Elisa we vipi?
Tunaongelea watoto/wajukuu zetu; hata kama hawakuwa na kibali, ndo wapigwe kama majambazi?
LKK
On Wednesday, March 8, 2017 11:42 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Unatwambia habari za marekani nchi tajii ina polisi wenye vyombo vya akiba nakadhalika. Wewe uko marekani itafute historia ya nchi hiyo. Katiba yao iliandikwa na majenerali saba na wakasema jimbo litakalopinga vita. Sisi hatujafika hapo. Unafanya lkosa kufikiri (acha kuandika) kuwa demokrasia yetu iwe kama ilivyo ya marekani. Tungetaka kuanzia walipoanzia je?
--------------------------------------------
On Wed, 3/8/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
Date: Wednesday, March 8, 2017, 11:34 PM
Polisi
hawana haki ya kuzuia maandamano in a true democratic
country. Kuna maandamano yanaweza kufanyika spontaneously,
hiyo ni haki ya raia.Baadfa ya ushindi wa Trump
Wamarekani katika sehemu mbalimbali za nchi walimiminika
mitaani kuandamana. Hawakuhitaji kibali cha
polisi.Simba walipowafunga Yanga juzi mashabiki
wa Simba wangeandamana isingekuwa nongwa. Polisi
hawakuhitaji kuombwa ruhusa.em
2017-03-08 15:13 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Walikuwa
na haki ya kuyazuia kwa sababu kabla hawajaandamana
walihiyaji kutoa taarifa ya kuandamana ili walindwe. Kama
mazingira hayaruhuzu basi hawapati kibali na hivyo
hawaandamani. Sasa hawa hawakupitia utaratibu huo.
------------------------------ --------------
On Wed, 3/8/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
Date: Wednesday, March 8, 2017, 10:56 PM
Elisa,Hapo ndipo tunapopishana. Polisi hana
mamlaka yoyote ya kuzuia
maandamano ya raia, hata wanafunzi.
Walichofanya wanafunzi wa Simiyu ni haki yao kabisa
polisi
hawakuwa na mamlaka ya kuingilia katina
kuwazuia.
Kazi yao ilikuwa ni
kuhakikisha kwamba maandamano
yanafanyika kwa amani si kuyasimamisha na kuyazuia. Ni
uvunjaji wa haki za
binadamu/raia.em
2017-03-08 14:27 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wakati
rais akiwaapisha watendaji wake siku moja hivi
karibuni,
aligusia mwenendo wa raia kutoheshimu vyombo vya dola.
Mifano aliyotoa ni watu kuitwa Polisi wakaongozana na
kwaya
na wengine kuosha magari. Nakubaliana na rais wetu kuwa
vyombo hivi vinahitaji kuheshimiwa. Ukaribu wa watu
Fulani
na viongozi wetu wa juu kwa sababu mbalimbali
ulitufikisha
hapo. Mtu mwenye hela alijua hata akivunja sheria
hawezi
kukamatwa. Sasa Tanzania hakuna mwenye uhakika huo tena.
Ni
vibaya sana kwa raia mmoja kujihakikishia hilo kwamba
hata
akimuonea raia mwenzake hakuna taasisi ya
kumshughulikia.
Hii ndiyo huleta watu kuchukua sheria mkononi mwao.
Njia nyingine na muhimu ya lazima kwa vyombo hivi
kuheshimiwa, ni vyombo vyenyewe kujiheshimu na
kuheshimu
nafasi zao.
Matukio mawili hivi karibuni yaliyotendwa na askari
polisi
wetu ni mfano mmojawapo wa jeshi hili kutojiheshimu na
kwa
kweli lisitegemee kuheshimiwa hata rais angeagiza.
Mkoani Pwani Polisi wamevamia kijiji cha wafugaji na
kuanza
kuswaga ng'ombe na kuwapeleka Polisi. Wafugaji bila
kubisha wakakubali ng'ombe wapelekwe. Lakini wakataka
ng'ombe hao wahesabiwe ili ijulikane ni ng'ombe
wangapi
wanachukuliwa. Polisi hawataki. Wanaamua kurusha risasi
na
kuua. Anakuja Mkuu wa Wilaya na kukana kuwa askari hao
walikuwa hawakutumwa katika eneo husika maana sio eneo
lenye
mgogoro. Ni eneo la wafugaji. Wananchi wanadai hatua
zichukuliwe kwa askari hao. Hakuna hatua
zinazochukuliwa
Mkoa mzima, mpaka waziri wa mambo ya ndani alipofika
ndipo
akaagiza askari hao wakamatwe.
Hebu tuone viashiria hivi; na kama ndio mfumo tuone
kama
raia wa Tanzania wako salama kweli:
1. Askari anakwenda eneo lisilo na mgogoro na
bila
kuagizwa na wakubwa wake wa kazi, anakamata mali za
raia.
2. Raia wanakubali lakini wanataka kuhakiki
mali
inayokamatwa. Askari wanakataa. Wanaamua kuua raia hao.
3. Mkuu wa Wilaya anadhibitisha Polisi hao
wamefanya
kitendo cha kihalifu; (kwa sababu hawakutumwa huko
kukamata
mali za raia hao).
