hili. Pia alielezea kwa familia ya Gabriel kushindwa kuwapa ushirikiano toka mwanzo wakiwajibu hayo ni mambo yao ya kimapenzi wao hayawahusu walivyokutana hawakuwepo.
Alpha Alfred Newa alikuwa mfanyakazi wa bank ya barclays toka 2004.Wakati mauti yanamkuta alikuwa Corporate Service Manager wa bank hiyo na hivi ndivyo wafanyakazi wenzake walivyopewa meseji official ya maombolezo ya msiba huo mzito wa mwenzao.
Marehemu kuzikwa Goba, Jumamosi hii shambani kwa mama yake. Ameacha mume na watoto wawili mmoja wao akiwa na miezi 6 tu.
Pole kwa familia zote zilizokumbwa na majanga haya Mungu awape wepesi wa kupita kwenye kipindi hiki kigumu.

Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/11/maelezo-ya-familia-iliyowapoteza-ndugu-waliouawa-ilala-dar-es-salaam.html#ixzz2lMdpnwD1
On Friday, November 22, 2013 12:44:48 AM UTC-8, Reuben Mwandumbya wrote:
Jery;Naona kama mtazamo wako upo mwelekeo mmoja tu(one way traffic), masuala ya mapenzi yapo complicated sana,sio kwamba wanaume ndio pekee wanahamu/hitaji la mapenzi,wote tunahitajiana.Pia akina mama wanapokuwa na hitaji ni mahitaji ya kweli kweli, shida tu hisia zao zipo mbali lakini zikiamka ni balaa,wanaume hisia zipo jirani na zinapoa haraka.Wenzetu walichojaliwa ni uvumilivu,ukiona mwanamke ana-revenge (anamwaga mboga) ujue kavumilia kwa muda mrefu sana,sio sisi wababa.Reuben
On Friday, November 22, 2013 11:27 AM, Jeremiah Kibwengo <jerry...@gmail.com> wrote:
Kwa maaana hio kumbe Source zinajulikana sio?Japokuwa kutoa Uhai wa mtu ama kujitoa uhai sio jambo jema kabisa kiimani(Kidini) na hata kijamhuri pia,na ukiona mtu anafanya hivyo, Ni kwamba hajatumia Akili yake Vizuri Mungu aliyompatia, ili kuyatatua Matatizo yake na Familia yake.Lakini Kwanini DEMU usubiri ugharamiwe kila kitu, halafu usepe ghafla bila kumpa mwenzio nonino nae aka enjoy? Kweli huu nao ni uungwana? Nonino umepewa bureeeeeee, kiasi tuu cha kufanya uungwana na mwenzio nae akidhi mahitaji yake yanayomsibu. Halafu utumie Busara ya kimapenzi kumueleza kwa unyenyekevu, bila kibrizi au chuki. Tena ikiwezekana kama wote niwa kristo au Waislam, Basi tumia Fursa ya unyenyekevu kumshirikisha pia na Mungu ili atulize Mukari na wote Muelewane bila ya chuki.Hapo ndio maana akina MEKUU wanafikiriaaa weeee, wanaona kabisa DEMU wake nonino kapewa bure, bado alishaihudumia na kuigharamia miaka kadha wa kadhwa. Halafu ghafla tuu anaambiwa huipati teeeeena. Laaaaa!! Lazima pachimbikee aiseee!!--2013/11/22 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>--Kuna mwalimu wangu mmoja Rev Franken ambaye baadae alikuwa mkuu wa Chuo cha ualimu Kigurunyembe in 1970s alisema ' kama ingekuwa kila mtu anapozi (kufanya ngono) anatoka kovu usoni, basi uso wa wanaume ungekuwa hautezamiki kamwe kwa hayo makovu!!'. Ni wazi-nyani haoni kundule, mtenda akitendewa-hupanda wazimu kama huyo baba. Ila yeye awe na vimada, nyumba ndogo etc. kisha, mwanaume apige risasi aue. Huko musoma/mara anakata mguu, mkono eti kachelewa kufungua mlango hata kama alikuwa chooni, chumbani anamlaza mtoto etc. Ila yeye arudi usiku atakavyo.
