Saturday, 27 July 2013

Re: [wanabidii] MACHAFUKO NCHINI MISRI HAYAKUBALIKI!


Inasikitisha kwa kweli na hilo linafaa kupingwa na kila mmoja wetu....hata hivyo msg nzuri ya kujifunza kuhusu Misri ni kuwa serikali za kidini hazitakiwi tena na jamii hii iliyichangamana. Morsi alidharau haki za wachahce na aikidhani kuwa yuko salama kwa kuwa anawafuasi wengi,adu zake nao wakajipitisha mlango huohuo. Uongozi wa kidemocrasia wa kuheshimu uhuru na haki ya kila mmoja haupingiki kwa sasa..otherwise,ndio kama mauaji ya huko misri...Mungu saidia....

From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 27 July 2013, 21:55
Subject: [wanabidii] MACHAFUKO NCHINI MISRI HAYAKUBALIKI!

Ndg wanabidii
nimesikiliza Radio BBc na imehabarishwa kuwa zaidi ya watu laki moja wameuwawa na maelfu kujeruhiwa nchini Misri. Kisa ni mapambano kati ya Polisi na wafuasi wa Rais aliyepinduliwa Bw. Morsi.

Kwa hali hii mtu yeyote anayejali UTU na kuheshimu kuwa UHAI ni zawadi ya kwanza na kubwa, Mungu aliyejaliwa viumbe wake inaumiza. Sidhani kama maisha yawe ya mwanadamu au kiumbe chochote yamekosa thamani kiasi hiki. Ni lazima dunia ielimishwe THAMANI ya uhai wa MTU. Na UHAI utunzwe na uheshimike. Madaraka na nguvu ni BAADA ya Uhai na si KABLA ya Uhai. 

Kama ni darasa limetoshwa na naomba lieleweke kwa Watanzania. Unapoua unapigania nini?

nawakilisha.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


No comments:

Post a Comment