4. Mkoa mzima ambao una Mkuu wa wilaya, OCD, RPC
na
Mkuu wa Mkoa hakuna anayeona na kutumia madaraka yake
kuwakamata askari hao. Maana yake wako huru na wanaweza
kufanya hivyo hata kijiji kingine.
5. Amri ya kuwakamata Polisi hao inakuja kutolewa
na
waziri.
Hivi katika mazingira haya raia wajione wako salama???
Tanzania ina mokoa karibu 30. Mikoa kumi ikipata tatizo
linalohitaji askari akamatwe mpaka waziri aisungukie
yote?
Nataka Mwigulu ajijibu (asitangaze jibu). Sisi tunataka
kupata jibu kwa jambo atakalolitenda.
Mwigulu kuagiza askari walioua wakamatwe,
amemdhalilisha
RPC. Kumsheshimu RPC wake alipashwa kumtimua kazi.
Nitatoa
mfano. Kuna tajiri mmoja alijenga kituo cha mafuta
barabarani Mwanza. Waziri Magufuli (alikuwa hajawa
rais),
akamwagiza Mkuu wa mkoa kukibomoa kituo hicho. Mkuu wa
mkoa
akakataa. Magufuli (Inasemekana) alimpigia simu na
kumwambia
Mkuu wa Mkoa asikilize taarifa ya habari ya saa kumi
atatajwa mkuu wa Mkoa mpya atakayefanya kazi hiyo. Simu
ilipokatwa Mkuu wa Mkoa (inasemekana) alikwenda
kusimamia
kituo kuvunjwa na kwa masaa kilikuwa hakipo tena.
Tunataka
tuone kinachotokea ambacho inasemekana Mwigulu alifanya
(kwa
RPC) wake; kama Magufuli alivyofanya kwa mkuu wa Mkoa
wa
Mwanza wakati huo.
Kituko cha pili ni cha wanafunzi wa Simiyu. Wanafunzi
wanasema shule yao ilikuwa inashindwa. Ameletwa mwalimu
kwa
juhudi zake sasa matokeo ya mitihani yanaonyesha
mabadiliko.
Mwalimu huyo anahamishwa. Wanafunzi wakaamua
kuandamana.
Wamebeba makaratasi. Polisi wakaja kuwazuia wasiandamane.
Ni
haki kabisa kuwazuia. Ilitarajiwa Polisi waweke ukanda
na
kuwatangazia wasimame hapohapo na kuwahoji wanataka
nini.
Sasa wanakuja na zana kana kwamba watu wanauana na namna
ya
kuwatawanya ni kuwavurunda.
Zimetoka picha mtandaoni zikionyesha Polisi
"wanamdhibiti" mwanafunzi. Huyu anavuta huku, huyu
anavuta huko, huyu anapiga ngwara. Mtu unajiuliza
Polisi
walikuwa wanafanya nini hasa? Nani alikuwa anawaongoza
wenzake kufanya hivyo? Huyu mwanafunzi angeambiwa
"panda
gari hilo" angepanda. Angebisha Polisi wawili
walitosha
kumshika na kumlaza chini na kumuweka Pingu.
Ukiiangalia
picha hiyo hukosi kujiuliza kiwango cha elimu
kinachotolewa
kwa Polisi wetu huko chuoni! Kuna mtu aliwahi kusema
huwa
wanafundishwa ukakamavu na gwaride tu. Ukilinganisha
picha
hizo na usemi huo huwezi kumkatalia aliyesema
wanajifunza
gwaride na ukakamavu tu. Hakuna busara ya
kuwashugulikia
wahalifu inatolewa. Hakuna aina ya maandamano na namna
ya
kuyadhibiti. Hakuna elimu ya mahusiano na raia wema ili
kazi
yao iwe nyepesi. Kuna mtu anauza viroba jirani yangu.
Mpaka
sasa najiuliza nimwambie nani? Vituko hivi ndani ya
makala
yangu sithubutu kumwambia Polisi. Nakubaliana na
mengine
yanayosemwa juu yao. Mambo haya hayawezi kuacha
kutonesha
vidonda myoyoni mwetu juu ya matendo ya Polisi. Mauaji
ya
Mwangosi; Kuburuzwa ndani Lipumba wakati amewambia
Polisi
kuwa anakwenda kuwatawanya watu waliokuwa hawajui kuwa
mkutano umekataliwa; na mengine mengi tu.
Ninakumbuka kusikia radio ujerumani wakielezea elimu ya
Polisi wao. Wanasema Polisi akikutana na mtu amelala
barabarani cha kwanza wanadhani ana kisukari, au kifafa
au
magonjwa mengine, kabla ya kufikiri ni mlevi. Polisi
wana
vifaa vya kupima kuhakikisha ana shida gani. Wa kwetu
watapiga mateke na kusema ni mlevi. Mwigulu. Kati ya
mambo
ya kutopuuza ni elimu inayotolewa kwa asiakri wetu.
Madaraka
na wajibu wa Polisi wetu. Lakini niseme; Nitashangaa
kama
RPC wa Pwani ataendelea na kazi.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment