Monday, 25 November 2013

Re: [wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU

Gikaro Ryoba
Kwa maneno
"Nilitegemea kwamba Wakatoliki (kwa kuwa wao ndio wamebobea ktk kumezeshwa maneno ya Biblia)"

Unataka kuibua malumbano mapya na wakatoliki, mbona hutaji madhehebu au dini nyingine kwani wao maandishi yaliyo kwenye misahafu yao wanayafanyia ukarabati?. Nijuavyo mimi maandiko yaliyo kwenye misahafu yana hisoria na utamaduni wa mataifa mengine ya wakati huo na huwa tunayabeba kama yalivyo. Hilo halina ubishi

2013/11/25 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Lakini kama mtu akisema kitu kuhusu msahafu kama alivyotumia Dr Kitila
Mkumbo na mtu mwingine akakimbilia kusema kuwa aliyesema hivyo
amekashfu Usilamu au dini ya Kiislamu basi nadhani huyo mtu ana JINI
ZEE LA UDINI. Hili ni jini baya sana maana linaendekeza umbeya na
chokochoko ili watu waumini wa madhehebu fulani kwa mashaka na waumini
wa madhehebu mengine.

On 11/23/13, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:
> Msahafu ni kitabu cha neno la Mungu (Quran au Biblia). Mimi sijaona ambapo
> Dr Mkumbo ameitaja wala kuikashfu Quran. Yeye ameongea kiujumla bila kutaja
> aina ya kitabu alichomaanisha. Nilitegemea kwamba Wakatoliki (kwa kuwa wao
> ndio wamebobea ktk kumezeshwa maneno ya Biblia) ndiyo wangekuwa wa kwanza
> kumsakama Mkumbo lakini ni bahati mabaya kwamba amejitokeza 'muislamu'
> kulaumu matamshi hayo.
>
>
>
>
> On Sunday, November 17, 2013 7:39 PM, Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
> wrote:
>
> Kwa kuzingatia maana ya neno msahafu bila shaka Mh Mzuri atakubaliana nami
> kuwa Neno msahafu kama lilivotumiwa na Mh Mkumbo lilikuwa na maana ya
> kuwataka watu kutopokea maneno au taarifa bila kuhoji chanzo na uhalali wa
> taarifa husika kanakwamba maneno hiyo ni Maneno matakatifu ya Mungu ambayo
> huwa Hayana shaka ndani yake na binadamu hatakiwi kuwa na hiyari
> kuyakubali.
>
> Rgrds
> Magora
> On Nov 17, 2013 6:43 PM, "Magora Hassan" <magorah15@gmail.com> wrote:
>
> Neno Msahafu limetokana na neno la kiarabu SAHIFA,ikiwa na maana
> ukurasa.toka zamani katika historia ya mitume vitabu vitakatifu viliitwa
> SAHIFA TAKATIFU
>>Rgrds
>>Magora
>>On Nov 15, 2013 7:25 PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:
>>
>>Nimeipenda hii ya mzee Matinyi kama huyu Juma Mzuri ni mtu iwekwe picha
>> yake hahahahah
>>>
>>>
>>>
>>>On Mon, Nov 11, 2013 at 12:42 PM, Thomas Joseph <nkarangot@yahoo.com>
>>> wrote:
>>>
>>>Jamani hivi maana ya msaafu mini. Lambda tukianzia hapo ndo twaweza
>>> kugundua pengine neno hili linajumlisha vitabu vingi zaifi ya Koran tu.
>>>>Sent from Yahoo Mail on Android
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>________________________________
>>>> From:  matinyi <matinyi@hotmail.com>;
>>>>To:  <wanabidii@googlegroups.com>;
>>>>Subject:  Re: [wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU
>>>>Sent:  Mon, Nov 11, 2013 4:42:04 PM
>>>>
>>>>
>>>>Juma Mzuri si mwislamu. Angalieni alivyoandika neno Quran. Kaandika
>>>> Quruan. Kama ni mtu aweke picha yake hapa.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>From my Android phone on T-Mobile. The first nationwide 4G network.
>>>>
>>>>
>>>>-------- Original message --------
>>>>From: salum mkango <salumkango@yahoo.com>
>>>>Date: 11/11/2013  7:35 PM  (GMT+03:00)
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>Subject: Re: [wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Namuunga mkono Juma Mzuri katika hili suala la kutolea mfano wanaosoma