Mwingine kamtesa mke mpaka kampa divorce. Kisha anamwona ana mume mwingine anaishi kwa raha na amani -anamvizia anamuua! Huu ni wivu wa kijinga na wa kupindukia-upumbavu. Kuna haja ya kuelimisha juamii juu sio tu ya haki za binadamu ila pia utu. ni hivyo haya walioua wenzao wanatafuta wao kuishi kwa amani na usalana na wahakishiwe usalama wao kama huyo Konyi aombavyo. Ikiwezekana akipatikana tu Kony-avamiwe akatwe vipande vipande. Ana amani gani ya kutaka kuishi kiusalama wakati ameua wengi wasio hatia? Bora inapofika aliyeua kujiua mwenyewe au dreva aendeshae kwa kasi na kuua abiria kijinga naye kufa au kukatika mikono na miguu iwe fundisho anapofanya ujinga katika usalama wa wengine. Hata kuwe na mahakama ya kadhi-hakutokuwa na haki kwani Rushwa Nchi hii mpaka kwa wanaosali sana na vyombo vya dini havikosi rushwa na wizi. Mbona misaada kidini inapelekwa na kufisadiwa; katoto kanabakwa na mtu wa dini, mashoga wana mabwana wao waliowapangia vyumba, nyumba watu wanaosali sana??? Vinabakwa vitoto vya ke na me tunasoma kidunia; wanaoana me kwa me, ke kwa ke; wanazaa nyumba ndogo au mitaani; wanaorganize kuchoma maduka na kumwagia watu tindikali na kisha kumtoa aliyemwagia mtu tindikani na tunawaona kwa vyombo vya TV pamoja na makosa hayo wanasali mbele ya mahakama kumtetea mtu wao atoke. Sasa mahakama gani ya dini nchi hii itakuwa immune na human influences za ubinafsi. hata huko zilizo na watu wanapigwa risasi, kuuawa kwa wizi na ubakaji maovu hayajaisha na kuna honour killings. Cheza na binadamu wewe. Bora tu Tsunami ije, tufe wote ili Mungu aanzishe tena dunia mpya.
On Wednesday, 20 November 2013, 17:04, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
--ni usaliti wa kina mama sababu, kwanini mtu umpotezee mwenzako muda at the end of a day uanze kujirusha na wengine ambao hata hawakujui vzr na pengine anakupotezea mwelekeo bila ww dada kujua. nadhani ni hasira na kuna haja hapa watu kupewa masomo ya kuzuia hasira bse hata akikuacha wapo weeengi sana tena bora kuliko huyo, watu wasiwe na tabia kama hz bana, kina dada punguzeni usalitiiiiiiii.
hii ishaanza kuingia kasi sasa from ufoo saro na sasa munishi sijui.
On Wednesday, November 20, 2013 2:01 PM, Magora Hassan <magorah15@gmail.com> wrote:
Nadhani sikuizi wanaume wameamua kutunga sheria yao kuwa kila mwanamke msaliti dawa hake ni kifo.hali hii inatish SanaRgrds
MagoraOn Nov 20, 2013 11:36 AM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:--Wanasema huyo jamaa alikuwa anatorokea nchi moja ya ulaya na mwanamke wa watu kwahiyo akawahiwa .--
On Tuesday, November 19, 2013 1:51:33 PM UTC+3, Juma Mzuri wrote:Mapema leo asubuhi milio ya risasi zaidi ya kumi ilisikika eneo la Ilala Bungoni karibu na baa maarufu ya Wazee (Club ya Wazee), watu watatu wakiripotiwa kufariki kutokana na tukio hilo linaloelezwa kuwa limetokana na wivu wa kimapenzi.
Jamaa Aliyehusika na Mauwaji
Dereva mmoja wa tax kituo cha Bungoni ambaye alikuwa shuhuda wa kwanza, alisema mapema leo asubuhi alipata mteja aliyehitaji kupelekwa sehemu, ila kabla hawajafika huko walipokuwa wanataka kwenda jamaa ambaye ndiye alikuwa ni muuwaji alimuomba akatishe safari na kumtaka ampeleke sehemu nyingine.
Kwa mujibu wake dereva huyo aliendelea kusimulia, alimpeleka jamaa mpaka aneo la tukio hilo kwenye nyumba iliyopo pembeni mwa Hotel mpya iitwayo MM.
Mara baada ya kufika hapo, jamaa alitoa sh. 5,000 na kumkabidhi dereva ila cha kushangaza ni kitendo cha jamaa huyo kutoa bastola wakati akiwa anaelekea kwenye geti la nyumba, aliendelea kusimulia dereva huyo.
Wakati jamaa anaelekea getini mlango ulifunguliwa na gari aina ya Toyota Surf ilitoka ikiwa na watu wanne ndani, mwanaume mmoja ambaye ndiye aliyekuwa akiendesha gari mama mmoja na wadada wawili.
Jamaa akiwa na bastola alianza kuwashambulia watu waliokuwa ndani ya gari hilo na kumpiga risasi dereva na mdada mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Carol, hii ni kwa mujibu wa dereva huyo na mara baada ya kuona hivyo hivyo ikabidi akimbie.
Vyanzo vingine vinaeleza kuwa katika tukio hilo jamaa pia limpiga risasi ya mgongoni mama wa mwanamke aliyemuua na pia alimpiga msichana mwingine risasi ya mguu.
Mtuhumiwa na dereva aliyekuwa akiendesha gari walifariki palepale huku msichana mmoja akielezwa kufariki akiwa njiani kuelekea hospitali.
Bado haijafahamika moja kwa moja chanzo cha mauwaji hayo licha ya watu wengi ambao nilipata bahati ya kuongea nao wakilihusisha tukio hilo na mambo ya kimapenzi.
Dereva Aliyekuwa Akiendesha Gari
Mwili Ukibebwa Kuingizwa Kwenye Gari
Jamaa Aliyeuwa Kisha Kujiua
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .

Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment