Thursday, 1 August 2013

Re: [wanabidii] PINDER LAZIMA ASHITAKIWE!!!

hata hao wanaomtetea nafikiri wanajua bali wanajaribu kudanganya umma
kwa sababu ya maslahi binafsi. mheshimiwa alichemka na anajitia mbabe
kama sheria itashindwa kumuhukumu historia itamuhukumu

On 8/2/13, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com> wrote:
>
>
>
> Mh Pinder
> kavunja Katiba ya Nchi kwa kuamuru watu WAPIGWE TU! Amekiuka Katiba ya
> Jamhuri
> ya Muungano Ibara ya 100 kifungu
> kidogo cha pili (2). Lakini kabla ya
> kuwaonyesha ni jinsi gani Pinder alivyovunja katiba, ngoja niweke ibara yote
> ya
> 100 ili tuende sawa:
> ………………………………………………………………………………………………………
> 100 (1). Kutakuwa na uhuru wa mawazo,
> majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa
> na
> chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali
> pengine nje ya Bunge.
>
> (2). Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote
> inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai
> mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge
> au
> alilolileta bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
> ……………………………………………………………………………………………………....
>
> UFAFANUZI WA
> KISHERIA:-
> Mtaona kwamba
> kifungu cha kwanza (1) kinampa
> mbunge uhuru wa kuongea chochote bungeni bila kushtakiwa. Lakini kifungu
> cha
> pili (2) kimemuwekea mipaka, KWAMBA
> anaweza asishtakiwe pale tu jambo atakalokuwa amelitenda au kusema ndani ya
> bunge halitaathiri katiba au masharti ya
> sheria nyingine yoyote inayohusika.
> ******************************************************************************
> Je, pinder
> kaathiri (kavunja) Katiba hii au hajaiathiri? Ndio ameiathiri. Kivipi?
> Tazama
> vifungu vifuatavyo kwenye sheria mama (Katiba):
>
> KIFUNGU CHA
> KATIBA KILICHOATHIRIWA NA PINDER:-
> Mh Pinder
> kavunja (kaathiri) Katiba ya Jamhuri ya Muungano Ibara ya 13 kifungu cha
> sita (6),
> kifungu kidogo (e) ambacho
> kinasomeka kama ifuatavyo:-
>
> 13 (6) (e). Ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa
> adhabu
> zinazomtweza au kumdhalilisha.
> ………………………………………………………………………………………………………
> HITIMISHO:-
> Pinder
> anashitakika na hakika hapa hachomoki hata kidogo. Wale mnaotetea kwamba
> analindwa na Katiba mmeona jinsi ambavyo katiba hiyo hiyo inatoa mwanya
> kwake kushtakiwa?
> Mkisoma Katiba msiwe mnasoma nusu nusu, someni kwa ukamuilifu wake na bila
> jazba. Haya tuonyesheni basi ni kifungu gani cha sheria kinachompa uhuru
> usio
> na mipaka kutamka au kutenda jambo lolote bungeni halafu asishtakiwe. Haya
> ni
> mambo rahisi kutambuliwa na mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika. Sio
> lazima
> uwe na shahada ya sheria ili ufahamu jinsi Pinder alivyosigina Katiba ya
> Nchi. Tafakari,
> chukua hatua!
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:

Post a Comment