batch 6 hot.....nyumba yenye 3 room sebule na siting room imefika lenter inauzwa kwa haraka sana mwenye nayo ana matatizo, hiki kiwanja ni 20*22 na kina ofa bei ni (tsh mil 11 tu) kipo mita 800 baada ya tanroad ends.....
Hii Ipo wapi mkuu?2013/11/3 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
--habari za weekend wapendwa.Leo kidogo nataka niweke vzr mambo hapa due to some gaps nazoona nashindwa kuzipa wanaponijia ndg zangu wanabidii wakihitaji properties or plo...ntakuwekeenibei na umbali ili unapokuja ujue umbali wa mahali unakokwenda.....plots za bei rahisi hua zina shida 2 moja zinakua mbali na mjini na pili zinaweza kua ni tudogo sana hata hivyo najitahidi kuwalete zile nzuri zisizo na migogoro wala kweriz sawa ndg zangu? here are:PLOTSploz nilizozivist jana na juzi na bei zake na umbali ni za mbezi ya kimara, mbezi inn na goba, goba mpakani na tegeta a pamoja na kimara suka... Goba mwisho kuna plot zifuatazo kutoka goba mwisho ni km 1 kuelekea mbezi luis kuna plot 3 ; mita 24*20(tsh mil 8.5), meter 30822 (tsh mil 9), m 20*16 kadogo ( mil 6)- goba mwishobatch 2: meter 28 kwa 35 ipo kimara suka (tsh mil10)..........Goba sehemu moja inayoitwa tegeta a ni km 2 toka goba au kwa jajimarhemu mwaipopo pale cc kuna plot mpya 5.....zimepiwa kuanzia 25*25(tsh mil 7), 22 * 30( tsh mil 8), 20*25(tsh mil 5) na 20*30 (tsh mil 6........goba tegeta a ccmbatch 3 plot ipo km 3 toka goba mwisho ni sqm 21*37 bei mil 8 ipo jirani na shule ya sec goba mpakani..... njia panda ya tegeta a katika bara bara ya goba- mbezi luis kuna plots 5 ktk one farm zimeengwa 22* 25 (mil 7), 25*32 (tsh mil8 na kikubwa kabisa 35*28 mil 12 na 53*53 mil 25
btch 4...plot ipo mbezi inn na magar 7 as follow; mbezi inn sqm 25*22 bei mil 6 , magari saba ipo ila kimeinama ipo ktk kakilima flani jirani na st joseph university inafaa kujengea hostel bei mil 7 na ni sqm 22 kwa 40..(.not very sure)btch 5.... huge and titled plots..... ipo segerea imekamatana na main road ni ekari moja inafaa sana kujenga shule, bar au sheli bei (tsh mil 90), mbeni nusu eka (tsh mil 60 na nyingine 70), mbezi luis njia ya goba nusu eka mil 53batch 6 hot.....nyumba yenye 3 room sebule na siting room imefika lenter inauzwa kwa haraka sana mwenye nayo ana matatizo, hiki kiwanja ni 20*22 na kina ofa bei ni (tsh mil 11 tu) kipo mita 800 baada ya tanroad ends.....batch 7 plot ndogo 16 kwa 19 ipo mbezi malamba mawili mwisho wa gari kinauzwa pamoja na matofali mia 3,inafaa mtu kujenga romm 3 tu na choo, bei mil 2.3 tumbande tuna shamba la eka 5 na nyumba ilofika lenter inatakiwa mil 50 tu fastatunazo nyumba za mil 35 na kuendela maeneo mbali mbali jijiniRent housesKimara kibo karibu na udsm nyumba kubwa vyumba 3 master , bei laki 4 kwa mwezi, vipo pia ubungo kibango, kimara, nkNapenda niwakaribishe sana mnipigie and pick one for you....kama hujaona unaweza kunipa oda nikutafutie, ila kifuta jasho muhimu jamani duuhmbarikiwe sanaMollelAlj gen Co ltdExecutive Directorcall me at 0652 314181
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:
Post a Comment