Hivi kumbe Marehemu Bob Makani naye alikuwa anatokea Kaskazini??
---------------------------------------
This message has been sent from a hand held device. My apologies for any typos.
Shida ya chadema ni utawala wa kiimla ambao umeegemea kwenye ufamle na ubaguzi wa kabila na dini.watu tumeona na wala hatusumbuki tena kutafuta yasio ya kweli.huwezi kuwa mwenyekikti mama hutoki Kaskazini.utapikiwa kila aina ya zengwe uonekane hufai.hata marehem Chacha alipewa jina. hilohilo walopewa zitto na wenzake.chadema ni chama cha Mzee Mtei na sio cha wananchi wote.
Rgrds
MagoraOn Nov 23, 2013 6:23 PM, "Pauline Mengi" <paulinemengi@gmail.com> wrote:----Subject: Fw: kazi nzuriDate: Sunday, November 17, 2013 20:28From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta pundeMN2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, EmmaSent from my ipadOn Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:
Post a Comment