Saturday, 23 November 2013

Re: [wanabidii] KITILA MKUMBO KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI

Kuna kitu kinaitwa sympathetic vote!!
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 23 Nov 2013 12:23:10 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KITILA MKUMBO KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI

Ipyana 
ukiona hivyo, nia yao nikujisafisha waonekane wema mbele za Wananchi. Tujiulize hili je si walipewa siku 14 za kujitetea ndani ya chama. Kwanini wawe wanafiki wa kukimbilia vyombo vya habari kujitetea? Au ndio kulilia huruma toka kwa Wananchi? 

2013/11/23 Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com>
Je, huo mkutano na waandishi wa habari ndo itakuwa utetezi wao waliopewa waufanye ndani ya siku 14? au ndo mwaga ugali nami nimwage mboga?

2013/11/23 Pauline Mengi <paulinemengi@gmail.com>
Kama kweli nia yako sio kukwamisha harakati za mabadilio hapa nchini ni kwanini umeweka tension kwa watanzania juu ya kujibu yaliotokea?
Pia njia yako ya kujitetea na kuwa tayari kuendeleza malumbano huoni kuwa unakiuwa chama ili kujinusuru binafsi?

On Saturday, November 23, 2013 10:51:17 AM UTC+3, Rehema Kikwete wrote:
Mkumbo kama ameandika hayo,basi bado hajatulia,maana anapotuambia upande wa pili ni upi?kwa mujibu wa taratibu wa vikao hayo ni maamuzi na maazimio ya kikao,na kikao cha kamati kuu ni kimoja ambacho hata yy alikuwapo,hayo sio maamuzi ya Mbowe wala Lisu bali ni ya kikao cha kamati kuu ambapo Zitto na kitila ni wajumbe,wanataka kuja kutuambia nn cha upande wao kinachohusiana na kikao?

Haina kujitetea hiyo ,wala haitasaidia,wakionyesha utovu wa nidhamu,watavuliwa uanachama.wanakuwa na jeuri sababu ni wanachadema.

On Saturday, November 23, 2013 9:42:55 AM UTC+3, magessa bm wrote:

Ngoja aongee na vyombo vya habari aone cha mtema kuni!

On 23 Nov 2013 09:36, "Yona Maro" <oldm...@gmail.com> wrote:
Ni vizuri aelekeze nguvu katika kujibu tuhuma dhidi yake kwenye chama chake kwanza kuliko kuja kwa wananchi , wananchi wengi wanafuata maelekezo ya vyama na viongozi wake kwahiyo hata kitila mkumbo aheshimu viongozi wake ndani cha chama na taratibu nyingine za chama .

2013/11/23 Magora Hassan <mago...@gmail.com>

Tunakusubiri Mh Mkumbo

Rgrds
Magora

On Nov 23, 2013 9:25 AM, "Yona Fares Maro" <oldm...@gmail.com> wrote:
Tunawashukuru watanzania kwa kufuatilia kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Nawapa pole wote waliokwazwa na jambo hili, na ninawashukuru wote walionipa pole na kunitia moyo. Ninawashukuru pia walionilaumu na ni vizuri kunyosheana vidole na kuwekana sawa pale ambapo moja wetu anaonekana kukwamisha harakati za mabadiliko. 

Haya ni mawimbi katika harakati za mabadiliko na ninaamini yatapita na hayatayumbisha mchakato wa kusimika mfumo wa demokrasia hapa nchini kwetu. 

Ninashauri tuwe na subira katika kutoa hitimisho na hukumu katika jambo hili. Mpaka sasa tumekwisha kupata upande mmoja juu ya kilichotokea. Vuteni subira nasi tuseme ndipo mpitishe hukumu. Mungu akijalia tutakuwa na mkutano na waandishi wa habari wakati wowote kabla ya wiki ijayo na tutaeleza upande wetu, na hasa kutoa maoni yetu juu ya kile kilichotamkwa jana kwamba sisi ni wahaini na wahujumu ndani ya chama chetu. 

Kwa sasa tambueni tu kuwa mie binafsi bado nipo imara katika kuhakikisha kwamba siwi kikwazo na ninachangia kikamilifu nguvu zangu katika harakati takatifu za mabadiliko hapa nchini.

KITILA MKUMBO

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

No comments:

Post a Comment