>>>> msahafu eti wanameza tu bila kuhoji kitu. Si kweli. Msahafu umeandikwa
>>>> kwa lugha ya kiarabu na kutafsiriwa kwa kiswahili na kuweka ufafanuzi wa
>>>> kila aya kwa lugha ya kiswahili. Bwana Mkubo aombe radhi kwa dharau
>>>> aliyoionesha dhidi ya wanaosoma msahafu.
>>>>
>>>>
>>>>Bwana Mkumbo ajue kwamba Mwl. anapofundisha darasani mfano anaoutoa una
>>>> impact kubwa sana katika kueleweka kwa somo lake. Kama ukitoa mfano
>>>> mbaya, wanafunzi watauelewa kwa maana mbaya kama ulivyokusudia.
>>>>
>>>>
>>>>Tuweni makini katika kutoa mifano yetu. Tuepuke kugusa imani za wengine.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On Monday, November 11, 2013 3:04 PM, Reginald Miruko
>>>> <rsmiruko@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>>Huyu anachemka tu
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>RSM
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On 11 November 2013 14:02, <gm26may@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>>
>>>>>Yeye mwenyewe ndio aliyeleta huo waraka na yeye mwisho kaja na kichwa
>>>>> cha habari kuukandia huo waraka
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>>>>________________________________
>>>>>
>>>>>From:  Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
>>>>>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Date: Mon, 11 Nov 2013 10:54:06 +0000
>>>>>To: Wanabidii googlegroup<wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Subject: RE: [wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU
>>>>>
>>>>>
>>>>>Kweli hizo ni chokochoko mtu katoa mfano tuu mara ohhh udini hii
>>>>> inaonyesha kuna watu wako macho kutafuta kitu kidogo ili waendeleze
>>>>> udini wao wacha hizo Bwana Juma Mzuri unatafuta visababu vya kuingiza
>>>>> hisia zako za chuki kwa dini nyingine. Jifunze kupambanua na kusoma
>>>>> katikati  ya mistari ili uelewe
>>>>> (read between the lines)
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>________________________________
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU
>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>From: fatma_elia@yahoo.com
>>>>>Date: Mon, 11 Nov 2013 10:35:21 +0000
>>>>>
>>>>>Juma
>>>>>
>>>>>Hizi nazo ni chokochoko nyingine unazotaka kuzianzisha. Uislamu wako upi
>>>>> uliokashifiwa hapa? Hebu chuki nyingine fanyeni kwa siri sio bayana
>>>>> kiasi hiki
>>>>>
>>>>>Fatma
>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>>>>________________________________
>>>>>
>>>>>From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Date: Mon, 11 Nov 2013 01:58:16 -0800 (PST)
>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Subject: [wanabidii] KITILA MKUMBO AUKASHIFU MSAHAFU
>>>>>
>>>>>
>>>>>NIMEKASIRISHWA SANA NA UFAFANUZI WA KITILA MKUMBO, KWAKUUKASHIFU UISLAMU
>>>>> KWA KUTILIA MFANO KUWA WATU WAZIMEZESHWE MANENO KAMA MSAHAFU, YAANI
>>>>> HASIRA ZAKE AMEONA AZIMALIZIE KWENYE QURUAN SI PENGINE, KWELI HUYU
>>>>> JAMAA ANACHUKI NA UISLAMU, MKUMBO ACHA CHUKI NA UISLAMU NA HUO
>>>>> UFAFANUZI
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>iv) Ni vizuri tukajenga utamaduni wa kuhoji mambo badala ya kuyameza
>>>>> kana kwamba tunasoma msaafu. Hivi huyo mtu anayemhonga Zitto bilioni
>>>>> mbili (2,000,000,000) ili atoe siri za chama, ni siri gani hizo ambacho
>>>>> chama cha siasa kinazo ambazo ni za hatari hata itolewe hongo kama
>>>>> hiyo?
>>>>>
>>>>>--
>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>---
>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:

Post a Comment